Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
Mmmh !! Mwana kuwa mwana kuwa ushuhuda utathibitisha hayo......Habari za kuaminika? Acha uzushi ndugu!
Mmmh !! Mwana kuwa mwana kuwa ushuhuda utathibitisha hayo......Habari za kuaminika? Acha uzushi ndugu!
Dadangu DB, hicho cha miundombinu ni jambo la mwiiiiiiishooo kbs, serikali za ulimwengu wa tatu kukifikiria... !! Ona mushkel wa maji na umeme unavyotutesa.... iwe mitaro kipaumbele?!!Inabidi miundo mbinu iimarishwe mitaa mingi haina mitaro hata kama ipo imezibwa na taka.
Alivokaa tu utafikiri katenguka kiuno ila imenichekesha hyo style.
Dadangu DB, hicho cha miundombinu ni jambo la mwiiiiiiishooo kbs, serikali za ulimwengu wa tatu kukifikiria... !! Ona mushkel wa maji na umeme unavyotutesa.... iwe mitaro kipaumbele?!!
Sawa unayosema..... siye kwetu tunausemi huu " sikiyo la kufa halisikii..... au unaita kwa sauti pasipo na marejeo !!! pole kwa wote.....Ni kweli mkuu ni zaidi ya janga ukitoa jangwani mitaani nyumba zimejengwa hadi mahoteli makubwa lakini hamna mitaro ya maji, hata barabara unakuta zimekamilika lakini mvua ikinyesha maji yanasimama hadi kwa barabara mpya eti zilizojengwa na wahandisi! Mitaro mingi ipo upande mmoja.Kuondoa hii hali mipango miji na miundo mbinu iboreshwe.
Na madereva watagoma mvua ikiisha. Huko hospitali mtaenda kwa miguu
Naona Mjamaa Ameitenga Hapo Huku Akiwa AMENANYUA Kishtobe Chake.
Ni kweli mkuu ni zaidi ya janga ukitoa jangwani mitaani nyumba zimejengwa hadi mahoteli makubwa lakini hamna mitaro ya maji, hata barabara unakuta zimekamilika lakini mvua ikinyesha maji yanasimama hadi kwa barabara mpya eti zilizojengwa na wahandisi! Mitaro mingi ipo upande mmoja.Kuondoa hii hali mipango miji na miundo mbinu iboreshwe.