mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,144
Daah mwanangu kama ni gari basi we ni V8 mkuu,hahah.Mkuu achaaa....
Nliwekewaaa bia 21 sahv nime pewa offer ya bia kama 21 hvi
Zmebaki hzi sahv
Ova
View attachment 972175
Daah mwanangu kama ni gari basi we ni V8 mkuu,hahah.Mkuu achaaa....
Nliwekewaaa bia 21 sahv nime pewa offer ya bia kama 21 hvi
Zmebaki hzi sahv
Ova
View attachment 972175
poa mkuuJina nimelisahau mpaka badae wakati nameza niangali but ww nenda pharmacy waambie wakupe vidonge vya kupunguza nyongo utapatiwa mkuu
Hahah hata mimi jamaa nimemkubali sana aisee,lile chimbo sio watu wengi wanalijua.Mkuu me nimeamini we ni mtoto wa town,zest bado ipo sema saivi wazungu na watoto wa kishua ndo wanajazana pale na bado inapeta.
Hahahaha ,huyo MTU kibokoDaah mwanangu kama ni gari basi we ni V8 mkuu,hahah.
Hahahahaaa me washkaji nikiwapelekaga kule wananiuliza umepajuaje huku!?japo tuko nao hapa hapa mjini[emoji23][emoji23]ila hizo chimbo mkuu ni wajanja tupu ndo wanakaa so sistaajabu sana watu kutopajua pale.Hahah hata mimi jamaa nimemkubali sana aisee,lile chimbo sio watu wengi wanalijua.
Hahah huyu mjomba ukimfata anga zake unaweza kupotea mazima.Hahahaha ,huyo MTU kiboko
Nakuaga mitaa hio sana,nikitoka naingia pale La Patio kupoteza muda kidogo.Hapo nakaaga sana weekend kula nyama choma
Hahah mkuu naona vitu vyako ni mwendo wa IMAGI.aisee hii kitu mm hapana kbs dah
ah mie vitamu vitamu tu kwakwel..siku hiz najaribu k vant kwa kokaHahah mkuu naona vitu vyako ni mwendo wa IMAGI.
Hahah polepole ukitoka kwny k-vant utashangaa umehamia kwny Nyagi huku.ah mie vitamu vitamu tu kwakwel..siku hiz najaribu k vant kwa koka
😂😂never mkuu khaa kali sana hyoHahah polepole ukitoka kwny k-vant utashangaa umehamia kwny Nyagi huku.
Zile bia 21 tushazimalizaDokta akipiga zote hizo anabadilisha operation
Hahah ukiona inakuzingua ichanganye na tonic na ice qubes.[emoji23][emoji23]never mkuu khaa kali sana hyo
nitalazwa mkuu sitak ht isikia hiiHahah ukiona inakuzingua ichanganye na tonic na ice qubes.
Ila wengine kavukavu hivyo hivyo ndo inakua tamuuuuuuu,hahah.
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]