Magufuli turns Mnangagwa into a translator

Magufuli turns Mnangagwa into a translator

Watu kama wewe mara nyingi mnakuwa na uwezo mdogo wa kufikiri na pia mnakuwa na mawazo mgando sana.... Too negative

sasa kwani kushindwa kujua kiingeleza na kushindwa kufanya Mawasiliano.?
Hakuna watafasiri wa Lugha?
Mbona wachina na mataifa mengine Km India huja hapa Tanzania na watafasiri kufanya Mawasiliano??

Watu wengine Km wachawi vile? Hakuna hata siku moja mnakuwa na mawazo positive.... Always negative tu...
Kinacho shangaza ni kwamba alipataje PhD? Kilangila.
 
Si anataka kuweka watu wajuaji na wenye kejeli kama akina Kabudi kwa wafanyakazi waliowakuta kwenye wizara wakati yeye mwenyewe skills za kuendesha shughuli hapo hana.

Sijui kama ni planned sabotage or what lakini hii issue ni serious blunder kwa wizara ya mambo ya nje aiwezekani wataalamu humo ndani na watu wanaoanda safari ya raisi wasijue mahitaji ya raisi katika safari zake na kuandaa mipango in advance yaani mpaka anafika nchi husika ina maana awakujua kwamba ataongea kiswahili na ni jukumu lao mkumpata mkaliman well in advance.
 
Magufuli turns Mnangagwa into a translator

SWAHILI speaking Tanzanian leader John Pombe Magufuli, on Wednesday turned President Emmerson Mnangagwa into a translator, after it emerged none among the aides at the State House function in Harare could perform the function except for the Zanu PF leader.

Magufuli was in Zimbabwe on a two-day State visit and in his final address to the media before departure spoke mainly in Swahili the biggest language in East Africa forcing his host to help bemused local journalists.

The Tanzanian leader was announcing his government had a maize surplus and was ready to help hunger stricken Zimbabwe.

After speaking exclusively in his native Swahili, Magufuli turned to the journalists present and said: “I Know you will cut some of the words.”

Mnangagwa’s spokesperson George Charamba tried but could only manage one word.

“I just heard ‘mwaka’ meaning season,” Charamba said before Mnangagwa noticing the handicap among his country-men turned translator.

Earlier on, Tuesday at a banquet held at State house, Magufuli told the media that he could not find a translator for his speech thus he was now forced to read his written speech which was in English.

Introducing him to the media Mnangagwa jokingly said President Magufuli is ready for questions but he only speaks Swahili.

“With me here is President Magufuli of the Republic of Tanzania, who came here by invitation reciprocating my visit to Tanzania. We have had discussion to promote, deepen and to consolidate relations, he is at your disposal if you want to ask questions but he speaks only Swahili,” Mnangagwa said.

Mnangagwa had asked Magufuli if he had a translator among his staffers to which the Tanzanian responded in the negative before carrying on.

Translating his first brief, Magufuli further said he came to Zimbabwe to cement the bilateral relations between the two nations. He said the two leaders had agreed on several issues which including trade, tourism, and infrastructure.

“I came here to cement the bilateral relations between Zimbabwe and Tanzania. I am only a catalyst and I am confident that the talks between the two nations will continue,” he said resorting to Swahili before breaking into laughter.

During the liberation struggle Mnangagwa operated as a guerrilla in Tanzania were Zanu had several bases from which he probably learnt Swahili.



Yamesemwa mengi kuhusiana na lugha anazomudu mheshimiwa wetu mpendwa rais wa wanyonge.

Kwa mujibu wa mheshimiwa Mnangangwa, maswali ni kwa kiswahili tu maana ndiyo lugha pekee ambayo mgeni wake anayo imudu:

[

Kazi kweli kweli = hapa kazi tu.
no wonder why Magufuli is afraid to travel out side of the country not even mention out side the continent. I know wanaccm watasema anapromote kiswahili. kiswahili utakipromote vipi wakati unao taka kuwafikishia ujumbe unashindwa kuwaeleza umuhimu wa kiswahili kwenye lugha wanayo elewa.
 
Kwa hakika hakuna kosa

Nisahihi kabisa

Wachina wanapiga kichina

Warusi wanapiga kirusi

Waarabu wanapiga kiarabu

Kwangu mimi kwa hili Rais Magufuli yupo sahihi
Kujua kiingereza sio ndio kuwa na akili au uwezo mkubwa wa kiuongozi, nafahamu rais wa China hajui kabisa kiingereza, Chancellor wa ujerumani hajui kiingereza , hao ni viongozi wa nchi kubwa duniani na wanaheshimika Sana .
Jamani tuache kumbeza kiongozi wetu kwa suala la lugha ya kiingereza,
Watu kama wewe mara nyingi mnakuwa na uwezo mdogo wa kufikiri na pia mnakuwa na mawazo mgando sana.... Too negative

sasa kwani kushindwa kujua kiingeleza na kushindwa kufanya Mawasiliano.?
Hakuna watafasiri wa Lugha?
Mbona wachina na mataifa mengine Km India huja hapa Tanzania na watafasiri kufanya Mawasiliano??

Watu wengine Km wachawi vile? Hakuna hata siku moja mnakuwa na mawazo positive.... Always negative tu...
Hivi hilo la kuwa Rais wa China au Vladimir Putin wa Urusi hawajui kiingereza mmetoa wapi? Rais wa China na viongozi wake wengine wengi tu wanaongea kiingereza kizuri sana au mpaka mpate video clip?

Then swali la msingi hapa ni kuwa wakati Dr. anasoma alitumia lugha ipi masomoni? Alikuwa anauliza maswali ama kujibu kwa lugha ipi?

Au alikuwa na mtafsiri siiince?


Tafakari...!!!!
 
Mnapenda uzwazwa sana kwani English ndio lugha ya kigezo cha urais? Warus, wachina, wajapan, waarab na wakorea wanatumia kingereza kwenye ziara zao? Acheni mambo yenu
Ndio wanatumia. Thibitisha kuwa hawatumii kabisa namimi nithibitishe utumiaji wao.
 
Ohh that is my president, yaani nafurahi sana anaposimamia msimamo wa lugha yetu. Mungu ambariki sana Dr Magufuli!!
Sio anasimamia msimamo wa lugha yetu sema lugha ya malkia haipandi. Walimu wengi wa sayansi Tanzania hawajui kiingereza, mfano huyu mwalimu wa chemistry!Halafu hata kiswahili chake ni cha kuungaunga bora aongee lugha ya wachunga ng 'ombe tu!
 
Back
Top Bottom