Mabadiliko ya katiba kutoa ukomo wa raisi kuongoza miaka kumi tuu na kumpa nafasi Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan kugombea tena 2030

Wazee wamekaa Wakaamua kumpa awamu 6, huu ni mtego , wakampa na PhD feki, yote Haya ni kumpumbaza mjoli
falsafa yake ya R 4 itampa PhD nyingi sana, hata za Kimataifa.

Unafahamu kuwa dunia imeitambuwa mpango wake wa BBT kuwa ni bora duniani na wanakuja watu wa Dunia nzima kuanzia tarehe 5 September kumuunga mkono?

Huyu mama siyo kawaida kabisa.
 
Ndugu zangu watanzania katiba yetu imeweka ukomo wa muhula mmoja wa viongozi akiwamo rais na wabunge kuchaguliwa kila baada ya miaka mitano. Hii ni nzuri ila tatizo kubwa ni kwamba katiba imeweka ukomo wa raisi kuwa miaka 10 tuu kitu ambacho sio sahihi.

Ni muda muafaka kifungu hicho kifanyiwe marekebisho haraka ili raisi aweze kukaa madarakani zaidi ya miaka kumi na kuendelea. Miaka mitano au kumi ni michache sana kumpatia mama atuvushe. Kwaiyo mfano katiba mpya ikija iwe na option kama raisi akitaka kugombea agombee tena na sio miaka kumi ikiisha ndiyo basi.

Hii imekaa poa manake kuna katiba za vyama watu wanaruhusiwa kugombea nafasi hadi miaka 20 na kuendelea .

Pamoja tuungane na tujenge taifa letu

Namba ya simu Kaka, rudi
 
falsafa yake ya R 4 itampa PhD nyingi sana, hata za Kimataifa.

Unafahamu kuwa dunia imeitambuwa mpango wake wa BBT kuwa ni bora duniani na wanakuja watu wa Dunia nzima kuanzia tarehe 5 September kumuunga mkono?

Huyu mama siyo kawaida kabisa.
Kila kitu kinapangwa Kwa kusudi maalumu, wazee miyeyusho sana
 
Ndugu zangu watanzania katiba yetu imeweka ukomo wa muhula mmoja wa viongozi akiwamo rais na wabunge kuchaguliwa kila baada ya miaka mitano. Hii ni nzuri ila tatizo kubwa ni kwamba katiba imeweka ukomo wa raisi kuwa miaka 10 tuu kitu ambacho sio sahihi.

Ni muda muafaka kifungu hicho kifanyiwe marekebisho haraka ili raisi aweze kukaa madarakani zaidi ya miaka kumi na kuendelea. Miaka mitano au kumi ni michache sana kumpatia mama atuvushe. Kwaiyo mfano katiba mpya ikija iwe na option kama raisi akitaka kugombea agombee tena na sio miaka kumi ikiisha ndiyo basi.

Hii imekaa poa manake kuna katiba za vyama watu wanaruhusiwa kugombea nafasi hadi miaka 20 na kuendelea .

Pamoja tuungane na tujenge taifa letu
Naona mnamuwangia.

Magu alianza na hizi tetesi tena mpaka bungeni Mungu akamnyakua kabla matatizo hayatokea.
 
Huu upuuzi HAPANA katiba iheshimiwe ili tuwapate wakina Samia wengine.
 
Yan mpaka ummy,uweso ETI nao wako kwenye race za uceo, hii cabinet Ina wehu watupu, wazee Haya yote ni kazi ya mikono yenu
 
Ndugu zangu watanzania katiba yetu imeweka ukomo wa muhula mmoja wa viongozi akiwamo rais na wabunge kuchaguliwa kila baada ya miaka mitano. Hii ni nzuri ila tatizo kubwa ni kwamba katiba imeweka ukomo wa raisi kuwa miaka 10 tuu kitu ambacho sio sahihi.

Ni muda muafaka kifungu hicho kifanyiwe marekebisho haraka ili raisi aweze kukaa madarakani zaidi ya miaka kumi na kuendelea. Miaka mitano au kumi ni michache sana kumpatia mama atuvushe. Kwaiyo mfano katiba mpya ikija iwe na option kama raisi akitaka kugombea agombee tena na sio miaka kumi ikiisha ndiyo basi.

Hii imekaa poa manake kuna katiba za vyama watu wanaruhusiwa kugombea nafasi hadi miaka 20 na kuendelea .

Pamoja tuungane na tujenge taifa letu

Si huwa mnaweza kusema atake au asitake kwa katiba hii hii? Kwani imekuwa je tena?
 
Ndugu zangu watanzania katiba yetu imeweka ukomo wa muhula mmoja wa viongozi akiwamo rais na wabunge kuchaguliwa kila baada ya miaka mitano. Hii ni nzuri ila tatizo kubwa ni kwamba katiba imeweka ukomo wa raisi kuwa miaka 10 tuu kitu ambacho sio sahihi.

Ni muda muafaka kifungu hicho kifanyiwe marekebisho haraka ili raisi aweze kukaa madarakani zaidi ya miaka kumi na kuendelea. Miaka mitano au kumi ni michache sana kumpatia mama atuvushe. Kwaiyo mfano katiba mpya ikija iwe na option kama raisi akitaka kugombea agombee tena na sio miaka kumi ikiisha ndiyo basi.

Hii imekaa poa manake kuna katiba za vyama watu wanaruhusiwa kugombea nafasi hadi miaka 20 na kuendelea .

Pamoja tuungane na tujenge taifa letu
Hata kwa bwana yule ilianzaga hivi hivi matokeo yake akaishia miaka 5.

Usiniulize nawaza nini
 
Ndugu zangu watanzania katiba yetu imeweka ukomo wa muhula mmoja wa viongozi akiwamo rais na wabunge kuchaguliwa kila baada ya miaka mitano. Hii ni nzuri ila tatizo kubwa ni kwamba katiba imeweka ukomo wa raisi kuwa miaka 10 tuu kitu ambacho sio sahihi.

Ni muda muafaka kifungu hicho kifanyiwe marekebisho haraka ili raisi aweze kukaa madarakani zaidi ya miaka kumi na kuendelea. Miaka mitano au kumi ni michache sana kumpatia mama atuvushe. Kwaiyo mfano katiba mpya ikija iwe na option kama raisi akitaka kugombea agombee tena na sio miaka kumi ikiisha ndiyo basi.

Hii imekaa poa manake kuna katiba za vyama watu wanaruhusiwa kugombea nafasi hadi miaka 20 na kuendelea .

Pamoja tuungane na tujenge taifa letu

Mavi weee...

Kwahiyo siku akija kichaa naye abadili kuongoza milele?

Hivi nyie weusi hamjui kwann ni maskini kuanzia wa mali hadi fikira kwakua mnatumia tumbo kufikiri?

Muda wote mnawaza kula na kutapanya kila kitu, na kwamba wajukuu zenu watajijua wenyewe wakija, wakti wazungu wenzangu wanakuja kuwalaghai na vipande vichache vya hela kama rushwa kwa ajili ya wajukuu zao, na sio wao binafsi.

Najiita mzungu maana nataka ni bleach hii ngozi yangu ya laana.
 
Katiba ijuwe wewe inatosha.

In shaa Allah sisi na mana Samia kwa miaka 10 kuanzia 2025.
Nimeanza kutilia mashaka uwezo wako wa kupambanua mambo. Hata hili hukulijua pia.
Simzungumzii mama kuhusu kuongiza kwake ila.hilo la mihula nalo hulijui kabisa! parthetic
 
Back
Top Bottom