Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,503
View attachment 249798
lol, vyote vimeloa hapo
hawezi kupata Typhod kweli huyu mama wakuu?
View attachment 249798
lol, vyote vimeloa hapo
Hata sikumbuki niliemqoutee ngoja niangalieko tenaa hhhhaaaa
Nimemuelewaa anamaanisha watu wanaojenga mabondeni ,sasa je ndio nikasema mbona hata katikati ya mji hua maji yanakuja yanajaa napo ni mabondeni ndio maana yangu mie
Hivi fast jet isharudi?
View attachment 249798
lol, vyote vimeloa hapo
Kiswahili kweli kigumu hivi nyumba inatelekezwa vipi.
Leo wakichepuka wakirudi kesho yake anakuta nyumba imejaa maaji au imesombwa na maji ni bora kurudi home mapema
[Source ni twitter @JamiiForums]
![]()
Huku ndio Kudhalilisha Sare za Jeshi huku, askari gani anabebwa mgongoni hivyo
Askari kalegeza makalio, kweli hii hasara...
Ndio nami nimeuliza hivyo huyo anesema serikali sio ya kulaumiwa atuambie hayo maghorofa katikati ya mji basi na hao wahamishwee