Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,367
- 100,408
ukilaza wako tu br au alikua anafundisha masomo yote.
Mpwa ni Jiografia tu, nilifeli nikapata C sio kwamba ni F
ukilaza wako tu br au alikua anafundisha masomo yote.
Tumejiroga wenyewe...:confused2::confused2::confused2:
Si kipindupindu pekee Mkuu bali pia kuhara damu na malaria kwa ongezeko la Mbu na Dar ilivyo chafu!!
Pamoja na viongozi lakini tusifumbie macho ukweli kwamba wananchi nasi ni sehemu ya tatizo sugu! Hata ukiweka miundombinu bora namna gani ukiishi mabondeni miundombinu haitaweza kukusaidia! Tuwe wakweli; hivi hapa Dar es salaam wananchi wanatupa wapi matakataka kama sio kwenye mitaro iliyipo pembezoni mwa barabara? Wapenda kulalamika utasikia "yaani serikali inaacha tu wananchi wanatupa takataka kwenye mitaro...!" Khaaaa! Hivi kweli hili nalo hadi serikali iweke polisi kulinda mitaro ili tusitupe takataka?Kinacho nishangaza tuko karibu na bahari tunaweza kuwa na miundo mbinu iliyo imara ya kupeleka maji baharini lakini tumekosa viongozi wenye upeo na uwezo wa elimu ya infrastructure
Mpwa nilisoma ila nilifeli maana yule Mwalimu aliekuwa anatufundisha alikua Mrembo kweli halafu shule tulikua boys tu
Kujenga katika mabonde na michirizi ya maji pia ni tatizo la serikali kushindwa kusimamia vizuri miundo mbinu, hawa wananchi masikini sana, serikali haina uwezo wa kuwapatia makazi bora basi ingeliweka utaratibu wa kutoa maeneo ya Makazi kwa wananchi kwa bure au kwa fedha ya chini, lakini kutokana na Rushwa hata maeneo wakitoa wanachukua wao viongozi na familia zao na baadae kuwauzia wananchi kwa mamilioni, hahe hohe kama wananchi hao wataweza wapi? Kuna kila sababu serikali kuutupia lawama.Pamoja na viongozi lakini tusifumbie macho ukweli kwamba wananchi nasi ni sehemu ya tatizo sugu! Hata ukiweka miundombinu bora namna gani ukiishi mabondeni miundombinu haitaweza kukusaidia! Tuwe wakweli; hivi hapa Dar es salaam wananchi wanatupa wapi matakataka kama sio kwenye mitaro iliyipo pembezoni mwa barabara? Wapenda kulalamika utasikia "yaani serikali inaacha tu wananchi wanatupa takataka kwenye mitaro...!" Khaaaa! Hivi kweli hili nalo hadi serikali iweke polisi kulinda mitaro ili tusitupe takataka?
Life is super
Mama mgonja au miss mrinde?
ashukuru Mungu sura yake haionekani vizuriMwenye hii picha atashangaa atajiona kwenye kila mtandao na hii style ya kipekee.
Tofauti ya tz na wenzetu![]()
![]()
aliyeturoga keshakufa jwa bahati mbaya sanasi kipindupindu pekee mkuu bali pia kuhara damu na malaria kwa ongezeko la mbu na dar ilivyo chafu!!