we bornagain funga domo lako kabisaaa... kwanza ujue UKAHABA ni BIASHARA KONGWE KULIKO ZOTE DUNIANI zaidi ya robo la pato la mji kama ADDIS ABABA, JOHANNESBURG, BOMBAY na NAIROBI (
www.nairobiraha.com) uendeshwa kwa shughuli hizi na zinazoambatana na hizi. Imefikia hatua baadhi ya mataifa huko Ulaya wamehalalisha UKAHABA na wanalipa kodi serikalini na ikitokea ukimu-abuse itakula kwako mazima na jela unaenda. Hapa kwetu watu hufanya kwa kificho lakini ni biashara kubwa (Wataalamu wetu wangefanya utafiti wangegundua Mabilioni ya Pesa yasiyolipiwa Kodi/Ushuru) yanavyopotea. Binafsi najua MADANGURO Tandika Sokoni, Temeke SUDANI, Chang'ombe Usalama, Temeke kwa SOKOTA, CCM kata 14 Temeke, Buguruni kwa WAHAYA, SEWA BAR, KIMBOKA BY NIGHT, MWANANYAMALA HOSPITALI, MSASANI MACHO,Q BAR MASAKI na mengineyo mengi