Mafuriko makubwa yaikumba Dar es Salaam

Mafuriko makubwa yaikumba Dar es Salaam


Hali ilivyo Tandale jijini Dar es Salaam. (Picha imetumwa na mkazi wa huko)
#JangaLaMvua

CEZmRhTW8AA7f7W.jpg
 
Otea hapo wapi...
 

Attachments

  • 1430999554575.jpg
    1430999554575.jpg
    49.7 KB · Views: 690
Na kati kati ya mji kunakokuwa na mafuriko yale maghorofa yalijengwa kiholela na Wananchi? Acheni kutetea hoja uzembe na ukosefu wa sera? Kule msasani kwenye mafuriko mbona zile nyumba zimejengwa kwa kibali cha Serikali na bado kuna mafuriko? Ni aje?

Ndio nami nimeuliza hivyo huyo anesema serikali sio ya kulaumiwa atuambie hayo maghorofa katikati ya mji basi na hao wahamishwee
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Bahati yenu, ila nilivyo muoga ningekua ndio mimi niko kwenye hilo gari wakati wa hizo heka heka sijui ingekuwaje?
BTW....hiyo hapo juu ya dashboard ni kanda au? Mmetisha sana wakuu.
Una macho makali sana, hio ni kanda ya nyimbo za watu wa kusini.
 
Wanapopiga stop magorofa, wanashindwaje kupiga stop hizo nyumba...??

Haya ile ghorofa opposite na ocean road hospital, vibali alitoa nani..??? Mbona hao hao watoa vibali ndo walitaka jengo lipunguzwe wakati lishamalizwa kujenga na linatumika..??

Haya lile ghorofa lililopo kati Seaclif na golden Tulip hotel hapa Dar lililoshikiwa bango na akina Rita Mlaki kuwa libomolewe liliishia wapi..? Mbona linatumika sasa...??? Kuiondoa serikali kwenye hili ni kazi sana...

CC

BAK

husband mbona waongea sana fanya uwahi urudi usisngizie mafuriko
 
Sehemu sinza napo ni balaa,tandale kwa tumbo napo hakufai

Kwa wale wanaoifahamu Dar ya miaka ya sabini-themanini,Sinza/Mwenge/Mikocheni ilikuwa ni mashamba ya mpunga/korosho na maji yalikuwa yanajaa hadi vyura wanaimba kwa shangwe,Ni ajabu kuwa Sinza ni makazi ya watu sasa,ambapo wakati wa mvua kama hizi ndio unauona uhalisia.Hata kule serikali sikivu ilipoamua kupima na kugawa viwanja bado inathibitisha kuwa haikupaswa kufanya hivyo kabla ya juhudi za ziada kimiundombinu kulifanya eneo hilo likalike wakati wa mvua kama hivi sasa.
 
umemuelewa huyo uliemquote we dina

Hata sikumbuki niliemqoutee ngoja niangalieko tenaa hhhhaaaa
Nimemuelewaa anamaanisha watu wanaojenga mabondeni ,sasa je ndio nikasema mbona hata katikati ya mji hua maji yanakuja yanajaa napo ni mabondeni ndio maana yangu mie
 
ikiendelea wiki hivi,vyoo vyote vitakua............
 
Madereva wangegoma leo ingekuwa balaa.
 
Kufuatia hali kuzidi kuwa tete; Suleiman Kova kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam amewataka wananchi wa mkoa huo kurejea majumbani kwao mapema iwezekanavyo! Barabara nyingi hazipitiki huku mvua kubwa ikiendelea kunyesha!
Mimi nilikwisha mtahadharisheni
 
Back
Top Bottom