Magufuli turns Mnangagwa into a translator

Hivi inawezekana kureseach,kuandika na kudefend PhD thesis bila a good command of English language.Academic standard Dar university mashakani.
Inawezekana kabisa, fani nyingi za kisayansi huwa zina lugha zake, hivyo wahusika huangalia zile dondoo kama zina mlolongo ulionyooka. Mfano mtu akisema, "in situ hybridization" teyari wanataaluma wanakuwa wanajua kinaongelewa nini bila ya kujali kama sentensi imeumbwa vizuri.
 
Mbona mbowe sijawahi kumuona akiongea english?
Mbowe hana Phd kama Magufuli hivyo kama Mbowe hajui English sio jambo la kushangaza lakini kwa mtu mwenye Phd kutokujua basic English kwa kweli ni moja kati ya maajabu ya ulimwengu!
 
Mbowe kaishia form 6 lakini ana kiingeresa kizuri kuzuri kuliko huyo huyo Mwenyekiti wenu wa CCM -taifa aliepata Phd kiujanja ujanja ndani ya miaka 3 ingawa hakuwa full time student.
Mkuu aliyetaka kutoa ukweli analiwa na udongo sasa!! PHD ya miaka 3!! RIP BEN saa8
 
Watu mnaokuja na hoja hii ni mbumbumbu kiwango cha rami
Mtu kasoma toka primary hadi ngazi ya PHD hawezi hata kuongea sentensi mbili?
Kumbuka wachina wao wanasoma kwa kichina tofauti na sisi
Wewe ndio mbumbumbu. Soma Gardner Theory of Multiple Intelligences. Nafikiri hata huko shule ulikua na watu wanapasua sana PCM lkn English chenga.
 
Mbona mbowe sijawahi kumuona akiongea english?

Huwezi safisha uchafu wa mtu kwa kumpaka mtu mwingine uchafu.

Pia huwezi ona mtu akiongea lugha fulani, bali utasikia mtu akiongea lugha fulani.
 
Wewe ndio mbumbumbu. Soma Gardner Theory of Multiple Intelligences. Nafikiri hata huko shule ulikua na watu wanapasua sana PCM lkn English chenga.
Pumbavu inawezekana hyo multiple intelligence theory hujaielewa vizur,hakuna mahali Gardner ameignore language competence ktk kupatà skills....
 
Magufuli turns Mnangagwa into a translator

SWAHILI speaking Tanzanian leader John Pombe Magufuli, on Wednesday turned President Emmerson Mnangagwa into a translator, after it emerged none among the aides at the State House function in Harare could perform the function except for the Zanu PF leader.

Magufuli was in Zimbabwe on a two-day State visit and in his final address to the media before departure spoke mainly in Swahili the biggest language in East Africa forcing his host to help bemused local journalists.

The Tanzanian leader was announcing his government had a maize surplus and was ready to help hunger stricken Zimbabwe.

After speaking exclusively in his native Swahili, Magufuli turned to the journalists present and said: “I Know you will cut some of the words.”

Mnangagwa’s spokesperson George Charamba tried but could only manage one word.

“I just heard ‘mwaka’ meaning season,” Charamba said before Mnangagwa noticing the handicap among his country-men turned translator.

Earlier on, Tuesday at a banquet held at State house, Magufuli told the media that he could not find a translator for his speech thus he was now forced to read his written speech which was in English.

Introducing him to the media Mnangagwa jokingly said President Magufuli is ready for questions but he only speaks Swahili.

“With me here is President Magufuli of the Republic of Tanzania, who came here by invitation reciprocating my visit to Tanzania. We have had discussion to promote, deepen and to consolidate relations, he is at your disposal if you want to ask questions but he speaks only Swahili,” Mnangagwa said.

Mnangagwa had asked Magufuli if he had a translator among his staffers to which the Tanzanian responded in the negative before carrying on.

Translating his first brief, Magufuli further said he came to Zimbabwe to cement the bilateral relations between the two nations. He said the two leaders had agreed on several issues which including trade, tourism, and infrastructure.

“I came here to cement the bilateral relations between Zimbabwe and Tanzania. I am only a catalyst and I am confident that the talks between the two nations will continue,” he said resorting to Swahili before breaking into laughter.

During the liberation struggle Mnangagwa operated as a guerrilla in Tanzania were Zanu had several bases from which he probably learnt Swahili.

Yamesemwa mengi kuhusiana na lugha anazomudu mheshimiwa wetu mpendwa rais wa wanyonge.

Kwa mujibu wa mheshimiwa Mnangangwa, maswali ni kwa kiswahili tu maana ndiyo lugha pekee ambayo mgeni wake anayo imudu:

[

Kazi kweli kweli = hapa kazi tu.

Mbona wametuletea aibu kiasi hiki? Alikosa watafsiri alioenda nao au aliwakataza wasitafsir ili wasije potosha maana?
 
Very disorganized, kama alikuwa anajua ataongea kiswahili angeandaliwa translator mapema. I don't know why these things happen kizembe hivi.
 
Pumbavu inawezekana hyo multiple intelligence theory hujaielewa vizur,hakuna mahali Gardner ameignore language competence ktk kupatà skills....
Rudi darasani. Ukisoma na kuelimika uje.
 
Tuzungimzie maendeleo lugha baadaye hata miongoni mwetu wapo wasioweza kunyoosha sentensi ya kiswahili
 
Back
Top Bottom