Magufuli turns Mnangagwa into a translator

Kujua kiingereza sio ndio kuwa na akili au uwezo mkubwa wa kiuongozi, nafahamu rais wa China hajui kabisa kiingereza, Chancellor wa ujerumani hajui kiingereza , hao ni viongozi wa nchi kubwa duniani na wanaheshimika Sana .
Jamani tuache kumbeza kiongozi wetu kwa suala la lugha ya kiingereza,
Sio nyie juzi mlikuwa mnashangilia rais kahutubia kwa kiingereza leo kashindwa kujibu kwa kiingereza mnasema anatukuza lugha yake.
 
Alipokuwa anasoma speech kwa kingereza alikuwa anaonyesha nini kwanini basi asingeiandaa kwa kiswahili kuonyesha anaipenda lugha yake.

Mkuu unafanya kile Unaweza kufanya kwa usahihi kwa mazingira uwezo na wakati

Kuongea kiswahili nje ya nchi ni ujasiri uliopitiliza
 
Kujua kiingereza sio ndio kuwa na akili au uwezo mkubwa wa kiuongozi, nafahamu rais wa China hajui kabisa kiingereza, Chancellor wa ujerumani hajui kiingereza , hao ni viongozi wa nchi kubwa duniani na wanaheshimika Sana .
Jamani tuache kumbeza kiongozi wetu kwa suala la lugha ya kiingereza,
PhD aliipata kwa lugha gani? China wanatumia lugha yao kuanzia chekechea mpaka chuo, huoni tofauti hapo?
 
Wewe gamba hujawahi msikia Mbowe akitema "slang" za kizungu??

Wewe unadhani viongozi wa upinzani wanafanana na Jiwe katika kutojua lugha ya kiingereza??

Huyu ni PhD holder gani, ambaye lugha ya malkia inampiga chenga??
Slavery mentality thinking Bro! Mimi nimesomea UK lakini Kiingereza sikipendi sana kukitumia baada ya kujua sababu ya wazungu kuwalazimisha babu zetu kutumia Kiingereza chao! Soma hapa chini utaelewa.

tapatalk_1540895145939.jpeg
 
Magufuli anakitangaza Kiswahili safi sana
Una uhakika Rais wetu ana weledi wa lugha ya kiswahili?ila napongeza juhudi za kuipa hamasa jamii ya kimataifa katika ku kikumbatia kiswahili ili kiwe lugha rasmi ya bara letu.
 
Kujua kiingereza sio ndio kuwa na akili au uwezo mkubwa wa kiuongozi, nafahamu rais wa China hajui kabisa kiingereza, Chancellor wa ujerumani hajui kiingereza , hao ni viongozi wa nchi kubwa duniani na wanaheshimika Sana .
Jamani tuache kumbeza kiongozi wetu kwa suala la lugha ya kiingereza,
Najiuliza APA Tanzania tunasoma lugha ya kingereza kuanzia form one mpaka chuo kikuu kwa masomo yote isipokuwa kiswahili, China na ujerumani wanasoma lugha zao kwa elimu yao mpaka wanamaliza chuo kikuu. Sasa Tanzania tuna fananishwaje na wao
 
Tunafanana kwamba sio lazima kwa kiongozi mkuu wa nchi kujua sana kiingereza ndio uthibitisho kwamba huyo ni kiongozi mzuri.
Sasa watu wanaombeza kiongozi wetu kwamba eti hafahamu kiingereza vizuri siwaelewi mantiki yao,
Sio lazima mtu kufahamu lugha ya kiingereza vizuri ndio uthibitisho kwamba ni kiongozi mzuri
 
Wewe gamba hujawahi msikia Mbowe akitema "slang" za kizungu??

Wewe unadhani viongozi wa upinzani wanafanana na Jiwe katika kutojua lugha ya kiingereza??

Huyu ni PhD holder gani, ambaye lugha ya malkia inampiga chenga??

Sasa hiyo lugha ya kiingereza imewasidia nini kwa kuijua? Nani anaongoza Dola JMTZ?
 
Mbona mbowe sijawahi kumuona akiongea english?
Sasa wewe Bashite hata ukimsikia Mbowe akitema kimombo utamwelewa? Yule ni mchaga baba siyo Mhutu, mwekezaji mwenye vitega uchumi ndani na nje ya nchi...unafikiri angekuwa kiazi kama huyo kiazi wenu angeweza kumiliki hotels Dubai, Nairobi, Durban na London? Uwe unajiuliza maswali kabla hujaja na ujinga wako hapa!
 
Mbona hatumuoni akichangia harambee za kusaidia watoto yatima kama Mengi
 
Back
Top Bottom