mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,399
- 138,135
Nitatuma [emoji23][emoji23][emoji23]Nipe code
Ova
Aise nitumie nauli sio kwa raha hizo
Hahahaha, Rafiki unataka kuja porini huku? Huku tunapaweza wenyewe watu poriAise nitumie nauli sio kwa raha hizo
Pori halina mwenyewe ikifika unalimudiHahahaha, Rafiki unataka kuja porini huku? Huku tunapaweza wenyewe watu pori
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Safari+nyagi=salute
Rainiiiii gold liquid
Tuko pamojaAcha tungi liendelee mwisho wa mwaka huu!! Halafu tunatafuta ela kwa uchungu ujue?
Mm mdg mdg nmerudisha timu ndaniLife don't give a ****,Konyagi is real.View attachment 971829
Hahah mkuu niko sehemu 1 hivi wanapaita mount point hapa chuga iko opposite na Na hapa mount meru hotel mkuu.
Oh ok napapata.....Hahah mkuu niko sehemu 1 hivi wanapaita mount point hapa chuga iko opposite na Na hapa mount meru hotel mkuu.
Maisha ni haya haya mkuu.
Hvi zest night club bado ipoHahah mkuu niko sehemu 1 hivi wanapaita mount point hapa chuga iko opposite na Na hapa mount meru hotel mkuu.
Maisha ni haya haya mkuu.
Pamoja mkuu wangu,piga vyombo chief kulala hapa ni mpk kwny saa 11 asubuhi hivi,maaana usingizi ushagoma hapa mkuu.Oh ok napapata.....
Mm naendelezaaa hpa tungi langu
Ova