Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,346
Umeshiba maharage,kama una ndugu mtumishi muulize kwa mara ya mwisho alipanda daraja lini?
Muulize kama amewahi kupata nyongeza ya mshahara.
Kama una jirani aliestaafu tangu mwaka jana au juzi muulizevkama ameshalipwa kiinua mgongo chake.
Kama unakijana kamaliza Chuo kikuu au Diploma muulize kwanini haajiriwi?
Ukimaliza hapo urudi hapa jamvini tujadiliane.
Sent using Jamii Forums mobile app
BRING BACK 2:4 TRIONKura yangu ilienda sehemu salama kabisa. Yaani huwezi amini mambo ambayo Rais wetu mpendwa amefanya ndani ya miaka 4 ni sawa na ya miaka 10.
Huyu ndie Rais tulikuwa tukimsubiria kwa muda mrefu sanaaa.
Mimi 2020 kura yangu ni kwako tu Rais magufuli, Mimi na familia yangu kura zao zote kwako 2020.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kura yangu ilienda sehemu salama kabisa. Yaani huwezi amini mambo ambayo Rais wetu mpendwa amefanya ndani ya miaka 4 ni sawa na ya miaka 10.
Huyu ndie Rais tulikuwa tukimsubiria kwa muda mrefu sanaaa.
Mimi 2020 kura yangu ni kwako tu Rais magufuli, Mimi na familia yangu kura zao zote kwako 2020.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli humu jamii forum ndimo unaweza pata perceptions za watu kuhusiana na Serikali.
Wanafunzi vyuo vikuu kulalamikia Serikali,
Watumishi wa umma kulalamikia Serikali.
Nimegundua kuna kitu kama taifa tunapaswa kufanya ili kupunguza kasoro.
Muendelee kufunguka zaidi ili tuone perceptions zenu juu ya Serikali yetu .
Alafu humu inaonekana wana chadema ni wengi sanaaa.
Chadema chama kikuu cha kupinga serikali iliyo madarakani.
Wanapinga hata elimu bure,
Wanapinga hata suala la watumishi hewa.
Wanapinga hata kujengwa kwa reli ya umeme
Watapinga hata umeme kutokatika katika hovyo.
Basi mtuambie mlichofanya tangu muwe chama kikuu cha kupinga pinga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili kuthibitisha hilo ni vizuri kujua kama amekusnya hiyo hela ya miaka kumi au alikuja na hela ya miaka kumi wakati akiingia madarakani. Kama fedha ni zile zile au zimeongezeka kidogo hiyo kazi ya miaka kumi imefanyikaje. Tuseme amekopa zaidi. mambo mengine tuyatolee ufafanuzi. Bajeti ya miaka mitatu mfululizo inazidi ile ya mtangulizi wake kwa kiasi hicho cha miaka kumi? ni kweli? Au unazungumzia REALOCATION YA FUNDS?Kura yangu ilienda sehemu salama kabisa. Yaani huwezi amini mambo ambayo Rais wetu mpendwa amefanya ndani ya miaka 4 ni sawa na ya miaka 10.
Huyu ndie Rais tulikuwa tukimsubiria kwa muda mrefu sanaaa.
Mimi 2020 kura yangu ni kwako tu Rais Magufuli, Mimi na familia yangu kura zao zote kwako 2020.
Hahahah. Endeleeni kukufuruKura yangu ilienda sehemu salama kabisa. Yaani huwezi amini mambo ambayo Rais wetu mpendwa amefanya ndani ya miaka 4 ni sawa na ya miaka 10.
Huyu ndie Rais tulikuwa tukimsubiria kwa muda mrefu sanaaa.
Mimi 2020 kura yangu ni kwako tu Rais Magufuli, Mimi na familia yangu kura zao zote kwako 2020.
Ulianza kujitetea vizuri lakini ulivyofika katikati ukajionesha ulivyo mkavu kuliko mkutira.Kila mwenye kupenda demokrasia,haki,amani na kupinga uonevu na uovu ni CHADEMA?Hizo kadi za chama uliwalipia au unaenda kwa kuhisi tu.Weye mwenyewe hatujui kama ni mwana-CCM au unaongozwa na mapenzi yako tu.Waliopigia UKAWA kura za urais walifika milioni sita.Je, ndiyo idadi ya wanachama wao?Tafakari bila kukimbilia u-CCM na ukinzani muraa!Kwa kweli humu jamii forum ndimo unaweza pata perceptions za watu kuhusiana na Serikali.