Kama wewe ni mmoja wa watunga sera kinachotakiwa ni ku-create Kariakoo nyingine huko nje ya mji. Lkn watunga sera wetu wanajiangalia wao wanatoka wapi/ wanakaa wapi basi kwingine wanasahau kabisa na ndo maana watu wanawafuata huko huko wakisema tutabana hapa hapa. Kulikuwa na mradi wa "satelite cities" Luguruni-Kibamba, Goba, Bunju lakn nafikiri umekufa kwani hakuna kinachoendelea. Pia kuna corridor wajua "Mtwara Corridor ilikuwa kipindi cha nani weye?, Je wajua Bagamoyo corridor ilikuwa kipindi gani?, unakumbuka maendeleo ya Mwanga (umeme, barabara za lami n.k) ilikuwa kipindi cha nani weye? Je Katavi everything Chuo kikuu, Mkoa, barabara za lami? Tafakari. hatuna sera ya kitaifa yaliyopo ni maigizo tu!
Hahahhahah Mpwa una visa wewe, you mean kitumbua kimeingia maji/mchanga? Huyu Camera man yeye alikua kwenye ndege au alikua anaelea?
dar.zanzibar,mobasa zitamezwa na maji hivi karbuni!!
Mpwa unakumbuka mwaka jana kwenye mvua hizi kulikua na Bidada mmoja alibebwa halafu akaangushwa kwenye dimbwi la maji? Hivi zile picha bado unazo? Maana picha zako full utatanimejaribu tu kuweka memory card kichwani
kama ulikuwa mjinga utakuwa umejifunza maana baadhi ya wanajf wamekufundisha hapa,kama mpuuzi endeleza upuuzi wako
Wanajaribu kuzuia mafuriko kwa mikono, miundombinu yote ya maji wamefunga kwa kujenga nyumba...sewerage system yenyewe mbovu,...wacha tuenjoy zetu sie tulio nje ya mji...wao waendelee kukwepa foleni...cha moto wanakiona...
Life is super
View attachment 249798
lol, vyote vimeloa hapo
nini kilichokufanya usafihi.... wewe jibu hoja!! Dalili inaonesha wazi na GLOBAL WARMING imethibitisha.....utamezwa wewe na watu wako kwanza khabithi
Habari za kuamini na uhakika:- Hadi kufika 2050 DAR,ZNBR,MOMBASA zitafutika ktk ramani !!!
Mpwa nilisoma ila nilifeli maana yule Mwalimu aliekuwa anatufundisha alikua Mrembo kweli halafu shule tulikua boys tuNi wazi hujasoma geography mpwa...😕
View attachment 249798
lol, vyote vimeloa hapo