Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,949
- 74,431
Rev Masa, wewe kiboko maana huwa unatwanga nyoka rungu ya kichwa. tehe tehe tehe!Kweli kabisa amechoka anasinzia kabisa!
![]()
Rev Masa, wewe kiboko maana huwa unatwanga nyoka rungu ya kichwa. tehe tehe tehe!Kweli kabisa amechoka anasinzia kabisa!
![]()
ZeMakopolo Hujui kitu wewe HIVI UMEME ULIVYOKUWA UNAKATIKA HUKUONA?
AU WEWE FISADI ? MAANA MAFISADI HAWAKUJUA ADHA YA UMEME!
ZEMARCOPOLO UNAJUA MAANA YA KUDAI WEWE? WEWE FISADI MKUBWA!
HIVI UONI MISRI WATU WAMEANDAMANA MPAKA RAIS AKANGATUKA?
HIVI ZE MARCOPOLO UMETUMWA! UNAJUA NGUVU YA UMMA WEWE?
UNAKALIA TU UFISADI LAKINI HUJUI WATANZAIA WANAVYOPIGIKA KWA SASA!
WEWE ZEMARCOPOLO UNAFIKIRI SHULE ZINALETWA NA MAFISADI
AU WASHAKUHONGA WEWE?
Ndio maana tunaandamana ili tupate uhuru wa kweli na hawa wavamizi wawe productive. Huelewi nini sasa.Baya zaidi wakitoka hapo na njaa usiku watakuvamia wewe hata panga la shingo watakupa, shauri yako.
Kipi bora, kuzuia mabomu yasilipuke, au kutaka yalipuke halafu uonekane wa kwanza kutoa rambirambi?Fedha iliyotumika kwa ajili ya haya maandamano ingewafaa sana wakazi wa GONGO LA MBOTO, maslahi ya Taifa kwanza.
Cha msingi sio kujua theme bali ni kujiuliza jamii itanufaika vipi na maandamano hayo na je, jitihada zinazotumika kuandaa maandamano zisingeweza kutumika kuleta manufaa zaidi? Hawa wote wanafiki tu!
Faida yake ni pamoja na wewe usiku na mchana kuendelea kuiota CDM na kusahau chama chako.Hivi maandamano ya Arusha yaliwafaidisha na nini ?.
Hamjawahi kuhamasisha hata ujenzi wa shule ya kata, kazi yenu kuandaa maandamano tu. Huo ni unafiki wa kisiasa, hamna moyo wa kweli wa kuleta maendeleo Tanzania.
Kama kuna anayeweza kunitajia kitu kimoja kilichopatikana kwa chama fulani cha siasa Tanzania kwa njia ya maandamano aweke hapa. Kila siku mnaandamana na kutoa hotuba zisizo na tija halafu jioni mnarudi nyumbani. Mantiki yake nini sasa?
Hivi huwa mnakaa na kuevaluate mafanikio yanayopatikana kutokana na hayo maandamano?
Kwa hiyo maandamano ndio yataleta hospitali?
Vyama vinavyojifanya kujali kwa nini visihamasishe foundations zitakazofanya miradi ya maendeleo kwa mfano?
Maandamano feki ni unafiki tu!
wewe maandamano unayoyataka ni ya mshikamano. tunawajua nyinyi, wivu tu umewajaa. mnaona nchi inawashinda mnasingiziaMaandamano. Mbona nchi za Kiarabu zimefanikiwa ktk kuandamana? Wewe subiri upepo ugeuke ndipo utakapojua nini kitawatokea. Kama mgeshinda kihalali bila ya wizi leo hii msingestuka hivi.Na kama mgechaguliwa kwa % mlizojitangazia. watu wote wangewaunga mkono. Soma alama za nyakati.Nchi imeshamwagiwa Petroli cheche tu Moto utawaka.
Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.