The Bleiz
JF-Expert Member
- Jan 7, 2012
- 5,131
- 13,775
Hata ikirudi si itaondoka tena....
Kwi kwi kwi..
Hata ikirudi si itaondoka tena....
wengine wamepata visingizio
leo
Wanapopiga stop magorofa, wanashindwaje kupiga stop hizo nyumba...??
Haya ile ghorofa opposite na ocean road hospital, vibali alitoa nani..??? Mbona hao hao watoa vibali ndo walitaka jengo lipunguzwe wakati lishamalizwa kujenga na linatumika..??
Haya lile ghorofa lililopo kati Seaclif na golden Tulip hotel hapa Dar lililoshikiwa bango na akina Rita Mlaki kuwa libomolewe liliishia wapi..? Mbona linatumika sasa...??? Kuiondoa serikali kwenye hili ni kazi sana...
CC
BAK
Acha kutendea upumbavu wewe!! Hivi mafuriko ya Dar yapo mabondeni tu? Na huko kati kati ya Jiji nani wa kulaumiwa!? Ni wananchi ndio walivamia na kujenga hovyo bila vibali? Miundo mbinu ya Dar ni bado ile ya mwaka 47 ambapo population ilikuwa 250, 000. Serikali pamoja na kuona ongezeko kubwa la watu haikufanya lolote kuboresha miundo mbinu (drainage system) lakini wewe hilo hulioni. Kuna faida gani ya kukatwa kodi kama Serikali haiboreshi mambo mbali mbali nchini ikiwemo kuepuka maafa ya mara kwa mara yanayosababishwa na utendaji mbovu. Acha kutetea ujinga wewe Ibambasi Ibambasi
Poleni wana DSM kwa mafuriko.. Hameni Dar hamtaki.
Kiukweli ni balaa!, njia ya Goba Rd kutokea Massana, imekatika, hivyo magari yanapita mtaani kwangu kuzungukia.Maeneo ya Mbezi kutokea Goba kuna magari yametelekezwa njiani kutokana na maji mengi. Kuna gari dogo ya Toyota (jamii ya saloon kama sikosei) Imetelekezwa hapa Mbezi tangi bovu na imefunikwa na maji yanayotokea huku ukanda wa juu! Pia nyumba nyingi maeneo haya ya Mbezi beach zimezingirwa na maji na zimetelekezwa! .
Naogopa yule mtoto bado ni mdogo kaka. Naogopa nisije pata mwingine bureeee
Hata mikoani ni hivi hivi tu, kwani kule Morogoro na mwanza mvua zilikoleta maafa sio mikoani? Tubanane hapahapaKote kote tu majanga, tunaogopa kwenda mikoani muda huu ajali nyingi sana