Machangudoa wa Sinza Mori wezi, Chukua tahadhari

Status
Not open for further replies.
Sisi wengine bila kukukuruka na Cowbell hata mzigo wenyewe hatuwezi kula sasa kwa hali hiyo nextym kama unataka kung'oa changu ni bora ubebe Omo na Dodoki.
 
Wasalam wadaujapo ni mwezi mtukufu bado kina dada poa wa pale Sinza Mori opposite na Big Bon Petrol station wanapiga kazi ya maana. Lakini shida yao ni wezi kwa wateja wao nimekuja hapa JF kuwataahadharisha wale wenzangu mnaowachukua kujitahadhari maana wanapaka dawa Fulani kwenye chuchu sasa unapoenda nae Chemba anajidai ana hamu ya kunyonywa chuchu ile kumnyonya tu unalewa na kuishiwa usingizini na anakukomba vitu vyote. Mimi Jumamosi nimemchukua demu Fulani bonge hapo nikaenda nae pale UNIVERSAL GUEST HOUSE nimejishtukia asb nimebaki na bukta kuwauliza watu wa hotel wanadai hawamjui na aliondoka saa 1 asubuhi hiyo. CHUKUA TAHADHARI

nilidhani kuna kitu cha maana unataka kueleza,kumbe........sikiliza bro siku hizi sex sio maujanja kabisa hapa town,afu kuchukua malaya ndo sio ishu kabisa...sana sana tunakuona hapa mjini we bado bweg* tu.si unaona watoto wa mjini wanavyokukomba?
 
duh hayo tena ni maradhi ya kujitakia ananyonywa na wangapi?
Kanunu yake kwanza shurti muende wote maliwato ukamuoshe mwenyewe hapo ndipo Ulambo unafuatia.

Source: Wazoefu humu humu jamvini.
 
Wasalam wadaujapo ni mwezi mtukufu bado kina dada poa wa pale Sinza Mori opposite na Big Bon Petrol station wanapiga kazi ya maana. Lakini shida yao ni wezi kwa wateja wao nimekuja hapa JF kuwataahadharisha wale wenzangu mnaowachukua kujitahadhari maana wanapaka dawa Fulani kwenye chuchu sasa unapoenda nae Chemba anajidai ana hamu ya kunyonywa chuchu ile kumnyonya tu unalewa na kuishiwa usingizini na anakukomba vitu vyote. Mimi Jumamosi nimemchukua demu Fulani bonge hapo nikaenda nae pale UNIVERSAL GUEST HOUSE nimejishtukia asb nimebaki na bukta kuwauliza watu wa hotel wanadai hawamjui na aliondoka saa 1 asubuhi hiyo. CHUKUA TAHADHARI

Umelaanika wewe. Siku ingine utatiliwa sumu ufe kabisa. Hii ni kesi ya shetani na jini
 
Mkuu pole sana kwa maswahibu. Pale Mori Bar nyuma kuna Guest House na hapo ndipo makao yao makuu, vile vyumba vya uani utawakuta wakati wa mchana wamekaa vyumbani nusu uchi huku milango iko wazi.

Jichanganye kidogo tu wakufanyie kitu mbaya. Mimi huwa nahudhuria sana hasa wakati wa EPL matches, nikipanda ghorofani huwa nashuhudia kila kitu kwa chini, kweli wanaume wanalizwa kila siku pale.

Mkuu kuwa mwazi kama na wewe ni mmoja wapo wa wanaoshiriki ktk hizo haramu
 
Ulivyoipokea kwa mikono miwili na wewe ni mdau wa hizo sekta nini?

Kama kawa mkuu Shine. Siku mojamoja siyo mbaya. Ila mimi "sipigi" wa bei rahisi.
 
Last edited by a moderator:
Wasalam wadaujapo ni mwezi mtukufu bado kina dada poa wa pale Sinza Mori opposite na Big Bon Petrol station wanapiga kazi ya maana. Lakini shida yao ni wezi kwa wateja wao nimekuja hapa JF kuwataahadharisha wale wenzangu mnaowachukua kujitahadhari maana wanapaka dawa Fulani kwenye chuchu sasa unapoenda nae Chemba anajidai ana hamu ya kunyonywa chuchu ile kumnyonya tu unalewa na kuishiwa usingizini na anakukomba vitu vyote. Mimi Jumamosi nimemchukua demu Fulani bonge hapo nikaenda nae pale UNIVERSAL GUEST HOUSE nimejishtukia asb nimebaki na bukta kuwauliza watu wa hotel wanadai hawamjui na aliondoka saa 1 asubuhi hiyo. CHUKUA TAHADHARI

Hey mwanangu inamaana we na ujanja wote kuishi hapo dar umeshindwa kabisa kudanganya mtoto hada wa magogoni uwe unajipigiahadi ukanunue??,ama ghalama hapana bana tafufa dem bana acha uvivu sio wote wachunaji.ukiendekeza hawa madadapoa hata ukioa utakuwa unafuata tu
 
hehehehee umenichekesha maana nimevuta hisia mbaba mwenye kakitambi flani hv halafu awe mweusi au hata wa maji ya kunde anatembea mtaani na bukta tuu hata ndala hana heheheheeee inabidi akimbie mdogo mdogo kama anafanya jogging ila sasa pekupeku loooh.
Sasa ukute anakaa home mwenyewe funguo wa nyumba nao umekombwa na changu hapo hata ukichukua taxi ukifika unalipaje na home kumefungwa na akisema avunje mlango wengine hawawekagi hela home kabisa, atm card nayo imeibiwa lahaulaa!! majanga hayo heheheheheeee

Kuna siku kaka mmoja ofisini alinisimulia, kuna baba mmoja bana alifumaniwa hoteli na mke wa mtu, mwenye mke alikuwa anatoa mkong'oto wa hali ya juu jamaa alipopata upenyo alikimbilia polisi akiwa kama alivozaliwa (kulikuwa na kitua cha polisi pembeni ya hoteli) hakukumbuka hata shuka, sikuona tukio ila nilicheka sana nilipovuta hisia, mtu na akili zako unakimbia kama mwanga mchana kweupe sjui polisi walimsaidiaje hehehehheeee

Msaada wa kwanza nikumtafutia mtumba wa suruali hata kama inapwaya kiuno (polisi kuna mikanda ya mahabusu KAUNTA-ataazimwa mmoja); mengine yatafuata baada ya kuhifadhi mitambo:smile-big:
 
1Wakorintho 6:15, Je! Hamjui ya kuwa miili yenu ni viungo vya Kristo? Basi nivitwae viungo vya Kristo na kuvifanya viungo vya kahaba? Hasha! au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? ....... ikimbieni zinaaa.
 
Wasalam wadaujapo ni mwezi mtukufu bado kina dada poa wa pale Sinza Mori opposite na Big Bon Petrol station wanapiga kazi ya maana. Lakini shida yao ni wezi kwa wateja wao nimekuja hapa JF kuwataahadharisha wale wenzangu mnaowachukua kujitahadhari maana wanapaka dawa Fulani kwenye chuchu sasa unapoenda nae Chemba anajidai ana hamu ya kunyonywa chuchu ile kumnyonya tu unalewa na kuishiwa usingizini na anakukomba vitu vyote. Mimi Jumamosi nimemchukua demu Fulani bonge hapo nikaenda nae pale UNIVERSAL GUEST HOUSE nimejishtukia asb nimebaki na bukta kuwauliza watu wa hotel wanadai hawamjui na aliondoka saa 1 asubuhi hiyo. CHUKUA TAHADHARI

Afadhali umesema ukweli.... ila sijui kama umeshakoma au bado unaendelea ... siwezi kukupa hata pole... ha ha ha ha ha ha ha !!!!!

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom