Tojo
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 1,810
- 3,087
Kula maisha mkuu
Kula maisha mkuu
Hapo nakaaga sana weekend kula nyama chomaHahah mkuu niko sehemu 1 hivi wanapaita mount point hapa chuga iko opposite na Na hapa mount meru hotel mkuu.
Maisha ni haya haya mkuu.
1.SukumaWanaume wa kikurya ndo mabingwa
Mkuu me nimeamini we ni mtoto wa town,zest bado ipo sema saivi wazungu na watoto wa kishua ndo wanajazana pale na bado inapeta.Hvi zest night club bado ipo
Ova
Mkuu achaaa....Mkuu me nimeamini we ni mtoto wa town,zest bado ipo sema saivi wazungu na watoto wa kishua ndo wanajazana pale na bado inapeta.
We ni habari nyingine asee,juzi mimi nlifululiza weekend imebidi nitafute vidonge vya kupunguza nyongo coz sina hamu.Mkuu achaaa....
Nliwekewaaa bia 21 sahv nime pewa offer ya bia kama 21 hvi
Zmebaki hzi sahv
Ova
View attachment 972175
Mule mule1
1.Sukuma
2.Kurya
Hahahaha Dah aiseWe ni habari nyingine asee,juzi mimi nlifululiza weekend imebidi nitafute vidonge vya kupunguza nyongo coz sina hamu.
Ila inabidi unipe siri unawezaje kumudu kunywa everyday bila kupata shida yeyote!? Kama mm nyongo inavyonisumbuaHahahaha Dah aise
Ova
Hatari
Hahahaha ntakupaaaIla inabidi unipe siri unawezaje kumudu kunywa everyday bila kupata shida yeyote!? Kama mm nyongo inavyonisumbua
Nipe mkuu wanguHahahaha ntakupaaa
Ova
Nmekja msalimie mwanangu mmja mmasai ana kiduka chake ngj nistuke kdg nisepe
Hapo kwa wale wa ugoro huduma ipo
Ova
View attachment 963181
Kweli huyu katibu yupo vizuri asee mi nikifululiza wiki nyogo inanisumbuaIla inabidi unipe siri unawezaje kumudu kunywa everyday bila kupata shida yeyote!? Kama mm nyongo inavyonisumbua
Ndio na mimi niko hivyo mkuu hapa natumia dawa ya nyongoKweli huyu katibu yupo vizuri asee mi nikifululiza wiki nyogo inanisumbua
hiyo dawa inaitwaje mkuu?Ndio na mimi niko hivyo mkuu hapa natumia dawa ya nyongo
Jina nimelisahau mpaka badae wakati nameza niangali but ww nenda pharmacy waambie wakupe vidonge vya kupunguza nyongo utapatiwa mkuuhiyo dawa inaitwaje mkuu?
Hapana mkuuKawe beach club hyooo au
Au
Ova