Magufuli turns Mnangagwa into a translator

Alpha Males make and break the rules. Magufuli ni Putin wa Tanzania.
Hakuna alpha male anayesema anatamani awe Rais wa miaka miwili tu, hakuna alpha male anayelalamika kila siku kuwa amesukumizia urais na hakustahili, hakuna Alpha male mwenye inferiority complex. Hakuna alpha male wa namna hiyo
 
Ndio maana nikakwambia Rudi darasani. JPM ana PhD ya nini?Ana utofaut na huyo unayemsema haiitaji communication skills?Wafuatilie wote waliosoma sayansi utagundua kiingilishi ni shida coz wao English sio priority.
Jinga sana wew....kwa hyo sayans inafundishws kwa kiswahili?Inawezekana hujui hata sera ya eĺimu
Ubovu wa kuzungumzà kiingereza hauwez kuhalalishwà na kusoma sayans,kuna watu wamesoma art bado kiingereźa cha kuzungumza kibovu.Mkurugenzi moi dk amesoma sayans anaongea kiingereza kizur
 
Mkuu aliyetaka kutoa ukweli analiwa na udongo sasa!! PHD ya miaka 3!! RIP BEN saa8
Kila mtu atakufa. Hata wewe na Magufuli mtakufa kwenda kuhukumiwa na m/Mungu.

Ben kufa sio tatizo coz kul nafs dhaikal tul maut.
 
Jinga sana wew....kwa hyo sayans inafundishws kwa kiswahili?Inawezekana hujui hata sera ya eĺimu
Ubovu wa kuzungumzà kiingereza hauwez kuhalalishwà na kusoma sayans,kuna watu wamesoma art bado kiingereźa cha kuzungumza kibovu.Mkurugenzi moi dk amesoma sayans anaongea kiingereza kizur
Ndio maana nikakwambia Rudi darasani.Ukiachana na Gardner Theory of Multiple Intelligences Kuna exposure pia. Nimesoma na watu wa aina hiyo wengi sana,Kuna jamaa alipiga A Math NECTA lkn ana F ya English. Sijui kama unaelewa kuwa ni kawaida sana. Mathematical intelligent hawezi kuwa sawa na Linguistic intelligent. Huyo jpm angekua na PhD ya linguistic au masomo ya kujieleza na blah blah nyingi basi tungehoji amewezaje kuwa na PhD na kwanini hajui kiingilishi. Mtu anayedeal na FACTS tu tena zilizojaa formula unashangaa kwanini hajui kiingilishi?Je huyo Magufuli ana exposure yyt kama wengine?Huwa anazunguka huko duniani?Je yuko interested na mambo ya kiingilishi kama majarida, novels nk?Yeye muulize KM ngapi za barabara bado au tayari, muulize sheria za barabara namba ngapi inasemaje. Utaona hata kiswahili chake nacho ni shida coz hayuko interested na hivyo vitu na sababu zingine.

Nashinda na jamaa wanapiga programming hadi unashangaa lkn kiingilishi chao ni shida. Je unataka kusema jamaa hawana akili kisa hawajui kiingilishi wakati programming ni English?Nikupe mfano,Kuna mtoto alipata 4 ya 29 NECTA. Ndugu yangu akaniuliza Yule mtoto anaongea kiingilishi kizuri sana imekuaje kapata 4?Utaona huyu jamaa anaakili kama zako coz ye anaamini kiingilishi ndio akili na ukijua basi hata masomo yote utafaulu kisa tu ni ya kiingilishi. Rudi Shule kijana.
 
Haka kaneno ka "to cement ..." Hahahahah

Jamaa anakatumia sana na haka ka "act as catalyst....."

Daaah
 
Haya ni mawazo ya kienyej sana
 
Hii defensive mechanism yako ni ya kitòto,you are completely out of the mattèr ãt hand,hapa hatuzuńgumzii intelligence bali mswasiliano ya lugha ya kiińgereza,unafikir wote wanaozungumza kiswahili ni wabobez?Mathalan mim kiswahili ni lugha yangu ya pili lakin nazungumza bila kujali nimesoma sayans au sanaa........sijui hoja yako hapa ninin?
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Kituko !
watu hawaelewi kiswahili unawaongelesha kiswahili bila mkalimani !
je ujumbe wako unafika ?
ondoa hiki kioja 2020.
 
Mbona wachina na wajapan hawasemwi? Tukienzi kiswahili
 
Ohh that is my president, yaani nafurahi sana anaposimamia msimamo wa lugha yetu. Mungu ambariki sana Dr Magufuli!!

Siyo kwambà anakienzi Kiswahili lakini ni jambo jema sana kutumia laughs anayomudu vizuri zaidi. Hata sisi tunapata amani zaidi kuliko kumuona rais wetu akilazimika kutmia laugha asiyomudu na hivyo kuteseka bila sababu.
 
Speech angeiandaa basi kwa kiswahili angeeleweka. Siyo uhutubie kwa kiingereza ulazimishe kuulizwa kwa kiswahili.

Mtu anayejua na kukubali udhaifu wake ni jasiri. Tangu awali rais wetu alijua hili na baadhi ya wananchi tulimuelewa. Lile tukio la kule Uganda kwenye press conference pia lilitoa fundisho kwambà waandishi wa habari ni watu wabaya. Sijawahi kuwa na ujasiri wa kutazama hiyo video mipaka mwisho!
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Issue siyo kumbeza. Watu wanashangaa inakuwaje mtu wa elimu ya kiwango hicho asimudu Kiingereza! Lakini tukimtendea haki tuangalie na kiswahili: anakimudu? Hapana. Prof. Kitila Mkumbo aliandika hili mwaka 2014.
 
Back
Top Bottom