STEIN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2010
- 1,772
- 555
Ndio kwanza Kamati zimeundwa. Si msubiri basi muone kwanza watafanya nini? Waachieni wafanye kazi yao badala ya kuanzisha maandamano ambayo yanaweza yakazaa vurugu na kusimamisha hayo maendeleo tunayoyataka!
Hatuna muda wa kuwaangalia hawa wezi, tumeshawaona hawana jipya including you. Mtakimbia nchi safari hii,