casanova69
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 2,366
- 2,180
mikataba na mabeberu inaandaliwa ki english,alafu baadae mnakuja kutuambia tunaibiwa kumbe hamuelewi!
Ile mimba aliyokupachika Mbowe bado tu hujajifungua mbona miezi imepita sana?Mbona mbowe sijawahi kumuona akiongea english?
Huyu jamaa huwa anajitoa sana ufahamu.Mbowe anaingia vipi kwenye huu uzi? Viroba pamoja na marufuku wenzetu mwavipata wapi?
Sio kwa kupenda lakini ...!!Ohh that is my president, yaani nafurahi sana anaposimamia msimamo wa lugha yetu. Mungu ambariki sana Dr Magufuli!!
Una akili ndogo kweli, umeambiwa hapana excuse kwa mtu kushindwa kumudu lugha aliyoisomea toka sekondari hadi PhD, otherwise he is an academic cheat - huyu ni Dokta ujue? Na mnapenda kumtambulisha hivo, anatudhalilisha sana uelewa wake wa masuala makubwa unapokuwa mdogo kama wa Balozi wa nyumba kumi - in fact nawajua mabalozi wenye uelewa na kiingereza kizuri kuliko huyu kilaza!Ungesema Marais wote duniani wanaongea kiingereza ungekua na AKILI TIMAMU. Sasa kama Rais wa China hajui kiingereza na nchi inaenda ttz nini?Kuna siku Rais amekwama kufanya mambo yake kisa hajui kiingereza?Wewe unataka sifa au usiaibike kuwa Rais hajui kiingereza, je hili linakuongezea nini au kupunguza nini ktk Maisha yake kila siku?Mtu aliyeko kakonko anafaidika nini na Rais kuongea kiingilishi?Kama viongoz wakubwa wa mataifa yaliyoondelea wanatembea na wakalimani wao na mambo yanaenda, kwa JPM shida ni nini?
Mbona nyinyi watu ni wapuuzi? Hakuna excuse kwa mtu, tena Rais wa nchi PhD holder kushindwa kumudu lugha ya Kingereza aliyoisomea hadi level ya PhD, na huyo mtu bado akawa kiongozi mkubwa kwa miaka lukuki kabla ya kuwa Rais...kama ni hivi huyu mtu is an academic cheat, bald fraud!Kwahiyo Marais wote duniani wanajua kiingereza na ni moja ya vigezo ktk kuwachagua?
Nimekuuliza Marais wote duniani wanajua kiingereza?Mbona nyinyi watu ni wapuuzi? Hakuna excuse kwa mtu, tena Rais wa nchi PhD holder kushindwa kumudu lugha ya Kingereza aliyoisomea hadi level ya PhD, na huyo mtu bado akawa kiongozi mkubwa kwa miaka lukuki kabla ya kuwa Rais...kama ni hivi huyu mtu is an academic cheat, bald fraud!
Kwa kiswahili gani,??Mkuu unafanya kile Unaweza kufanya kwa usahihi kwa mazingira uwezo na wakati
Kuongea kiswahili nje ya nchi ni ujasiri uliopitiliza
Worse enough sisi ni British colony na mfumo wetu unatumia EnglishMbona nyinyi watu ni wapuuzi? Hakuna excuse kwa mtu, tena Rais wa nchi PhD holder kushindwa kumudu lugha ya Kingereza aliyoisomea hadi level ya PhD, na huyo mtu bado akawa kiongozi mkubwa kwa miaka lukuki kabla ya kuwa Rais...kama ni hivi huyu mtu is an academic cheat, bald fraud!