Magufuli turns Mnangagwa into a translator

Magufuli turns Mnangagwa into a translator

We jitu la ovyo sana hv huoni maajabu kwa mtu mwenye level ya PhD aliyoipatà kwa kutumia lugha kiingereza na wakati mwingne alitumia lugha hyo kuwashawish oral examiners wakubali hoja zake alaf ashindw kuońgea ňa waañdish wa habari?Bas usomi huu ni questionable,yaan tunawàshawish wengñe kua ķuongea kiswahili ni uzalendo wakat sis tumesoma kupitià kizungu
Science is empirical evidence oriented. Presentation za kisayansi wanadeal na FACTS TU na sio mbwembwe. Nafikiri unafikir Jpm ana PhD ya international relations au linguistic. Watu wa sayansi hawawezi kushangaa kwanini Jpm hajui kiingereza ila wale waliokariri ndio wanashangaa. Sijui kama uliwahi ona essay ya Chemistry au mathematics. Na hata ukifika Chuo kikuu asilimia kubwa wanaofeli course za communication skills ni watu wa sayansi. Kuna watu vichwa vimejaa CODE tu na ni hatari,sasa wewe ulivyo mpumbavu ukimuona hajui kiingereza utakuja mbio kupiga kelele jamaa hana AKILI. Nina mifano mingi sana,Huko secondary kwenyewe nilikua na jamaa mtaalam wa Math na NECTA alipiga A lkn debates, morning speech na masomo ya kujieleza ilikua shida sana. Kwa akili za kipumbavu utasema jamaa hana AKILI lkn ukifika Chuo ukakutana na theory za akina Gardner utaelewa.
 
Mimi sijadili uwaziri wala Ph.D yake. Na wala mimi sishabikii mambo madogo madogo ya rais kutojua kiingereza. Kutojua kiingereza ni upungufu kama upungufu mwingine wowote; kila mtu anao upungufu wake. Ninachojadili mimi ni mambo mawili. Kwanza, katika nchi kuna haja sasa kuwa na mfumo madhubuti wa kuwezesha watu wenye vigezo stahiki kushika madaraka makubwa katika nchi. Rais ni nembo ya nchi hivyo si busara hata kidogo kuacha wazi tu na vigezo vya jumla jumla. Hakuna raia hata mmoja anayepata faraja kusikia rais wake ameshindwa kutumia Kiingereza! Pili, wanasiasa wetu nao na vyama vyao wajifunze kitu hapa. Wajipime kabla ya kujaribu kutaka kuwania madaraka makubwa katika nchi. Kwa mfano, kwa upungufu wake rais wetu alistahili kubakia waziri tu. Mwanadiplomasia namba moja katika nchi yetu ni rais! Naamini rais wetu hakujua hilo na nadhani aliamini pia kuwa halazimiki kusafiri nje ya nchi!
Kwahiyo Marais wote duniani wanajua kiingereza na ni moja ya vigezo ktk kuwachagua?
 
Science is empirical evidence oriented. Presentation za kisayansi wanadeal na FACTS TU na sio mbwembwe. Nafikiri unafikir Jpm ana PhD ya international relations au linguistic. Watu wa sayansi hawawezi kushangaa kwanini Jpm hajui kiingereza ila wale waliokariri ndio wanashangaa. Sijui kama uliwahi ona essay ya Chemistry au mathematics. Na hata ukifika Chuo kikuu asilimia kubwa wanaofeli course za communication skills ni watu wa sayansi. Kuna watu vichwa vimejaa CODE tu na ni hatari,sasa wewe ulivyo mpumbavu ukimuona hajui kiingereza utakuja mbio kupiga kelele jamaa hana AKILI. Nina mifano mingi sana,Huko secondary kwenyewe nilikua na jamaa mtaalam wa Math na NECTA alipiga A lkn debates, morning speech na masomo ya kujieleza ilikua shida sana. Kwa akili za kipumbavu utasema jamaa hana AKILI lkn ukifika Chuo ukakutana na theory za akina Gardner utaelewa.
We jamaa uēlewa wako pussy kabisa.....maelezo meng ujinga mťupu
 
We jitu la ovyo sana hv huoni maajabu kwa mtu mwenye level ya PhD aliyoipatà kwa kutumia lugha kiingereza na wakati mwingne alitumia lugha hyo kuwashawish oral examiners wakubali hoja zake alaf ashindw kuońgea ňa waañdish wa habari?Bas usomi huu ni questionable,yaan tunawàshawish wengñe kua ķuongea kiswahili ni uzalendo wakat sis tumesoma kupitià kizungu
Kuongea na kuandika ni vitu viwili tofauti
Ushawahi msikia Kim jing Un anaongea kiingereza? Au Angela Merkel, Putin, Xi jin P
Ushawahi msikia Theresa May au Trump anaongea lugha tofauti na kiingereza?
 
