mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,417
- 138,173
Long time si unajua unakutana na watu wengiHahah nimekukubali mkuu,inaonekana harakati ulianza kitambo sana aisee.
Ova
Long time si unajua unakutana na watu wengiHahah nimekukubali mkuu,inaonekana harakati ulianza kitambo sana aisee.
Aisee nimekukubali mkuu,yaaaani kuna sehemu umezitaja nimegundua ndio sehemu zangu za mara kwa mara mkuu.Long time si unajua unakutana na watu wengi
Ova
Kijenge juu nlikuwa na wna sana hpoHahah nimekukubali mkuu,inaonekana harakati ulianza kitambo sana aisee.
Hapo Bila udhamini huendi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee nimekukubali mkuu,yaaaani kuna sehemu umezitaja nimegundua ndio sehemu zangu za mara kwa mara mkuu.
Enjoy mkuu wangu.
Hapo Bila udhamini huendi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzee unatisha
Ova
Poa.....mm naendelea hpa mdg mdgHahah hapa mjini sehemu hizo hawazijui watu wengi aiseee,mitaa hio nina membership kupitia kwa mzee la sivyo isingewezekana hahah.
Siku ukiwa mjini tupeane coda mzee baba.
Ngoja nimalizie konyagi kabla sijahamisha popo mpk asubuhi mkuu.
Hamna noma mkuu,enjoy.Poa.....mm naendelea hpa mdg mdg
Ova
Mia mia mkuu,ngoja tuusindikize usingizi kwa vyombo mkuu.Na ww pia
Acha tuendeleze libeneke
Ova
Ndo manake[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mia mia mkuu,ngoja tuusindikize usingizi kwa vyombo mkuu.
Pamoja mkuu,ova ova ova hahah.Ndo manake[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Pamoja mkuu,ova ova ova hahah.
Sahv tunafanyaaa hvi mkuuPamoja mkuu,ova ova ova hahah.
Nimekutana na swahiba wangu dokta wa muhimbiili mambo ya mvua akanivuta kwake kaniwekeaaa biaaaa hzi ndy naanza kuzifanyiziaNa makucha yake katibu... Jana imepita... Haitakaa irudi tena... Wakati hauna rivasi
Hii mvua ina zambi sana... Hebu ona hapa sasaNimekutana na swahiba wangu dokta wa muhimbiili mambo ya mvua akanivuta kwake kaniwekeaaa biaaaa hzi ndy naanza kuzifanyizia
Ova
View attachment 972106
Hali inaruhusu hzi nazipigaaa kama zimesimama badaye nahamiaaa kwenye nyagiHii mvua ina zambi sana... Hebu ona hapa sasa View attachment 972118View attachment 972119