bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,449
- 6,953
Hakika, hakuna mwema hapa Tz utadhani sisi wenyewe ni watimilifu. Labda tusubiri raisi wa kutoka mbinguni.Tanzania kila raisi mnampiga vita mnataka raisi wa aina gani ndugu zangu
Hakika, hakuna mwema hapa Tz utadhani sisi wenyewe ni watimilifu. Labda tusubiri raisi wa kutoka mbinguni.Tanzania kila raisi mnampiga vita mnataka raisi wa aina gani ndugu zangu
Samahani mkuu? Wewe ndio upo mioyoni mwa watanzania wote zaidi 60+ achana na nguvu ya umma. Kama kwa zambia imewezekana na imani kubwa ipo siku hata Tanzania CHADEMA itawezekana kuiangusha CCM.Nani anaweza kumchagua Mbowe kuwa Rais wa Tzn hii? Acha vichekesho mkuu
Eti genius! Mtu genius hawezi kuwa mshikishwa ukuta. Usituharibie sifa zetu bro.Lissu ni Genius
Sikumwelewa alipotupa angalizo siku za mwanzo tulipo mshangilia Mama.
Tzn hakuna wapinzani bali mpo wasaka fursa,mjinga ndio atawachagua afu baadae mnahamia tena ccm mkiwa na njaa 😁😁Samahani mkuu? Wewe ndio upo mioyoni mwa watanzania wote zaidi 60+ achana na nguvu ya umma. Kama kwa zambia imewezekana na imani kubwa ipo siku hata Tanzania itawezekana kuiangusha CCM.
Yaani mkuu mpaka mda mwingine naona siasa ni kupotezeana mda tu magufuli alipigwa vita mpaka mungu akamuita akaja mama samia watu wakafurahia sasa hvi wameanza tena lawama.Hakika, hakuna mwema hapa Tz utadhani sisi wenyewe ni watimilifu. Labda tusubiri raisi wa kutoka mbinguni.
The have been taking for free from our continent for centuries and now they fear no more, they do it in open.After the death of brother Magu the African leader,, now Tanzania is totally FUCKED UP and the next thing you will see is them ambassadors inside your blood parliament,, the country is fucked absolutely fucked,, ambassadors inside a Tanzanian courtrooms it can't be much worse than that and for stupid Tanzanians see it and take it as their strength.
Those fucken ambassadors are representing the interest of the sponsors of the robbery of your natural resources meaning getting them the way they want in terms of profitably-soft agreements and this proves that Tanzanians are low of the lowest in Africa because no any country in Africa would have tolerated but for those CDM members feel that they are BIG whenever they see those twats and bitches in our law establishments.
By the way where is the madam president?? She is busy receiving wawekezaji even Tony Blair the former England Prime Minister who is a crook of the crooks was at Magogoni kuleta some dirty deals and you will the first out of continent trip of your madam president will be to US,,, mtoto wa madili,,, she relaxed taxes on the robbing riches and turned into taxing my grandma whom I send her 60k shs monthly Mungu awalaani kama kweli yupo kwani naamini WEMA HAWANA MAISHA NA WABAYA NDIO HUISHI MILELE
Endelea kuota kwa yanayo endelea na vile mnajitekenya wenyewe kwa kufuta legacy ya Hayati Magufuli, nakuambia 2025 mtaitambua nguvu ya wasukuma.Tzn hakuna wapinzani bali mpo wasaka fursa,mjinga ndio atawachagua afu baadae mnahamia tena ccm mkiwa na njaa 😁😁
Wenye welevu tunafahamu tozo zimeongezwa na kuwa nyingi ili kuwaachia wafanyabiashara waendelee kutolipa kodi na kurudisha fedha zao.Kwa mwendo huu tutegemee mengi mno ya kutengwa. Yaani tozo zitaongezwa mpaka guest kwa kila mteja anayeingia. 😀😀😀. Denmark ilikuwa ni mdau mkubwa mno nchi hii. Tutalia na kusaga Meno.
Ile mitano alimaliza kwa Mbinde. Israel hashindwiHuyu mama akiimaliza hii minne nitashangaa kama nilivyoshangaa Magufuli kumaliza ile mitano kwanza
Hahaha ukabila imeshakuwa hoja?Endelea kuota kwa yanayo endelea na vile mnajitekenya wenyewe kwa kufuta legacy ya Hayati Magufuli, nakuambia 2025 mtaitambua nguvu ya wasukuma.
Eh baba si uandike kwa kiswahili tu tupate kuelewa na akina sisi tulioogopa umande?The have been robbing our continent for centuries and now they fear no more, they do it in open.
The agenda now is battery powered cars in their manufacturing countries as they are discarding the fuel powered ones.
African leaders can't stand firms anymore so, let's first get gripped with injections to get totally stiffen our thinking capacity to the lowest level.
We are f....... big time.
Hiki kinaitwa kingereza cha Ugoko😅😅😅The have been robbing our continent for centuries and now they fear no more, they do it in open.
The agenda now is battery powered cars in their manufacturing industries as they are discarding the fuel powered ones.
African leaders can't stand firm anymore so, let's first get gripped with injections to get totally stiffen our thinking capacity to the lowest level.
We are f....... big time.
Halafu hao kina mama wanao garagara nje ya mahakama kweli hiyo sio vurugu?
je inaruhusiwa kufanya vitendo vya kugaragara na kupiga mayoe mahakamani?
Polisi lindeni hadhi na usalama wa mahakama usichezewe na hao wahuni.
Mshaurini vyema Mh. Raisi asimamie misingi bora ya uongozi, kile kiti alichokalia ni kikubwa asikubali kuyumbushwa na washauri wake ili agombane na vyama vya upinzani. Hata nchi zilizo endelea zina vyama vya upinzani na maendeleo yapo kama kawaida hivyo kwanini isiwezekane kwa Tanzania.Hahaha ukabila imeshakuwa hoja?
Samahani, kuna mambo yanaudhi sana yanoendelea Tanzania kwa sasa.Eh baba si uandike kwa kiswahili tu tupate kuelewa na akina sisi tulioogopa umande?
Bora hata yule kuliko huyu...Profesa Jalala ndiye alichemka zaidi
Hawa Lumumba sijui kama wataelewa MkuuMshaurini vyema Mh. Raisi asimamie misingi bora ya uongozi, kile kiti alichokalia ni kikubwa asikubali kuyumbushwa na washauri wake ili agombane na vyama vya upinzani. Hata nchi zilizo endelea zina vyama vya upinzani na maendeleo yapo kama kawaida hivyo kwanini isiwezekane kwa Tanzania.