Ndo viongozi wao hao! So sad kwa taifa hili.
Waliokuwa wanauliza faida ya maandamano ni pamoja na kuongeza wanachama.Wanachama wa CCM wanaziachia kadi na kujiunga CDM sasa
katika hali isiyo tarajiwa wabunge wawili wameendelea kupingana na uongozi wa chadema kwa kukataa maandamano ya mwanza
Mpaka sasa leo(24.02.2011) sio chibuda sio zitto aliyeko kwenye maandamano ya mwanza
Nawapa big up zitto na shibuda

Wanachama wa CCM wanaziachia kadi na kujiunga CDM sasa
Jamani tunalo Bunge lenye Kamati mbalimbali kufuatilia na kutetea mambo haya! Kweli maandamano kama haya ni kupoteza muda wa kazi, kusumbua wananchi, kuleta uchochezi na vurugu tu! Wengine wasiokwenda shule hawaelewi, wanawekwa tu kuandamana kufuata mkumbo na kupotezewa muda wa kutafuta Riziki. Uvunjaji wa Amani huanzia hapa kwenye maandamono. CDM be careful. Tumieni BUNGE P'se. Mkinyimwa kibali cha maandamano pia inakuwa nongwa. Muelewe nin muelewe? Do you know the meaning of Piece?
katika hali isiyo tarajiwa wabunge wawili wameendelea kupingana na uongozi wa chadema kwa kukataa maandamano ya mwanza
Mpaka sasa leo(24.02.2011) sio chibuda sio zitto aliyeko kwenye maandamano ya mwanza
Nawapa big up zitto na shibuda
Wanakimbia chama kilichowalea tena!!Wanachama wa CCM wanaziachia kadi na kujiunga CDM sasa
Wanakimbia chama kilichowalea tena!!