Machangudoa wa Sinza Mori wezi, Chukua tahadhari

Machangudoa wa Sinza Mori wezi, Chukua tahadhari

Status
Not open for further replies.
iyo ndo changamoto me nakumbuka nilikamatwa na polis pale buguruni alafu nikapelekwa post nilichezea kipigo mpaka bas alafu wakanisingizia kuwa me ni mwiz baada ya kutoa kitambulisho 2 cha shule alipigiwa head master sema alikuwa na semina ya jeshi akaipotezea
 
Wadau mi yameshanikuta na najutia sasa hapa natoa tahadhari tu kwa wengine ukiwa nao chukua tahadhari. Tena wana tabia ya kutoboa kondomu na kucha zo na kujidai imetoboka.
 
Wadau mi yameshanikuta na najutia sasa hapa natoa tahadhari tu kwa wengine ukiwa nao chukua tahadhari. Tena wana tabia ya kutoboa kondomu na kucha zo na kujidai imetoboka.

duh....ulikuwa watafuta nini huko? hivi huwi na kinyaa ukikumbuka kuwa dk10 zilizopita kuna mtu aliosha mpini wake, akaenda uvinza na wengine hata mini kabaang.... ptuuu! wala sikupi pole yangu.
 
Wasalam wadaujapo ni mwezi mtukufu bado kina dada poa wa pale Sinza Mori opposite na Big Bon Petrol station wanapiga kazi ya maana. Lakini shida yao ni wezi kwa wateja wao nimekuja hapa JF kuwataahadharisha wale wenzangu mnaowachukua kujitahadhari maana wanapaka dawa Fulani kwenye chuchu sasa unapoenda nae Chemba anajidai ana hamu ya kunyonywa chuchu ile kumnyonya tu unalewa na kuishiwa usingizini na anakukomba vitu vyote. Mimi Jumamosi nimemchukua demu Fulani bonge hapo nikaenda nae pale UNIVERSAL GUEST HOUSE nimejishtukia asb nimebaki na bukta kuwauliza watu wa hotel wanadai hawamjui na aliondoka saa 1 asubuhi hiyo. CHUKUA TAHADHARI

Boss ulijibebea yule bonge mweupe anayesimama siku zote pale mori?Pole sana mkuu juhudi za kutafuta mshindo zimekuponza
 
Umeingia lini mjini had unyonye maziwa ya changu? Muwe mnaomba ushauri kabla! Na hayo marinda lazma wamefumua tu sema unaona aibu kuweka wazi hapa!
 
Tatizo sio mzoefu,na sio malaya wote wezi,kwa ulimbukeni wenu huja pale Mori na vibrief case vyenu vya semina au halmashauri za huko Kasulu,na hujidai mna hela sana,mnafungua maburungutu ya masurufu hadharani,ikiwa kama eti ndio njia ya kuwanasa hao malaya,ukimpata unataka nyonyo,malaya hana muda wa kukufurahisha hadi akupe nyonyo,ukiona hivyo jua unakaribishwa Muhimbili,unatakiwa ununue k au kabang na ukifika tu shughuli inakuwa moja ,nenda moja kwa moja hadi kwenye k au kwenye 0713 kwisha.Wazoefu hugonga malaya hata kwa mkopo na huibiwi hata thumni
 
Wadau mi yameshanikuta na najutia sasa hapa natoa tahadhari tu kwa wengine ukiwa nao chukua tahadhari. Tena wana tabia ya kutoboa kondomu na kucha zo na kujidai imetoboka.

tena wangekukata hata hiyo ndude ukome hayo matabia,,, unachokitafuta utakipata tu maana mshahara wa dhambi ni mauti.
 
Mkuu kuwa mwazi kama na wewe ni mmoja wapo wa wanaoshiriki ktk hizo haramu

Mkuu usihofu, jaribu kwenda pale utabaini nilichokiongea, ramani ya pale ilivyo:

Chini ni pub ya kawaida tu pamoja na jiko (hata bei ya bia nia ya chini kidogo) wakati ukipandisha ngazi upande wa juu huko ndiko kwenye flat screens za maana kwa ajili ya wapenzi wa Michezo ya kimataifa hasa EPL kama mimi.

Sasa mkuu ukiwa pale juu unaweza kushuhudia kila kinachoendelea upande wa nyuma ya baa ambako ndiko kuna hiyo Guest.
 
duh....ulikuwa watafuta nini huko? hivi huwi na kinyaa ukikumbuka kuwa dk10 zilizopita kuna mtu aliosha mpini wake, akaenda uvinza na wengine hata mini kabaang.... ptuuu! wala sikupi pole yangu.

dk 10 nyingi mtu anasubiria ikitoka anakamata anarudisha fasta
 
hiyo huduma sijawahi kuitafuta kwenye maisha yangu yote...........
sitarajii kuitafuta maisha yangu yaliyosalia......................

ila unabeba Malaya halafu unanyonya matiti ili iweje?

pia hakuna malaya siyo mwizi...............
 
Mbona na wao wananyonya? Dawa ni moja: Na wewe paka DAWA FULANI na mpe anyonye Kibamia/kiguu cha mtoto, MNALALA WOTE 🙂 Atakayepaka nyingi/kuamka mapema ndiyo BINGWA.
Kwa nini unyonye chuchu za changu? Unajua zimetoka kunyonywa na nani kabla yako?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom