Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Nilirudi ijumaa usiku, na jumamosi nikakesha pale Heinkein House na Windhoek zangu kadhaa hadi nikaugua homa...

Maana nilizi miss pilikapilika za dar kwelikweli...

Vipi x mass utakuwepo mjini ama utaenda kuhesabiwa...
Poleee kwa kukaribishwa mjini na homa. Mpaka sasa sielewi kama naenda au nitakuwepo mjini.
 
Baada ya kutoa baridi..
IMG_20181219_142924_4.jpeg
IMG_20181219_142726_2.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom