Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 684
Yuko wapi Zitto na Shibuda??
wamekataa maandamano
Yuko wapi Zitto na Shibuda??
Playwright Bertolt Brecht about the 1953 uprising in East Germanythe people had forfeited the confidence of the government and could win it back only by redoubled efforts. Would it not be easier in that case for the government to dissolve the people and elect another...
katika hali isiyo tarajiwa wabunge wawili wameendelea kupingana na uongozi wa chadema kwa kukataa maandamano ya mwanza
Mpaka sasa leo(24.02.2011) sio chibuda sio zitto aliyeko kwenye maandamano ya mwanza
Nawapa big up zitto na shibuda
hivi Hospital zinajengwa na maandamano??
Punguza Mapovu Mkuu, sijui ni nani mwenye Jazba kati ya Yule aliyeandika Piece badala ya Peace na Yule alitoa Maana ya Piece
Hawapotezi muda, matokeo yake mtayaona!mimi sioni cdm kuandamana maan wanapoteza muda wao :A S 13::A S 13:
katika hali isiyo tarajiwa wabunge wawili wameendelea kupingana na uongozi wa chadema kwa kukataa maandamano ya mwanza
Mpaka sasa leo(24.02.2011) sio chibuda sio zitto aliyeko kwenye maandamano ya mwanza
Nawapa big up zitto na shibuda
bado wako viwanja?
Rev.masanilo ile picha ya hawa wehu ccm wanalisakata lumba imemfanya shemeji ayako huku acheke sana na mpaka amepaliwa.....
ameshangaa kuona wameshika nyungo......
Si kwamba hawajui hayo si mawazo yao wamelazimishwa waseme hivyo ni sawa na wale waandishi wa Ai Adawi walivyolazimishwa.Kwa kweli, anayeponda maandamano hayo hajui sababu na umuhimu wa kunandamana.