Yaani huyu mzee haoni aibu kusema ni PhD holder wakati lugha ya malkia haijuiWewe gamba hujawahi msikia Mbowe akitema "slang" za kizungu??
Wewe unadhani viongozi wa upinzani wanafanana na Jiwe katika kutojua lugha ya kiingereza??
Huyu ni PhD holder gani, ambaye lugha ya malkia inampiga chenga??
