Lengo la marehemu magufuli na Sabaya ilikuwa ni kuua upinzani kwa kuanza kuidhoofisha chadema kwanza
Kweli kabisa,
Walijaribu kumdhoofisha Mbowe kiuchumi ili CDM ikose kiongozi makini lakini wakashindwa.
Wakaona njia iliyobaki ni kumpa makesi mengi tu yasiuo na kichwa wala miguu.
 
Ni sahihi kabisa usemayo Mkuu Minyoo.
Naona watu imewauma Sana kuona Sabaya kafungwa sasa wanatamani Kuisikia Mbowe kafungwa.
Je kwa kosa lipi la Ugaidi wa Mbowe?
Mbowe peke yake alitaka kufanya Ugaidi hapo hapo hakuna Lissu,Mnyika, kigaila wala kiongozi yoyote wa CDM.
Aisee!
Watengeneza kesi ya mbowe wanajuuta kutengeneza vitendo haramu vya kishetani na hata Sabaya anajuuta kuwatuma akina mahita kwenda kuwakamata walinzi wa mbowe kuwapiga kuwatesa chini ya pingu saa 24 kila siku, hiyo laana kubwa ni mojawapo ya laana iliyomtafuna Sabaya sasa, mungu yupo atasimama na haki kutendeka mbowe ataachiwa huru
 
Kweli kabisa,
Walijaribu kumdhoofisha Mbowe kiuchumi ili CDM ikose kiongozi makini lakini wakashindwa.
Wakaona njia iliyobaki ni kumpa makesi mengi tu yasiuo na kichwa wala miguu.
Laana zimewandama magufuli yupo huko alipo na sasa laana imemdaka Sabaya yupo gerezani anajutia ushetani wake
 
ikumbukwe pia chanzo mojawapo ya kesi ya mbowe ni huyo huyo Sabaya kwani ndiye alipanga njama zote za kumhujumu mbowe jimboni kwake kwa maelekezo ya magufuli,
Ni Sabaya aliwatuma Polisiccm kwenda kuwakamata walinzi wa mbowe ambao walikuwa ni wageni moshi baada ya kuwa amedukua mawasiliano ya mbowe akajua mbowe anapata Ulinzi mzuri huenda ikawa vigumu kumvamia Usiku na mda wowote bora awavuruge mapema , ndipo Sabaya akawatuma mahita Polisiccm kwenda kuwakamata kuwapiga kuwafunga pingu saa 24 kila siku kuwalazimisha wakubali ugaidi hewa ugaidi feki ambao haukuwepo kabsa, wakaona haitoshi wakadukua mawasiliano ya mbowe kujua nani alimpa walinzi wasitaafu wa jwtz, wakabaini kuna ndugu yake mbowe yupo jeshini anaitwa LT Urio na Asikari mwingine Moses Lejenje ndiyo walimsaidia kumpa walinzi ambao ni Asikari wasitaafu, wakatuma maombi jwtz kuwaleta Lt Urio na Lijenje moses kwa tuhuma feki za ugaidi kumsaidia mbowe kupata watu wa kufanya ugaidi, wakawatesa sana kwa kushirikiana na baadhi wawakilishi wa jwtz waliotumwa kuwaleta kwenye mikono ya Polisiccm, ukafanyika unyama mateso kuwalazimisha weseme ugaidi hewa hadi kupelekea umauti wa Moses Lilenje huku Lt Urio akiwa hajulikani alipo mpaka sasa, wamewatesa watu kwa Tuhuma feki ya kutengeneza kienyeji kwa njia haramu za kishetani ni Aibu kwa utawala uliopita na sasa
Da Aisee!
Mbaya Sana hii.
Inauma Sana aisee.
 
Kesi ilianzia kwa magufuli wakati Sabaya kuwatumia akina mahita kwenda kuwabambikia kesi walinzi wa mbowe
Sasa hao hawana vyeo na utawala wa kidhalimu haupo vipi sasa mbona bado yupo lupango?
 
Mama sio dhalimu bali anaiga tembo kunya. Hata utembee uchi bado lile dhalimu hutaweza kulitakatisha fullstop.
Lile dhalimu wako halipo!

Mama siyo dhalimu, vipi sasa aliamuru gaidi kukamatwa na mwezi wa tatu huu unaenda gaidi bado yupo lupango?

Unasema anaiga? Anaiga na huku mtu yuko lupango?

Bavicha namna gani bhana?
 
Iachiwe Mahakama ndio itatoa uamuzi,kelele za JF haziwezi kubadili kitu chochote.
Ndugu sio kila maamuzi ya Mahakama ni halo,mengine hua ni uonevu tu.
Ipo ushahidi wa Kesi za uonevu.
Yaoi maamuzi hufanywa kwa maelekezo mwalimu,au rushwa Ili kumkomoa mtu.
Mazingira ya Kesi ya Mbowe yanaonesha uonevu mkubwa .

Mfano unakumbuka Kesi ya Akwilina.?
hukumu ilikuaje?
Aliefanya kosa la kumuua Akwilina ni nani na alieshitakiwa ni nani?
Kesi iliishaje?
 
