Maandamano ya CHADEMA Jijini Mwanza

Maandamano ya CHADEMA Jijini Mwanza

Nipo kwenye gari moja na Halima Mdee watu wanamfurahia sana.Watu waliosimamam barabarani wanapomwona wanapiga kelele.Wamefurahi sana kumuona.Kwa kifupi amekuwa kivutio machoni pa wengi.


dada regia,kwa ujumla haya ni maneno ya mtu mnyenyekevu.you inspire ma world.
 
It does n't matter; provided Dr.Slaa is available no problem, our territory is too wider, the absence of Zito & Shibuda in MZA is not a big deal they might have special activities out of MZA
 
hawa wafuatao ni wapumbavu sana humu

jey key wa ukeli
jey key
mlengo wa kati
think twice

na mmwingine mmoja nimemsahau.........yaani ni mijitu ya hovyo kupindukia....
Kweli kabisa, wanadhani hili ni jukwaa la CCM au CDM! Nijuavyo wanaJF wanapenda sana haki na wachukia ufisadi.
 
Wewe kweli umetoroka mirembe! Lema amekataa kuchukua 90m? Tuwe wazalendo ushabiki waa vyama utaendelea kutufanya maskini! Hivi chadema wanavyo imba wimbo wa Tanzania ni maskini ni busara kweli kwa wabunge wao kukubali 90m hasa kipindi hiki? Kuna tofauti gani kati ya Chadema na CCM na CUF hapa? Wote wamehongwa halafu wanatuambia wanatetea maslahi ya Taifa! Hopeless politicians! Najuata kuzaliwa Tanzania!

Utajuta sana mwaka huu, wajinga tu ndio hawaoni tofauti ya chadema na vyama vingine, lakini tutazidi kwaelimisha, narudia tena, unataka Lema aacha mil 90 ili mumlipe al adawi, ili kikwete akabembee Jamaica?
 
Fundisho kwa watawala kuwa amani inawezekana. Walijua mwanza hawawezi kuzuia maandamano. Watu wa kule hawana mchezo.
 
issue ni kwamba maandamano yamefanyika, big up CDM peoples power! Ujumbe umefika

Ukitaka kujua alipo zitto ama shibuda uliza,na sio kuja na hoja za kishabiki kama wajina wako jk!
 
Kama kuna anayeweza kunitajia kitu kimoja kilichopatikana kwa chama fulani cha siasa Tanzania kwa njia ya maandamano aweke hapa. Kila siku mnaandamana na kutoa hotuba zisizo na tija halafu jioni mnarudi nyumbani. Mantiki yake nini sasa?
Hivi huwa mnakaa na kuevaluate mafanikio yanayopatikana kutokana na hayo maandamano?

Huyu ni critical thinker Kiazi Ndg nakushauri upumzike unachefua hali ya hewa humu ndani na mishuzi yako....
 
Rev Masa, wewe kiboko maana huwa unatwanga nyoka rungu ya kichwa. tehe tehe tehe!

moz-screenshot.png
moz-screenshot-1.png

Tunaambiwa kila siku kuwa huyu jamaa (Mkwere - JK) hakuwa na uwezo wa kuongoza taifa teule na imara kama Tanzania ila hatuamini...! Picha nyingi anaonekana akisinzia, na macho yanajificha ndani ya mawani...sasa tumsaidieje?

Pamoja na yote hayo jamaa huu ugonjwa wake labda mganga alishakufa....mbona anazimia-zimia? au huu ni ugonjwa 'mdondo'! unaoambatana na sinzia-sinzia?

Kwiiisha kazi yake............siku tutatangaziwa 'jambo'! Yetu macho na masikio.
 
Kama kuna anayeweza kunitajia kitu kimoja kilichopatikana kwa chama fulani cha siasa Tanzania kwa njia ya maandamano aweke hapa. Kila siku mnaandamana na kutoa hotuba zisizo na tija halafu jioni mnarudi nyumbani. Mantiki yake nini sasa?
Hivi huwa mnakaa na kuevaluate mafanikio yanayopatikana kutokana na hayo maandamano?

zeYutong ..lol
 
Daaaaah, kweli raisi wetu Dr.Slaa (phd) na cdm wanakubalika ileile babake! Aminia chadema, huu moto hauzimiki mpaka kieleweke
 
Nimesikiliza BBC saa 12 na dakika 40,hao unaowasema wamehudhuria maandamano. Acha kujikomba
 
Kwa hiyo unadhani baada ya maandamano hayo uchwara bajeti ya nchi itabadirishwa?
Nothing will be achieved by those maandamano other than media attention!

jamaa yangu wivu utakuua, lakini hata hivyo pole sana. Tanzania imeamka, rafiki zako mafisadi wakati wao wa kulipa walichoiba umewadia!

CHADEMA mwendo mdundo, hakuna kulala mpaka kieleweke!!!!!!!!! Tunayakaribisha maandamano kanda ya ziwa.
 
kwa nini CHADEMA hawamnunulii Dr Viatu vingine, Dr anavaa viatu hivyo hivyo tangia ufunguzi wa campaign last year August.

Wewe umeona viatu tu?? mbona watu wengine mnaongea bila kufikiri. Ulitaka kila unapomwona basi awe na viatu vipya! Upeo wa kufikiri unakuwa mdogo wakati mwingine. Si kosa lako
 
Hamjawahi kuhamasisha hata ujenzi wa shule ya kata, kazi yenu kuandaa maandamano tu. Huo ni unafiki wa kisiasa, hamna moyo wa kweli wa kuleta maendeleo Tanzania.

wasikusumbue hao, watu wenyewe wanahesabika, we unadhani watamtisha nani, naona padri ka prove failure leo maana naona watu kama wanamshangaa vile!!!!!!!!!!!!!!!!
ila hawa jamaa kwa kujipa moyo tu, wanaweza
 
katika hali isiyo tarajiwa wabunge wawili wameendelea kupingana na uongozi wa chadema kwa kukataa maandamano ya mwanza

Mpaka sasa leo(24.02.2011) sio chibuda sio zitto aliyeko kwenye maandamano ya mwanza


Nawapa big up zitto na shibuda

Kwani wamehudhuria wabunge wote wa CHADEMA kasoro hao wawili? Hata kama ingekuwa hivyo wewe ina kuhusu nini?
 
wana jamvi kabla ya kugagadua mada inabidi uangalie jina la mtu aliyetuma thread....kuna vibaraka wa chama flani wanaotaka kuleta chokochoko...kama wamekataa wewe inakuhusu nn?maandamano yamefanyika tena wananchi wameitikia kwa moyo mmoja..ishu za waliokataa maandamano hatuhitaji kuzisikia muda huu...tunachohitaji ni nini kimeongelewa huko..kama wamekataa au kupinga haina nafasi kwetu
 
Nimesikiliza BBC saa 12 na dakika 40,hao unaowasema wamehudhuria maandamano. Acha kujikomba

aiseee!kumbe watu wanajikomba pia hapa.....kazi kweli kweli....!

uzuri ujumbe umefika,watanzania tumesikia!
 
Back
Top Bottom