Mafuriko makubwa yaikumba Dar es Salaam

Mafuriko makubwa yaikumba Dar es Salaam

ccm hawaleti mafuriko,sema wewe mwenyewe kutaka kuka mjini unaamua kujenga bondeni harafu unataka serikali ikuondole mafuriko hapo utasubili sana..
Hapo hakuna chadema,cuf,act,nccr wala ccm atakaye weza kuzuia wala kusaidia mafiliko yasifike kwa wanaoishi mabondeni..
Australia juzi tuu hapa wamepatwa na mafuliko na watu wamekufa kwenye miundombinu ya ukweli itakuwa bongo.


ccm ndio wa kulaumiwa kamwe hawawezi kujisafisha katika hili. Ujerumani aliwaachia ramani ya jangwani inaonyesha kuwa jangwani pasijengwe kitu chochote ukiondoa hiyo barabara ya moro.rd. Nyie mkajenga babara ya jangwani mmedharau ramani mlioachiwa sasa hiyo barabara imezuia njia ya maji NA KUSABABISHA MAJI MENGI KUJAA . Je kwa nini ccm msilaumiwe?
 
Hahahhahah Mpwa una visa wewe, you mean kitumbua kimeingia maji/mchanga? Huyu Camera man yeye alikua kwenye ndege au alikua anaelea?
nimejaribu tu kuweka memory card kichwani
 
Laiti ungefikiria kidogo tu ungejua serikali yako inahusika vipi na mipango miji. Lazima kuwe na master plan ya mji, lazima kabla hujaamza kujenga uwe na ramani na approval ya wizara, lazima kabla ya kujenga eneo lako lipimwe na kuonekana linafaa na kukidhi ujenzi, lazima wizara ijidhihirishe kuwa drainage system pale unapokenga inakubaliana na system ya mji, lazima sewage system ya nyumba yako iendane na sewage system ya jiji.
Unaposema sisiem isilaimiwe sijui unaangalia vigezo gani.

Yap best nakubaliana na wewe, lakini ukweli ni kwamba viwanja watu wanauziana kyenyeji kwa bei nafuu, na wengi hukwepa gharama za upimaji, ni watu wangapi wanaishi kwenye nyumba hata miaka 10 nyumba kiwaja hakija pimwa wala haijui hati???????????? mbona oysterbay, masaki hakuna mafuriko?????????
 
Du! Dar hakuna jema. mvua ikinyesha ni mafuriko. Jua likiwaka ni joto hapo bado foleni na shida ya maji. Lakini mijitu ukiiambia ije mikoani haitaki. Mbana mikoani maisha mazuri tu waungwana?
umesahau migomo kwa usafiri na leo masokoni
 
Life is super
 

Attachments

  • 1430983650550.jpg
    1430983650550.jpg
    115.6 KB · Views: 5,646
hata nashangaa kwa nini ameamua kuamisha na mikono au ndio pozi la msaada?
 
anamaanisha vyombo vya chakula...vile vituwezeshavyo kula
Ooooookeeeey ... hiki kiswahili hiki .... ama kweli waswahili walisema "Hakika kiswahili ni lugha adhimu!" - wengine wanasema read between lines!
 
Acheni kulalamikia kila kitu, wakiondolewa ni nyie wananchi mnasema wameonewa, serikali ya ccm ni waonevu sana, wanatumia mabavu, wakiambiwa waondoke kwa hiyari hawataki, sasa ccm ifanyeje???? wacha cha moto kiwapate ndio akili ziwakae sawa.

kama ulikuwa mjinga utakuwa umejifunza maana baadhi ya wanajf wamekufundisha hapa,kama mpuuzi endeleza upuuzi wako
 
Upo sahihi Apologise lady, tunaoishi maeneo ya Kimara, Mbezi, Pugu na kwingine nje ya mji huwezi kusikia tunaathirika na mafuriko...masista dudu na mabishoo wa mjini ndio wanalia na kusaga meno😀

Wasitusumbue bure, watu wa nje ya mji mafuriko ni historia kwao, nyumba hakuna kubanana, kiwanja mtu unapata angalau unapumua na hewa safi unavuta, watu wanang'ang'ania kugawiana viwanja vya upenuni hata sehemu yakukanya anakosa bado anataka kupiga kelele serikali serikali, wakatafute viwanja masaki basi ili wapone mafuriko.
 
Wasitusumbue bure, watu wa nje ya mji mafuriko ni historia kwao, nyumba hakuna kubanana, kiwanja mtu unapata angalau unapumua na hewa safi unavuta, watu wanang'ang'ania kugawiana viwanja vya upenuni hata sehemu yakukanya anakosa bado anataka kupiga kelele serikali serikali, wakatafute viwanja masaki basi ili wapone mafuriko.

Wanajaribu kuzuia mafuriko kwa mikono, miundombinu yote ya maji wamefunga kwa kujenga nyumba...sewerage system yenyewe mbovu,...wacha tuenjoy zetu sie tulio nje ya mji...wao waendelee kukwepa foleni...cha moto wanakiona...
 
Back
Top Bottom