Wewe umejua vipi kuwa kesi ya mbowe sio kweli wakati ipo mahakamani...
ngoja anyeshewe mvua ya miaka 60 jela kama yule sabaya
 
Ukweli kesi ya Mbowe Kila anaeifuatilia anajua kabisa kuwa kesi hii ni ya kutunga na ukweli pia kesi ya Sabaya kila anaeifuatilia anajua kabisa kuwa kesi yake ni ya ukweli.

CCM wote wanajua kabisa kesi ya Mbowe ni ya kumkomoa na CCM wote wanajua kabisa Kesi ya Sabaya ni kweli alifanya makosa yale. Lakini Wana CCM hawawezi kufurahia Sabaya Kufungwa na hawawezi kufurahia Mbowe kushinda Kesi.

Kesi ya Mbowe ikifanyiwa masihara inaenda kuiaibisha serikali na kumpaisha Mbowe kimataifa.

Kesi ya Mbowe kama akifungwa itaenda kumfanya Mbowe kuwa mmoja ya wafungwa maarufu duniani kama Nelson Mandela, Mahatma Ghadi, Martin Luther King, Ken Saro Wiwa na Kenneth Kaunda.

Ifahamike kwamba makosa ya Mbowe sio halisia.

Kesi hii imeanza kuvuta hisia za watu wengi ndani na nje ya nchi.

Watu hawafurahi Sabaya Kufungwa kwa sababu hawampendi, hapana bali ni kwa sababu kafanya uhalifu kweli na watu wanajua. Kama angekuwa hajafanya makosa kweli wangesikitika tu

Watu hawasikitiki Mbowe kuwekwa mahabusu au kushitakiwa kwa sababu wanampenda, hapana, kama angekuwa amefanya makosa kweli wangefurahi tu kushitakiwa na wangefurahi akihukumiwa kifungo.

Hao Mabalozi kuja mahakamani Kesi ya Mbowe sio wajinga wala sio kwamba wanampenda sana Mbowe, hapana, bali wanakuja kushuhudia jinsi Mbowe anavyoonewa au jinsi gani maamuzi yatakavyofanyika.

Jamani ee!

Maamuzi ya Kesi ya Mbowe yatakuwa na athari kwa nchi yetu, Sisi Tanzania Kila siku tunasemo wetu kuwa tunajenga nchi au tunajenga Uchumi.

Tunaweza kuona ni masihara lakini kimasihara tu tunaweza kuona nchi yetu inatengwa kidogokidogo.

Kama tunabisha tukumbuke Zimbabwe iko wapi?

Kuwapoteza wadau wa maendeleo kama Denmark sio jambo Dogo.
kutengwa hakuji mara moja, kunakuaja kidogo kidogo na kukufanyia kitendo cha Kujenga Uchumi kuwe kigumu.

Ushahidi wa ujambazi wa Sabaya hauna mashaka, Lakini ushahidi wa Kesi ya Mbowe ina mashaka Sana.

Na kama Mahakama itafuata haki kwenye Kesi ya Mbowe Basi wale mashahidi na serikali wanastahili kufunguliwa mashitaka kwa kutoa ushahidi wa uongo na wale askari waliowatesha makomandoo wetu wanastahili kushitakiwa.

Tukisema Dunia mzima inafuatilia Kesi ya Mbowe tunamaanisha hivi.

Hapa Tanzania tuna mabalozi wa nchi nyingi Sana,mabalozi ni wawakilishi wa nchi zao,wapo mabalozi wanakuja mahakamani kufuatila Kesi hii na wale wasiokuja wanaifuatilia kwa vianzio vyoa wanavyovijua.

Kuna vyombo vya habari vya kidunia kama CMN, BBC,DW,VOA,Aljazeera ntc,Hawa wote hawana habari na Sabaya,bali Wana habari na Mbowe.

Sababu juu ni Sabaya kafanya makosa kweli na Mbowe hajafanya makosa kweli.

Samia anahujumiwa.
Mbowe sio Gaidi.
Huyo uliyemtaja kwamba anahujumiwa, kwann yy hawez kutenganisha pumba na mchele?
 
Hata mama wa kambo afanye nini na kuzuia nini, ukweli ni kuwa mama wa kambo sio dhalimu fullstop.
Kwani nimebisha?

Si unaona tunavyoenda vizuri?

Nchi iko kwenye mstari! Anaebisha bisha ni ibilisi

Na shangaa hata wale wakimbizi kule ubelgiji kwanini hawarudi wakati dhalimu kafa?
 