Kuongea na kuandika ni vitu viwili tofauti
Ushawahi msikia Kim jing Un anaongea kiingereza? Au Angela Merkel, Putin, Xi jin P
Ushawahi msikia Theresa May au Trump anaongea lugha tofauti na kiingereza?
Anothèr ndondocha......haya ss twende ushawai sikia china wanatumia kiingereza kufundishia toka msingi mpk chuo kikuu hvy hvy kwa ujeruman,ulishawahi sikia uk wanatumia lughà ya kigeñi kufundishïa toka chin mpaka juu?
Acha maswali yà kitõto
 
Issue hapa ni kwanini hotuba iliyokuwa imeandikwa(aliyoisoma) ilikuwa ni ya Kiingereza na maswali yawe kwa Kiswahili, hiyo inahitimisha ya kuwa si kwamba anakipenda Kiswahili bali ni tatizo la kutokumudu kuongea Kiingereza ndiyo kiini cha mkanganyiko hapo.
Kama kweli anakipenda na ana nia ya kukitukuza Kiswahili basi hata hotuba yake aliyoisoma ingekuwa ya Kiswahili.
Swali muhimu hapa,shule amesomaje? Kiingereza hajui siyo siri, mpaka kufika kiwango cha PHD alikuwa akisoma masomo yake kwa Kiswahili? Manake kuna vichaa wanakuja na mifano ya akina Putin(who speaks German like a native) na wengineo waliosoma kwa lugha zao mpaka wanahitimu.
Usanii wa aina yoyote hauna nafasi hapa, tukubali Kiingereza kwake imekuwa ni kitendawili, twende naye taratibu kwani ndiyo kiongozi wetu na taswira ya nchi yetu na tutafika tu hata kama ni kwa aibu.
Kwani wewe hujawahi kumwona akiongea hicho kiingereza za slave master wako??? Mbona hata huko kwenye kikao cha ndani cha Namibia ameonekana akiendesha hicho kikao kwa kiingereza? Pia nataka nikuambie kuongea kiingereza siyo ndiyo kuwa msomi ila kuna Waafrika walioadhirika kitumwa kama wewe unayefikiria kuongea kiingereza ndiyo usomi eti kama huwezi kuongea kiingereza fasaha hujasoma ndiyo maana unahoji PHD yake! Kwani PHD yake ni ya Literature? Hiyo ni ya Kemia mkuu hivyo ukitaka kumpima mpime kwa Kemia siyo kuongea Kiingereza. Inaonekana wewe hujaelimika ila utakuwa umehudhuria chuoni. Hata Slave Master wako alishasema mapema tu mwaka 1835 mission yao ya kuwatawala watu kama nyinyi soma hapa chini.

tapatalk_1540895145939.jpeg
 
Anothèr ndondocha......haya ss twende ushawai sikia china wanatumia kiingereza kufundishia toka msingi mpk chuo kikuu hvy hvy kwa ujeruman,ulishawahi sikia uk wanatumia lughà ya kigeñi kufundishïa toka chin mpaka juu?
Acha maswali yà kitõto
Slavery mentality
tapatalk_1540895145939.jpeg
 
Tatizo lugha anaipenda ila haimudu..
Na ndio maana akiwa anaongea huwa anachomeka visamiati vya kemia ili aonekane na yeye yumo....acheni kumtia ujinga
Kila siku akiongea kiingereza lazima aseme " am a Catalyst for speeding up the chemical reactions " nadhani ameishiwa misamiati ya kidhungu
 
Kwahiyo Marais wote duniani wanajua kiingereza na ni moja ya vigezo ktk kuwachagua?

