Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hvi zest night club bado ipo

Ova
Ila daah mwanangu we ni mzoefu aisee,mpk zest gymkhana unaijua, maana kuna watu kibao hapa town hio mambo hawapajui ni kama ukiwaambia "La patio"wanapajua watakwambia unajifanya wa kishua wewe.
 
Nlikuwa naendaga na don mmja hapo wakati fulani!pakishuaa sana

Hahah watoto wa mbwa huwezi kuwakuta mitaa hiyo,nimekukubali mkuu hapa town sio watu wengi wenye access ya chimbo hilo.

Nikitoka hapa naelekea pin point,chama la wana nikapotezee muda kidogo.
 
Pale zest ni madon tupu
Yule aliyekuwa mdhamini wangu hapo alikuwa ananipanga mapema.....style za hapo
Hapo mm natuliaaa tuli usela pembeni

Hapo nishaenda naye silver palm na Florida
Napo ni sooo......
Naskia pinpoint Wana cocktail balaaa wako njema

Hahah ndoa maana nimekukubali chief pale huwezi kukuta fala aisee,kila unaemkuta pale ana ma-deal yake aisee.

Nina membership hapo kupitia kwa mzee nasubiri siku ya mwaka mpya tukapigie mambo yetu yale.
 
Jamaa wamo njema aisee,hio cocktail wanajitahidi sana ukipata muda tembelea na kokorioo iko mitaa ya pale kijenge ilipo Coca cola deport kuna amsha popo flani hivi poa sana.
 
Pale watu wanaongea deals mkikaaa mnaelewana......Dah boss alisafiri alirudi nje
Next year atakja vurugu zinaendelea...
Akijaga dar naanza naye high spirit lounge
Alafu nampeleka kwenye machaka yangu ya uswazi hadi kwa mangi basi anafurahiii
Yeye kwenye vikao Vya uswazi anagizia Hennessy tunamletea ana ujamaa na mullah hapo atown

Jan mwanzoni ntakuja....
Wakati biashara fulani za stones zinatembea nlikuwa natimbaa sana mbona hko kwa mwezi Mara mbili
Si mtungi huko kupiga

Ova
 
Pale watu wanaongea deals mkikaaa mnaelewana......Dah boss alisafiri alirudi nje
Next year atakja vurugu zinaendelea...
Akijaga dar naanza naye high spirit lounge
Alafu nampeleka kwenye machaka yangu ya uswazi hadi kwa mangi basi anafurahiii
Yeye kwenye vikao Vya uswazi anagizia Hennessy tunamletea ana ujamaa na mullah hapo atown

Ova
Aisee huyo boss ni heavweight,huwezi amini katika kila watu 10 wala bata wa chuga wanaopajua hio mitaa labda ni watu 2 ni wanapajua hio mahali,maana mara kibao nikitaka kutoboa nao mitaa hio wanaona kama nawachora hivi,nimefurahi kuona wajanja kibao wa mjini daslam wanaijua mitaa ya wenye hela tena wale heavyweight.
 
Jamaa wamo njema aisee,hio cocktail wanajitahidi sana ukipata muda tembelea na kokorioo iko mitaa ya pale kijenge ilipo Coca cola deport kuna amsha popo flani hivi poa sana.
Makalio bar bado ipo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Iko mianzini kama skosei duh ilikuwa sooo

Ova
 
Aisee huyo boss ni heavweight,huwezi amini katika kila watu 10 wala bata wa chuga wanaopajua hio mitaa labda ni watu 2 ni wanapajua hio mahali,maana mara kibao nikitaka kutoboa nao mitaa hio wanaona kama nawachora hivi,nimefurahi kuona wajanja kibao wa mjini daslam wanaijua mitaa ya wenye hela tena wale heavyweight.
Sisi si wajanjajanja [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lazima ujue places

Ova
 
Makalio bar bado ipo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Iko mianzini kama skosei duh ilikuwa sooo

Ova
Hahah iko njema sana,wadau wakija hapa town wanataka wakaone makinikia ya pale "matako bar".
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom