Mabalozi wapuuza onyo la Balozi Mulamula kutohudhuria kesi ya Mbowe

Pale wanapogundua kua you are weak, na huwezi wafanya chochote...
Hiyo ndo kazi mojawapo kuu ya ujasusi.

Ni kugundua mfumo wa siasa na wa kijeshi wa nchi mwenyeji.

Mwisho, kugundua aina ya utawala, nguvu na udhaifu.

Ukikalimisha wapeleka report kwa Cable makao makuu na kazi yaanza.

Hayo mambo sie bado sana ni nchi kama Russia na China wakikugundua ubalozi wako wapewa masaa 24 au 48 uwe umeondoka.
 
After the death of brother Magu the African leader,, now Tanzania is totally FUCKED UP and the next thing you will see is them ambassadors inside your blood parliament,, the country is fucked absolutely fucked,, ambassadors inside a Tanzanian courtrooms it can't be much worse than that and for stupid Tanzanians see it and take it as their strength.
Those fucken ambassadors are representing the interest of the sponsors of the robbery of your natural resources meaning getting them the way they want in terms of profitably-soft agreements and this proves that Tanzanians are low of the lowest in Africa because no any country in Africa would have tolerated but for those CDM members feel that they are BIG whenever they see those twats and bitches in our law establishments.
By the way where is the madam president?? She is busy receiving wawekezaji even Tony Blair the former England Prime Minister who is a crook of the crooks was at Magogoni kuleta some dirty deals and you will the first out of continent trip of your madam president will be to US,,, mtoto wa madili,,, she relaxed taxes on the robbing riches and turned into taxing my grandma whom I send her 60k shs monthly Mungu awalaani kama kweli yupo kwani naamini WEMA HAWANA MAISHA NA WABAYA NDIO HUISHI MILELE

In the abundance of water a fool is thirsty....naona jamaa wameshalewa na mali wanazozoa Africa, wachukue na jua, mwezi, mvua na nyota basi

Mkuu wacha wauze nchi mwishoni watakuja kugundua hawawezi kula pesa

A good man is never honored in his own country..REST IN PEACE JPM
 
Mulamula Yuko weak Hana ubavu wa kufokea mabalozi kuzingatia mkataba wa Vienna Convention

Kumtoa Profesa Kabudi mama Samia alichemka
Mulamula ana uraia wa Marekani ndio maana ambassadors hawamuogopi

Kiukweli huwa binafsi sipendi mtu aged kupewa madaraka kana kwamba hakuna wengine....eti Kisngizio Uzoefu....
Uzoefu fani??? Alikuwa anafanya Kazi Peke yake?
Mtu yupo Over 60! Eti mzoefu acheni hizo kubania watu nafasi!
Yaani Mambo Mengine yanaudhi basi tuu!
Eti hakuna wazoefu yeye ndio alikuwa a-z.
Eti arudishe uhusiano wa nje
Mambo mengine bana,Au kumpa ulaji tuu!
 
The have been robbing our continent for centuries and now they fear no more, they do it in open.

The agenda now is battery powered cars in their manufacturing industries as they are discarding the fuel powered ones.

African leaders can't stand firm anymore so, let's first get gripped with injections to get totally stiffen our thinking capacity to the lowest level.

We are f....... big time.
Mhhh what a comment but very many thanks for such and your comment has been partly understood so now what do you do on the issue of foreigners or ambassadors attending the court room proceedings?,,, When you see them kind of things happenings in your country you should know that there is no government in your country ,,,there is no president or whatsoever rule in place and when it comes to the so called mchango wa hiari or "tozo" she ,the president got it wrong but she has purposely done it to impress wawekezaji by not taxing them reasonably,, Mungu atamlaani kwa kuwatoza kodi masikini na kwa jinsi hiyo kunahitajika mapambano ya ndani kwa ndani CCM,,, huyu aondoke lakini kwa kuwa ni mbaya kwa masikini atadumu
 
Huwezi kufahamu nchi yaendaje kwa kuhudhuria taratibu za mahakamani.

Kuifahamu nchi kwa mapana yake kwa kutumia kesi ya Mbowe si lugha sahihi, kwani ofisi za mabalozi hao na wadau wote wa maendeleo wa kigeni zipo nchini miaka nenda rudi, hivyo tayari taarifa zote kuhusu nchi hii wanazo.

Kitendo cha kuwa wanatekeleza taratibu za kidiplomasia kwa kuwasiliana na serikali ya nchi mwenyeji kisha kusimama bega kwa bega na watuhumiwa mahakamani waona ni sahihi?

Yaani wangefanya hivyo kule Russia, au China?

Au sisi tungefanya hivyo kule Marekani au Canada au Uingereza?

Si mtu ungeanza kufuatiliwa una malengo gani dhidi ya nchi mwenyeji?

Kwani wanapowasilisha zile "credentials" kwa raisi zimeandikwa kuhusu kuingilia shughuli za kisiasa za nchi mwenyeji?

Haya ni masuali ambayo tukiweka ushabiki wa siasa pembeni twaweza kujiuliza kwa upande wa diplomasia.
Wew Kibwetele unafikiri kwa nini hawahudhurii kesi ya Kihiyo mwenzako Sabaya na wameamua kuhudhuria hii kesi ya Mbowe?Mtu akiwa Mburula kama wew ndio utaandika uharo kama ulio andika hapo. Hivi unafikiria hizo nchi unazizidi wew kwa teknolojia gani ya upelelezi na ujasusi?
 
Mhhh what a comment but very many thanks for such and your comment has been partly understood so now what do you do on the issue of foreigners or ambassadors attending the court room proceedings?,,, When you see them kind of things happenings in your country you should know that there is no government in your country ,,,there is no president or whatsoever rule in place and when it comes to the so called mchango wa hiari or "tozo" she ,the president got it wrong but she has purposely done it to impress wawekezaji by not taxing them reasonably,, Mungu atamlaani kwa kuwatoza kodi masikini na kwa jinsi hiyo kunahitajika mapambano ya ndani kwa ndani CCM,,, huyu aondoke lakini kwa kuwa ni mbaya kwa masikini atadumu
It is difficult, as a country we are in difficult position as we don't know who really run the country at the moment.

I certainly believe the deep state is currently stir the country towards 2025 elections.

These current issues are closely monitored by them.
 
Wew Kibwetele unafikiri kwa nini hawahudhurii kesi ya Kihiyo mwenzako Sabaya na wameamua kuhudhuria hii kesi ya Mbowe?Mtu akiwa Mburula kama wew ndio utaandika uharo kama ulio andika hapo. Hivi unafikiria hizo nchi unazizidi wew kwa teknolojia gani ya upelelezi na ujasusi?
Wajinga wengi huandika kama uloandika hapo juu.

Tulia chini na jadili kwa kutumia akili.
 
1630353638120.png

Yasemekana anatumika na China kumuangusha Mama
 
Wajinga wengi huandika kama uloandika hapo juu.

Tulia chini na jadili kwa kutumia akili.
Ficha ujinga wako na wew kibwetele Wa pili, kada mwenzenu Masaburi alisema ninyi wanachama wenzake mnafikiri kwa kutumia makalio huko Lumumba. Na uchunguzi makini Wa kisayansi Wa shirika Huru la Twaweza ulibainisha kuwa wanachama wengi wa Lumumba buku7 ni vihiyo Wa kutupwa au ukipenda tuwaite mamburula.
 
Sikiliza wewe kibwetere na mburura usieleweka, mimi si mwanachama wa CCM.

Na wala si buku 7 na pia si mwanasiasa.

Mimi ni mtanzania huru nitoae maoni kwa kutumia uhuru wangu wa kikatiba.

Pia natumia elimu yangu , ujuzi na maarifa niwapo hapa JF.
 
Hiyo elimu ulionayo ni ya vihiyo huwezi MPA MTU mwenye Akili wape Buku7 wenzio wew kibwetele mmoja.Hapa sisi hatuna mda Wa kuchekea upuuzi Wa watu wenye fikra mfu kama hizo.
 
57 Reactions
Reply
Back
Top Bottom