Rubbish. Mtu mzima usijenge hoja kitoto. Sisi siyo watoto; ni watu wazima, tena wazalendo halisi wa nchi hii. Tunajadili haya mambo kwa sababu tunaipenda hii nchi ya Nyerere. Tunapata maumivu inapodhalilika kwa sababu tu ya kukosekana usimamazi wa mambo ya msingi. Without exception marais wote wa dunia wanajua lugha walizosomea kuanzia shule ya msingi hadi mwisho wa elimu yao. Nasi kwa sababu lugha yetu ya kusomea ni kiingereza tunaibika sana kuwa na rais asiyeijua hiyo lugha. Nimekutana na wataalam kutoka Mozambique, Angola, DRC wanatumia kireno/kifaransa lakini wanazungumza Kiingereza vizuri kwa sababu, kama alivyopata kusema Baba wa Taifà Kiingereza ndiyo Kiswahili cha dunia! Lakini kwa vile maji yameshamwagika kilichobaki ni tujisahihishe. Na hatuwezi kujisahihisha kwa kuendendekeza mawazo ya kijinga kuwa rais wetu siyo lazima ajue Kiingereza! Binafsi ninaamini hakuna kitu kinachomsumbua rais wetu na kumfanya kuonekana antisocial kama hii ya lugha. Believe me, it is a nightmare for him. Namuelewa sana na kumuunga mkono anapokwepa kusafiri nje. Nimemuelewa pia alipotoa hii suprise ya kutoongea na mwanahabari kwa Kiingereza. Kuanzia sasa pote atakapokwenda Africa atumie kiswahili na mkalimani awepo. Nje ya africa asiende.
 
Wewe gamba hujawahi msikia Mbowe akitema "slang" za kizungu??

Wewe unadhani viongozi wa upinzani wanafanana na Jiwe katika kutojua lugha ya kiingereza??

Huyu ni PhD holder gani, ambaye lugha ya malkia inampiga chenga??
Akili zilizoshikiliwa na wakoloni, JPM aongee kiswahili popote atakapokwenda kama Putin na Yule wa China, Putin anajua kiingereza lakini hakitumii popote atakapokuwa ziara za nje anaongea kirusi tuu.
Kujua kiingereza sio kuwa kiongozi Bora, wapo wanajua kiingereza kama Kenya na Nigeria lakini ndio wanaongoza Kwa rushwa africa
 
Mbona Rais wa China hutumia lugha Yao ya kichina ktk mikutano yake ya nje na ndani ya nchi? Mwacheni mheshimiwa Rais afanye kazi yake akitumia lugha ya taifa lake. Kwani lugha ya kiingereza ndiyo inaleta maendeleo? Kama ni hivyo taifa la China lingefika hapo lilipo kiuchumi?
Kwani limefika wapi?
Nchi ina watu Milioni elfu moja na mia saba unategemea hata Afrika na umaskini wake ingekua ni nchi moja si ingekua ni kati ya nchi Tajiri kuzingatia pato la nchi.

Umaskini wa watu wa China bado ni Mkubwa sana ukigawanya Pato la nchi na idadi ya watu wa wake.

Huwezi ukailinganisha China kimaisha ya watu wa kawaida na Canada au Norway au Denmark.

China bado wanaishi maisha ya kinyama.
Watu wananyongwa kila siku ,watu ni watukutu sana na wana Roho mbaya sana kama nyoka la mdimu.

Sijawahi kuifagilia nchi isiyopenda wageni.

CCM ni wengi ni wanafiki kama walivyo wachina.
Ni watanzania wangapi wanaishi China na wakaoa China na wakazaa na machina ?

Yani humu ndani JF kama kuna Watanzania hata 50 wanaoishi China na wana Wakwe kula basi Mwenyezi Mungu atukuzwe ?

Hakuna haja ya kumuiga shetani kwa sababu tu ana uwezo wa kishindana na Mungu.
China sio Mwenzetu kamwe zaidi ya wanasiasa waovu walioka kwenye nchi za Afrika kuwatesa watu wao na kuzifanya nchi zao kuwa koloni la Mchina katili.

Afrika kama ingekua na viongozi wenye nia njema na Nchi zetu wangempiga vita Mchina kuliko hata Ukimwi.
Kama kuna watu watawaachia wananchi wao laana na mateso makubwa miaka 50 ijayo mbele ni wale watakao mkubatia Mchina kwa misaada au kuwaruhusu wachina wakae Afrika badala ya kufanya nao biashara tu wakiwa kwao.