Kupaa kimataifa ukiwa unamyea ndoo hakusaidii chochote kwa maslahi ya chadema.
Kutaka kutishia mbowe asihukumiwe kinyume na matarajio ya wana chadema kwa kutumia uhusiano wa kimataifa hakusaidii chochore kubadili ukweli.

Hii ni nchi huru na inapaswa kufuata sheria kulimgana na katiba yetu.
Kamwe kama taifa hatuwezi kuogopa kuchukua hatua kulinda usalama wa nchi, kwa kuogopa wale mabalozi wa EU waliojazwa ujinga na Lissu.

Sheria ni msumeno, kama unaweza kukata upande wa Sabaya iweje ishindwe kukataa kukata upande wa Mbowe?

Mnahangaika kuongelea mambo yaliyoko mahakamani kinyume na sheria na katiba.
Hujui chochote ndugu.
Nyerere aliwahi kuhumiwa na Wakoloni kwa makosa ya uonevu tu,akapewa adhabu ya kumdhalilisha viboko.

Mandela akifungwa kwa sababu ya kudai haki za mtu mweusi afrika kusini,

Mahatma Ghadi alishitakiwa na kupewa misukosuko na wakoloni.

Martin luther king alipewa misuko suko hivyo hivyo.

Lakini baadae walikuaja kuwa viongozi wakubwa tu hapa Duniani.

Sabaya hana nafasi hiyo na hatapata kwa sababu yeye hakupigania haki zozote zaidi ya kujinufaisha kisiasa na kiuchumi.
Atakumbukwa kama alifanya u jambazi akiwa Mkuu wa Wilaya.
 
Hii kesi naamini kabisa IGP anajuta mno kuizungumzia hadharani anatamani sana dunia ifutike. Akifikilia anadaiwa Moses yule Komando hata hajui atafanyaje. Akiwaza Kingai alisema kuwa alikuta na Cocaine na kwenye hati ya mashtaka haipo. IGP anatukana tu muda huu.
 
Wewe ndiyo Kituko kioja kabsa kwa kujidai eti una Akili wakati kichwani mwako umejaza kamasi ndoo mbili na Moshi wa Bangi , aliyekuambia kuwa una Akili atakuwa mzima kweli ebu acha kushinda vijiweni kuwanunulia Bangi wenzako wakikusifia una Akili umejiona unajua kumbe hujui chochote
Naona umeamua kuimba taarabu sasa,haya subiri hapo hapo nikuletee na zawadi ya khanga ili ujifunge kiunoni upate kukatika zaidi.
 
Hii kesi naamini kabisa IGP anajuta mno kuizungumzia hadharani anatamani sana dunia ifutike. Akifikilia anadaiwa Moses yule Komando hata hajui atafanyaje. Akiwaza Kingai alisema kuwa alikuta na Cocaine na kwenye hati ya mashtaka haipo. IGP anatukana tu muda huu.
Na zile nyama choma na Mo Eneji alizowapa🤣🤣🤣
 
Acha kuamuru kukamatwa Mbowe, hata angemchinja hapo kwa Mkapa, bado sio dhalimu, bali anafanya ili kuridhisha lile kundi la dhalimu kuwa hataki kuchezewa. Tunamjua mtu dhalimu na muigaji. Yule alikuwa dhalimu wa kuzaliwa fullstop.
e dhalimu wako halipo!

Mama siyo dhalimu, vipi sasa aliamuru gaidi kukamatwa na mwezi wa tatu huu unaenda gaidi bado yupo lupango?

Unasema anaiga? Anaiga na huku mtu yuko lupango?

Bavicha namna gani bhana?
 
Acha kuamuru kukamatwa Mbowe, hata angemchinja hapo kwa Mkapa, bado sio dhalimu, bali anafanya ili kuridhisha lile kundi la dhalimu kuwa hataki kuchezewa. Tunamjua mtu dhalimu na muigaji. Yule alikuwa dhalimu wa kuzaliwa fullstop.
Basi yuko vizuri..

Tuna utawala wa democrasia baada ya dhalimu wako kufa!

Mama siyo dhalimu kabisa! Ila anamkamata gaidi ili kuwaridhisha kundi la mwenda zake! Safi sana!

Mama yuko vizuri, democrasia ipo vizuri, sisi chadema tuna uhuru wote baada ya lile dhalimu kufariki, kiufupi sasa tunapumua
 
Mama wa kambo sio dhalimu kama lile dubwashwa lako fullstop.
 
Mama wa kambo sio dhalimu kama lile dubwashwa lako fullstop.
Kabisa mkuu! Kwani nmebisha?

Si unaona tunavyopumua? Magaidi aliyoyalea dhalimu lako yote yako ndani!

Sisi chadema tunapumua baada ya kubanwa sana kwa miaka 5!
Mama siyo dhalimu kabisa! Tuendelee na mikutano ya siasa, hata ile ya kudai katiba tuendeleee nayo.

Chaguzi zote tunashiriki hata zile ndogo tunashiriki na tunashindwa kihalali maana lile dhalimu halipo.

Tupo na mama, democrasia tele.
 
Hata mama wa kambo afanye nini na kuzuia nini, ukweli ni kuwa mama wa kambo sio dhalimu fullstop.
 
Back
Top Bottom