Nchi hii inakwenda kawaida kuliko kipindi cha yule mpika data muovu.
 
Ifahamike kwamba makosa ya Mbowe sio halisia.
Tatizo unatoa vitisho na hukumu kabla
Acheni kina kibatala wapambane kwanza,vitisho na kulia lia mitandaoni havitasaidia
Mbowe akipaishwa kimataifa itasaidia nini,wakati kura zinapigwa Tanzania?
Hujiulizi mama kamuajiri Tony Blair kwa ajili gani?
 
Ukweli kesi ya Mbowe Kila anaeifuatilia anajua kabisa kuwa kesi hii ni ya kutunga na ukweli pia kesi ya Sabaya kila anaeifuatilia anajua kabisa kuwa kesi yake ni ya ukweli.

CCM wote wanajua kabisa kesi ya Mbowe ni ya kumkomoa na CCM wote wanajua kabisa Kesi ya Sabaya ni kweli alifanya makosa yale. Lakini Wana CCM hawawezi kufurahia Sabaya Kufungwa na hawawezi kufurahia Mbowe kushinda Kesi.

Kesi ya Mbowe ikifanyiwa masihara inaenda kuiaibisha serikali na kumpaisha Mbowe kimataifa.

Kesi ya Mbowe kama akifungwa itaenda kumfanya Mbowe kuwa mmoja ya wafungwa maarufu duniani kama Nelson Mandela, Mahatma Ghadi, Martin Luther King, Ken Saro Wiwa na Kenneth Kaunda.

Ifahamike kwamba makosa ya Mbowe sio halisia.

Kesi hii imeanza kuvuta hisia za watu wengi ndani na nje ya nchi.

Watu hawafurahi Sabaya Kufungwa kwa sababu hawampendi, hapana bali ni kwa sababu kafanya uhalifu kweli na watu wanajua. Kama angekuwa hajafanya makosa kweli wangesikitika tu

Watu hawasikitiki Mbowe kuwekwa mahabusu au kushitakiwa kwa sababu wanampenda, hapana, kama angekuwa amefanya makosa kweli wangefurahi tu kushitakiwa na wangefurahi akihukumiwa kifungo.

Hao Mabalozi kuja mahakamani Kesi ya Mbowe sio wajinga wala sio kwamba wanampenda sana Mbowe, hapana, bali wanakuja kushuhudia jinsi Mbowe anavyoonewa au jinsi gani maamuzi yatakavyofanyika.

Jamani ee!

Maamuzi ya Kesi ya Mbowe yatakuwa na athari kwa nchi yetu, Sisi Tanzania Kila siku tunasemo wetu kuwa tunajenga nchi au tunajenga Uchumi.

Tunaweza kuona ni masihara lakini kimasihara tu tunaweza kuona nchi yetu inatengwa kidogokidogo.

Kama tunabisha tukumbuke Zimbabwe iko wapi?

Kuwapoteza wadau wa maendeleo kama Denmark sio jambo Dogo.
kutengwa hakuji mara moja, kunakuaja kidogo kidogo na kukufanyia kitendo cha Kujenga Uchumi kuwe kigumu.

Ushahidi wa ujambazi wa Sabaya hauna mashaka, Lakini ushahidi wa Kesi ya Mbowe ina mashaka Sana.

Na kama Mahakama itafuata haki kwenye Kesi ya Mbowe Basi wale mashahidi na serikali wanastahili kufunguliwa mashitaka kwa kutoa ushahidi wa uongo na wale askari waliowatesha makomandoo wetu wanastahili kushitakiwa.

Tukisema Dunia mzima inafuatilia Kesi ya Mbowe tunamaanisha hivi.

Hapa Tanzania tuna mabalozi wa nchi nyingi Sana,mabalozi ni wawakilishi wa nchi zao,wapo mabalozi wanakuja mahakamani kufuatila Kesi hii na wale wasiokuja wanaifuatilia kwa vianzio vyoa wanavyovijua.

Kuna vyombo vya habari vya kidunia kama CMN, BBC,DW,VOA,Aljazeera ntc,Hawa wote hawana habari na Sabaya,bali Wana habari na Mbowe.

Sababu juu ni Sabaya kafanya makosa kweli na Mbowe hajafanya makosa kweli.

Samia anahujumiwa.
Mbowe sio Gaidi.
Kazi ya kupaka rangi upepo siku zote ni ngumu na haina tija
 
Back
Top Bottom