BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,331
​Tunacheka kama mazuri, lakini hii picha ya polisiccm mgongoni kwa raia imenichekesha sana dah!
aisee.! nimecheka sana.
aisee.! nimecheka sana.
Zamiluni Zamiluni; Usiogope Mkuu wa kaya yuko UN akija na kama picha zimemfikia huko safari hii atarudi na msaada mkuubwa sana wa madawa hayo. Haswa hii picha ya huyu mdada alivyokaa kima pooozHayo maji ni machafu..basi yatasababisha kichocho na cholera...... Jamii jamani tuchukuwe uangalifu!!
nikimwangalia huyu dada hajakaa kimaafa japo yuko kwenye maafa
Mwenye hii picha atashangaa atajiona kwenye kila mtandao na hii style ya kipekee.
Tulishasema hata inyeshe vipi hatuhami ng'o na mabwepande hatuendi
Si kipindupindu pekee Mkuu bali pia kuhara damu na malaria kwa ongezeko la Mbu na Dar ilivyo chafu!!
Mwenye hii picha atashangaa atajiona kwenye kila mtandao na hii style ya kipekee.
​Tunacheka kama mazuri, lakini hii picha ya polisiccm mgongoni kwa raia imenichekesha sana dah!
namaanisha vyote Dortworld
Afadhali angevua viatu na soksi na akunje suruali, akianguka hapo hicho kiuno ndio atakitengua kabisa, na umaridadi wote utaisha.
Life is super