Kumtenganisha Mbowe na CHADEMA haitawezekana kamwe

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,272
2,028
CHADEMA ndiyo Chama pekee cha Upinzani wa Dhati na ndio maana Chadema chini ya KAMANDA MKUU Freeman Mbowe kinapigwa na kupitia Misukosuko ya kila aina kupitia CCM na SERIKALI yake.

CHADEMA chini ya Mbowe kimekuwa adui mkubwa wa CCM na ndio maana Vyombo vya habari Uchwara Watangazaji Machawa Mitandaoni wamepangwa Wahuni Kumtukana na kumtaka Kamanda Mkuu eti aachie ngazi huo ni USHAHIDI kuwa CHADEMA chini ya MBOWE imekuwa IMARA ZAIDI kiasi cha Kutaka KUMTENGANISHA Mbowe na CHADEMA.

MAMLUKI wengi wametumwa kuihujumu CHADEMA lakini Wameshindwa na kukimbia,wengine mpaka Wameanzishiwa VYAMA ili vipambane na CHADEMA lakini ndio hao WAMEVIKIMBIA vyama vyao. Utawala KATILI wa Mwendazake ulidhani ukiwambambikizia KESI wanachama Wafuasi na VIONGOZI wa CHADEMA akiwemo KAMANDA MBOWE basi ATAIUA CHADEMA lakini CHADEMA HAIKUFA ndio kwanza ikaimariki na MUNGU akaumaliza ule UGOMVI.

Huwa najiuliza kwanini CCM ndio inataka Kamanda MBOWE atoke UONGOZINI na sio Wanachadema? Kwa Taarifa yenu MBOWE YUPO SANA CHADEMA na Waliomweka UONGOZINI ni Wanachama wa CHADEMA na ndio wenye JUKUMU la kumwondoa Uongozini sio VINGINEVYO

Mbona CCM ipo Madarakani kwa Miaka 62 hamsemi iondoke? Kamanda MBOWE HAONDOKI Madaraka na kama mtakuwa mmechukizwa na UWEPO wake sana UONGOZINI basi "KAJINYONGENI" uwanja wa MKAPA.
 
Shida iko hapa tatizo siyo chama tatizo kwani hakuna mwingine mwenye akili ya kuwa mwenyekjiti? mpeni lissu jamani mpeni lisu mbowe apumzike tuone na akili mpya
 
Ni kweli kabisaa. ila rais wa JMT tumuachie mama Samia Suluhu awe rais wa maisha, sababu huwezi mtenganisha SSH na ccm
 
Kwenye zama hizi za siasa za demokrasia ni ujinga kuamini kuwa bila furani chama cha siasa hakiwezi kufikia malengo yake.

Chadema ina hazina kubwa ya viongozi waandamizi wenye uwezo wa kukiongoza chama hicho na kukifikisha kwenye mafanikio.
 
CCM hawamtaki MBOWE kwasababu hanunuliki ,wanataka aondoke ili wajaribu kwa atakayekuwepo.

Fedha mwanaharamu bora Mbowe aendelee kuwepo tu kwa ustawi wa CHADEMA wengine kuwaamini ni 50/50 ,mtu kama RONADO MINJINO kasaliti chama ni ngumu sana kuwaamini wengine....

MWAMBA TUVUSHE MITANO TENA.
 
Shida iko hapa tatizo siyo chama tatizo kwani hakuna mwingine mwenye akili ya kuwa mwenyekjiti? mpeni lissu jamani mpeni lisu mbowe apumzike tuone na akili mpya
Ccm mnateseka sana na Mbowe , Chadema kama chama bado kimuhitaji Mbowe sana na team yake kwa ujumla, Chadema kwa sasa imeikamata ccm papaya sana , hawana pa kutokea,

Na uchaguzi ukifanyika leten mzaa mtajua hamjui
 
CHADEMA ndiyo Chama pekee cha Upinzani wa Dhati na ndio maana Chadema chini ya KAMANDA MKUU Freeman Mbowe kinapigwa na kupitia Misukosuko ya kila aina kupitia CCM na SERIKALI yake.

