Ohh that is my president, yaani nafurahi sana anaposimamia msimamo wa lugha yetu. Mungu ambariki sana Dr Magufuli!!
Tatizo lugha anaipenda ila haimudu..Ohh that is my president, yaani nafurahi sana anaposimamia msimamo wa lugha yetu. Mungu ambariki sana Dr Magufuli!!
Hata Kabudi hafikii std ya Mbowe kwa lugha ya malikia.Mbona mbowe sijawahi kumuona akiongea english?
Hapo ulipo kunywa kinywaji nakuja kulipia my dear... UmenifurahishaOhh that is my president, yaani nafurahi sana anaposimamia msimamo wa lugha yetu. Mungu ambariki sana Dr Magufuli!!
.Swali zuri sana hili... wakijibu kwa ushahidi angalau wa video au audio naomba nijulishe i
Watu kama wewe mara nyingi mnakuwa na uwezo mdogo wa kufikiri na pia mnakuwa na mawazo mgando sana.... Too negativeunazurura kwa watu lakini huna uwezo wa kuwasiliana nao, aibu
Ni kheri aongee lugha anayoimudu l.
Watu mnaokuja na hoja hii ni mbumbumbu kiwango cha ramiHaina shida maana sijawahi kumsikia Putin ama rais wa china akiongea lugha ya kigeni
Mtu kasoma hadi phd na anasema kakaa hadi uingeleza sasa sijui alikuwa anatamka bunsen burner au??Watu kama wewe mara nyingi mnakuwa na uwezo mdogo wa kufikiri na pia mnakuwa na mawazo mgando sana.... Too negative
sasa kwani kushindwa kujua kiingeleza na kushindwa kufanya Mawasiliano.?
Hakuna watafasiri wa Lugha?
Mbona wachina na mataifa mengine Km India huja hapa Tanzania na watafasiri kufanya Mawasiliano??
Watu wengine Km wachawi vile? Hakuna hata siku moja mnakuwa na mawazo positive.... Always negative tu...
Hivi ni wewe???ndio maana anaamua kujikalia zake nyumbani maana huko nje ni kudhalilishana tu
Bahati mbaya na kiswahili shidaNasikia furaha sana kuwa mzungumzaji wa kiswahili
Alipokuwa anasoma speech kwa kingereza alikuwa anaonyesha nini kwanini basi asingeiandaa kwa kiswahili kuonyesha anaipenda lugha yake.Kwa hakika hakuna kosa
Nisahihi kabisa
Wachina wanapiga kichina
Warusi wanapiga kirusi
Waarabu wanapiga kiarabu
Kwangu mimi kwa hili Rais Magufuli yupo sahihi