Nchi za Asia hasa waarabu walikuja mwanza wakatutawala kwa dini zao na mila zao lakini angalau walikua wanahofu ya hukumu ya Mungu japo tunaambiwa walikua katili.
Wakaja wazungu na Dini yao na mila zao lakini walikua na utu zaidi ya waarabu japo walikua wajanja zaidi kwenye kutawala na kueneza wakiwatumia zaidi waafrika wenyewe kutengana kwa kupitia Elimu, fedha ,vyeo n.k.
Watu walianza kubaguana kupitia madaraja ya Elimu n.k.

Waarabu na Wazungu ni kama Zimwi likujualo. Kwa sababu ndugu zetu wengi wanaishi kwao na tunashea utamaduni kwenye masuala ya dini ya Kiislam na Kiroma.
Pia wanajitoa sana kwenye kusaidia jamii kupitia taasisi za kidini.
Misaada tunayoipata toka Uarabuni na Nchi za Magaharibi kama jamii mbali na Watawala ambao ni mawakala wa Wachina ni mingi sana na inaisadia jamii zaidi kuliko misaada ya kichina ambayo inahamasisa uvunjaji wa sheria kwa watawala na kutojali haki za binadamu zaidi ya watawala kuwa miungu watu. Watawala wanageuka kuwa watu wenye kuamrisha zaidi kuliko kuongoza na kuwatumia wananchi kujiletea maendeleo yao wenyewe bila kutegemea serikali muda wote au wanasiasa.

Kama tunataka kujiletea maendeleo bila kuegemea upande wowoye wa hawa wakoloni mambo Leo basi ni vizuri tukaamua kuwaweka pembeni wachina na kuachana na misaada yao inayowapa nafasi zaidi ya wao kujijenga kisoko.
Wachina wakikuagiza bidhaa Mara miaka mitatu mfululizao basi ujue wamejitahidi sana.

Wachina wakishajua bidhaa filani ina soko kwao basi wanaicopy na kupest haraka sana na kuizalisha kwa wingi sana hata kama ni mazao wataloma kwa wingi sana na inakua ndio mwisho wa kuagiza nje .
 
Rubbish. Mtu mzima usijenge hoja kitoto. Sisi siyo watoto; ni watu wazima, tena wazalendo halisi wa nchi hii. Tunajadili haya mambo kwa sababu tunaipenda hii nchi ya Nyerere. Tunapata maumivu inapodhalilika kwa sababu tu ya kukosekana usimamazi wa mambo ya msingi. Without exception marais wote wa dunia wanajua lugha walizosomea kuanzia shule ya msingi hadi mwisho wa elimu yao. Nasi kwa sababu lugha yetu ya kusomea ni kiingereza tunaibika sana kuwa na rais asiyeijua hiyo lugha. Nimekutana na wataalam kutoka Mozambique, Angola, DRC wanatumia kireno/kifaransa lakini wanazungumza Kiingereza vizuri kwa sababu, kama alivyopata kusema Baba wa Taifà Kiingereza ndiyo Kiswahili cha dunia! Lakini kwa vile maji yameshamwagika kilichobaki ni tujisahihishe. Na hatuwezi kujisahihisha kwa kuendendekeza mawazo ya kijinga kuwa rais wetu siyo lazima ajue Kiingereza! Binafsi ninaamini hakuna kitu kinachomsumbua rais wetu na kumfanya kuonekana antisocial kama hii ya lugha. Believe me, it is a nightmare for him. Namuelewa sana na kumuunga mkono anapokwepa kusafiri nje. Nimemuelewa pia alipotoa hii suprise ya kutoongea na mwanahabari kwa Kiingereza. Kuanzia sasa pote atakapokwenda Africa atumie kiswahili na mkalimani awepo. Nje ya africa asiende.
Ungesema Marais wote duniani wanaongea kiingereza ungekua na AKILI TIMAMU. Sasa kama Rais wa China hajui kiingereza na nchi inaenda ttz nini?Kuna siku Rais amekwama kufanya mambo yake kisa hajui kiingereza?Wewe unataka sifa au usiaibike kuwa Rais hajui kiingereza, je hili linakuongezea nini au kupunguza nini ktk Maisha yake kila siku?Mtu aliyeko kakonko anafaidika nini na Rais kuongea kiingilishi?Kama viongoz wakubwa wa mataifa yaliyoondelea wanatembea na wakalimani wao na mambo yanaenda, kwa JPM shida ni nini?
 
Back
Top Bottom