Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,719
Tokea juzi nalewa valeur leo sijaweza amka nikila chochote nataapika sirudi tena kufululiza nitumie dawa gan?
😂😂😂mie valuer naipenda jaman kuna shost angu tukionana tu ni mwendo wa valuer ila ina usumbufu wake😏..labda unywe maji mengi😂😂😂 pole