CHADEMA chini ya Mbowe kimekuwa adui mkubwa wa CCM na ndio maana Vyombo vya habari Uchwara Watangazaji Machawa Mitandaoni wamepangwa Wahuni Kumtukana na kumtaka Kamanda Mkuu eti aachie ngazi huo ni USHAHIDI kuwa CHADEMA chini ya MBOWE imekuwa IMARA ZAIDI kiasi cha Kutaka KUMTENGANISHA Mbowe na CHADEMA.

MAMLUKI wengi wametumwa kuihujumu CHADEMA lakini Wameshindwa na kukimbia,wengine mpaka Wameanzishiwa VYAMA ili vipambane na CHADEMA lakini ndio hao WAMEVIKIMBIA vyama vyao. Utawala KATILI wa Mwendazake ulidhani ukiwambambikizia KESI wanachama Wafuasi na VIONGOZI wa CHADEMA akiwemo KAMANDA MBOWE basi ATAIUA CHADEMA lakini CHADEMA HAIKUFA ndio kwanza ikaimariki na MUNGU akaumaliza ule UGOMVI.

Huwa najiuliza kwanini CCM ndio inataka Kamanda MBOWE atoke UONGOZINI na sio Wanachadema? Kwa Taarifa yenu MBOWE YUPO SANA CHADEMA na Waliomweka UONGOZINI ni Wanachama wa CHADEMA na ndio wenye JUKUMU la kumwondoa Uongozini sio VINGINEVYO

Mbona CCM ipo Madarakani kwa Miaka 62 hamsemi iondoke? Kamanda MBOWE HAONDOKI Madaraka na kama mtakuwa mmechukizwa na UWEPO wake sana UONGOZINI basi "KAJINYONGENI" uwanja wa MKAPA.
Hata kwa rais wa nchi, ikitokea katokea kiongozi mwenye uchu wa kulipeleka taifa kwenye nchi ya asali na mzaziwa, hapohapo tunaamua kustopisha habari za uchaguzikiongozi kwani ni kupoteza mda, JPM alipaswa kuishi mda ote ktk Urais kama afanyavo mboe ktk uenyekiti wa chama chake
 
CHADEMA ndiyo Chama pekee cha Upinzani wa Dhati na ndio maana Chadema chini ya KAMANDA MKUU Freeman Mbowe kinapigwa na kupitia Misukosuko ya kila aina kupitia CCM na SERIKALI yake.

CHADEMA chini ya Mbowe kimekuwa adui mkubwa wa CCM na ndio maana Vyombo vya habari Uchwara Watangazaji Machawa Mitandaoni wamepangwa Wahuni Kumtukana na kumtaka Kamanda Mkuu eti aachie ngazi huo ni USHAHIDI kuwa CHADEMA chini ya MBOWE imekuwa IMARA ZAIDI kiasi cha Kutaka KUMTENGANISHA Mbowe na CHADEMA.

MAMLUKI wengi wametumwa kuihujumu CHADEMA lakini Wameshindwa na kukimbia,wengine mpaka Wameanzishiwa VYAMA ili vipambane na CHADEMA lakini ndio hao WAMEVIKIMBIA vyama vyao. Utawala KATILI wa Mwendazake ulidhani ukiwambambikizia KESI wanachama Wafuasi na VIONGOZI wa CHADEMA akiwemo KAMANDA MBOWE basi ATAIUA CHADEMA lakini CHADEMA HAIKUFA ndio kwanza ikaimariki na MUNGU akaumaliza ule UGOMVI.

Huwa najiuliza kwanini CCM ndio inataka Kamanda MBOWE atoke UONGOZINI na sio Wanachadema? Kwa Taarifa yenu MBOWE YUPO SANA CHADEMA na Waliomweka UONGOZINI ni Wanachama wa CHADEMA na ndio wenye JUKUMU la kumwondoa Uongozini sio VINGINEVYO

Mbona CCM ipo Madarakani kwa Miaka 62 hamsemi iondoke? Kamanda MBOWE HAONDOKI Madaraka na kama mtakuwa mmechukizwa na UWEPO wake sana UONGOZINI basi "KAJINYONGENI" uwanja wa MKAPA.
CHADEMA ni Jiwe waliololikataa waashi, nalo limekuwa Jiwe kuu la pembeni
 
Chadema ni chama kilichoanzishwa na watanzania na kinapokea ruzuku kutokana kodi zetu lazima kitakosolewa tu.
Vinginevyo kama unataka haki ya kusikilizwa pia uwe unawasikiliza wengine.
Kama si Mjinga anza kuikosoa CCM KWA Kuwa madarakani kwa Miaka 62 nchi ina Raslimali lakini WANANCHI Wake WANANUKA UMASIKINI
Utawajiri wa Nchi unaliwa na Viongozi na WENZA wao
 
CCM hawamtaki MBOWE kwasababu hanunuliki ,wanataka aondoke ili wajaribu kwa atakayekuwepo.

Fedha mwanaharamu bora Mbowe aendelee kuwepo tu kwa ustawi wa CHADEMA wengine kuwaamini ni 50/50 ,mtu kama RONADO MINJINO kasaliti chama ni ngumu sana kuwaamini wengine....

MWAMBA TUVUSHE MITANO TENA.
Unataka tuamini kuwa wanachama wengine waandamizi ndani ya Chadema wananunulika?
Kwahiyo Wenje, Lema, Msigwa, Mrema, Mnyika, Lissu nk wananunulika?
Elewa, siku viongozi waandamizi hao wakinunulika Mbowe hatakuwa na uwezo kuendesha chama hicho.
Maana watamsumbua sana.

Nitoe ushauri kwenu, Pamoja na heshima ayostahili kupewa Mwenyekiti Mbowe lakini na wale walio karibu naye muwaheshimu.
 
CHADEMA ndiyo Chama pekee cha Upinzani wa Dhati na ndio maana Chadema chini ya KAMANDA MKUU Freeman Mbowe kinapigwa na kupitia Misukosuko ya kila aina kupitia CCM na SERIKALI yake.

CHADEMA chini ya Mbowe kimekuwa adui mkubwa wa CCM na ndio maana Vyombo vya habari Uchwara Watangazaji Machawa Mitandaoni wamepangwa Wahuni Kumtukana na kumtaka Kamanda Mkuu eti aachie ngazi huo ni USHAHIDI kuwa CHADEMA chini ya MBOWE imekuwa IMARA ZAIDI kiasi cha Kutaka KUMTENGANISHA Mbowe na CHADEMA.

MAMLUKI wengi wametumwa kuihujumu CHADEMA lakini Wameshindwa na kukimbia,wengine mpaka Wameanzishiwa VYAMA ili vipambane na CHADEMA lakini ndio hao WAMEVIKIMBIA vyama vyao. Utawala KATILI wa Mwendazake ulidhani ukiwambambikizia KESI wanachama Wafuasi na VIONGOZI wa CHADEMA akiwemo KAMANDA MBOWE basi ATAIUA CHADEMA lakini CHADEMA HAIKUFA ndio kwanza ikaimariki na MUNGU akaumaliza ule UGOMVI.

Huwa najiuliza kwanini CCM ndio inataka Kamanda MBOWE atoke UONGOZINI na sio Wanachadema? Kwa Taarifa yenu MBOWE YUPO SANA CHADEMA na Waliomweka UONGOZINI ni Wanachama wa CHADEMA na ndio wenye JUKUMU la kumwondoa Uongozini sio VINGINEVYO

Mbona CCM ipo Madarakani kwa Miaka 62 hamsemi iondoke? Kamanda MBOWE HAONDOKI Madaraka na kama mtakuwa mmechukizwa na UWEPO wake sana UONGOZINI basi "KAJINYONGENI" uwanja wa MKAPA.
Duh 🙄 !
Hatar sana inaelekea jamaa bingwa sana 😅😅🙏🙏
 
Kama si Mjinga anza kuikosoa CCM KWA Kuwa madarakani kwa Miaka 62 nchi ina Raslimali lakini WANANCHI Wake WANANUKA UMASIKINI
Utawajiri wa Nchi unaliwa na Viongozi na WENZA wao
Akili uliyonayo wewe ndiyo waliyonayo CCM.
Wewe na chama chako na wana CCM na chama chao akili zenu ni sawa na wafrika wengine.
Nchi za Zambia na Ghana wamebadirisha vyama vyote ili kujaribu kupata maendeleo, kipi kilichoongezeka huko?
Kama kiongozi mmoja ndani ya chama kidogo kama Chadema anawaburuza mtawezaje kuendesha nchi yenye changamoto?
 
Back
Top Bottom