Magufuli turns Mnangagwa into a translator

Magufuli turns Mnangagwa into a translator

Kaka Kiingereza cha Mbowe ni level nyingine

Unajua mtoto wa tajiri hata akiwa mchafu watu humuita msafi na kumpigia magoti

Kaka mtoto wa tajiri huongea Kiingereza tofauti na maskini

Endelea kujilinganisha familia ya Mbowe na Babu yako mvaa kandambili zilizotoboka katikati

Mbowe ni next level kwenye lugha ya malkia

Tangu lini maskini akaongea lugha ya kueleweka mbele ya tajiri, Tajiri hata akikosea watu huzalisha msamiati aliotamka tajiri na kuingiza kwenye kamusi
..
Savage!!
 
Kwa nini unamuondoa Yesu? Hata alikuwa ni binadamu pia, isitoshe labda kama unapingana na maandiko ya dini za kiabrahamu kwani zote zinatambua kwamba kuna watu wanakuja hapa Duniani kwa kazi maalumu, na ndo maana kuna neno Masia.
Nimesema hivyo maana Yesu hakuwa binadamu wa kawaida,binadamu hupatikana pale mwanamke na mwanaume wanapokutana kimwili!Haikuwa hivyo kwa Yesu!
Huwezi kuniambia eti JPM ameletwa duniani na Mungu kwa kazi maalumu ya kuwa Rais wa Tanzania nikakuelewa!Tusipende kumsingizia Mungu vitu vya ajabu!
 
PhD holder!!!
Whether we like it or not English is our language, this is very shameful for a PHD holder kuongea broken English.. I mean we start learning darasa la tatu all the way mpaka PHD with a dissertation juu, bado simple grammar inaleta tabu.
Aibu tupu
 
May 30, 2019
Dodoma, Tanzania

Waziri Kabudi: Kamwe Hatutawapigia Magoti

Waziri Kabudi atoa mrejesho wa safari Kusini mwa Afrika : Afrika ya Kusini, Namibia na Zimbabwe : Uliombwa tukae siku nyingi zaidi wafaidi uzoefu wa kupambana na mabeberu wa kiuchumi.

Atoboa siri ya msafara waTanzania kushangiliwa ni marais wastaafu na hasa alipoonekana Jakaya Kikwete.

Waziri Kabudi hakusita kujitwika sifa kemkem katika utumishi wake kwa Tanzania na kuongeza hatakaa kimya akiona nchi inabezwa iwe New York, Geneva au mahali popote pale.

Source : Millard Ayo
 
Aliyekuambia usomi wa mtu hupimwa kwa kuongea kingereza nani?
Wewe gamba hujawahi msikia Mbowe akitema "slang" za kizungu??

Wewe unadhani viongozi wa upinzani wanafanana na Jiwe katika kutojua lugha ya kiingereza??

Huyu ni PhD holder gani, ambaye lugha ya malkia inampiga chenga??
 
Hakusomea 'linquistic', kasomea chemistry.
Si unaujua ile ni number na herufi zimechanganyi !
Wewe gamba hujawahi msikia Mbowe akitema "slang" za kizungu??

Wewe unadhani viongozi wa upinzani wanafanana na Jiwe katika kutojua lugha ya kiingereza??

Huyu ni PhD holder gani, ambaye lugha ya malkia inampiga chenga??
 
Kaka Kiingereza cha Mbowe ni level nyingine

Unajua mtoto wa tajiri hata akiwa mchafu watu humuita msafi na kumpigia magoti

Kaka mtoto wa tajiri huongea Kiingereza tofauti na maskini

Endelea kujilinganisha familia ya Mbowe na Babu yako mvaa kandambili zilizotoboka katikati

Mbowe ni next level kwenye lugha ya malkia

Tangu lini maskini akaongea lugha ya kueleweka mbele ya tajiri, Tajiri hata akikosea watu huzalisha msamiati aliotamka tajiri na kuingiza kwenye kamusi
Mbowe !?
 
PhD holder!!!
Whether we like it or not English is our language, this is very shameful for a PHD holder kuongea broken English.. I mean we start learning darasa la tatu all the way mpaka PHD with a dissertation juu, bado simple grammar inaleta tabu.
Aibu tupu
Acha kuchanganya lugha.
 
Mhutu na kiswahili wapi na wapi Mkuu! Na hapo ndiyo kaishi Bongo tangu akiwa mtoto. Ana lafudhi mbaya sana LAIS, NIMEFULAHI

..mimi sina tatizo na lafudhi yake.

..sote lafudhi zetu zimeathiriwa na lugha zetu za asili.

..Mzee Yussuf Makamba akizungumza utajua ni Msambaa.

..Mzee Joseph Selasini utajua ni Mchaga.

..Mzee Andrew Chenge utajua ni Msukuma.

..Wote wana lafudhi za maeneo walikotoka lakini wanaitendea haki lugha yetu kwa kuizungumza kwa ufasaha.

..Pamoja na lafudhi zao huwezi kuwasikia wanasema "mameli" badala ya meli, au "kubomoleshwa" badala ya kubomolewa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mbona mbowe sijawahi kumuona akiongea english?
Mbowe umeshindwa garammar ya darasani na ya mtaani ndio maana huwa anachomekea vocabularies anazopata pata akiwa machame karibu na wascotish wanao panda mlima.
 
Mbowe hapo anasoma maandiko lakini bado ana struggle.
Kumbe mbowe na magufuli wanafanana tuu viwango vyao vya lugha.
 
Back
Top Bottom