Picha hii siyo Mwanza.
Kweli tunataka mabadiliko! watanzania hatuombi bali tunataka katiba mpya kwa lazima! haki haiombwi mahali popote! haki inadaiwa!
libya wamepata zaidi ya hivyo unavyo sema uchumi nia mrama 11 kutuzidi!! Kachunguzwe akili, naskia kuna orodha ya wana ccm ambao wamechukuliwa mizukule na shekhe yahya, sije kuwa we ni mmoja wapo?
Dada Regia, mimi mwanachama wa chadema. Lakini naanza kupata mashaka na agenda mliyonayo viongozi wetu hii ya kuandamana. Siogopi maandamano ila sidhani kama ni muda muafaka. Tumieni njia mbadala kuimarisha chama na sio hii inaleta mtazamo hasi na kukitenga chama na kundi flani kubwa la watu ambao kwa kiasi kikubwa kwa kutokuamini upinzani unaweza kufanya kile unachoahidi, waliipa kura ccm mwaka jana na kuirudisha madarakani japo wameshaichoka sana. Lazima tukubali ukweli, ccm bado inakubalika sana. Unaweza kuona Bungeni walivyofunika, ok hata ukisema walituibia viti 20 vya ubunge bado upinzani hauna nguvu. Maandamano na migomo haiwezi kuwang'oa kwa sababu ni wachache ndio wataunga mkono. Tena leo CCM wakiamka wakafunga mjadala wa Dowans, wakawafikisha mafisadi kadhaa kizimbani(kama ilivyofanya kwa kina Mramba), upinzani wote utanyong'onye. Hebu tutafute sera za kudumu tuachane na vivuli vya matukio ya mpito. Kwa hiyo staili yenu, mnapunguza kasi ya ukombozi wa Taifa hili. Muda wa maandamano sio sasa, msirubuniwe na wachache wanaowazunguka ambao ni waelewa, wasomi na walio karibu na vyombo vya habari. Watanzania wengi hawako pamoja na nyie hata kidogo. Na siku CCM ikiamua kutusambaratisha litakua ni pigo takatifu na hatutasimama tena. Mwambie Dk Slaa, ths will never work out!!
mkuu unaonekana unaendeshwa na jazba,:a s 13:matusi ya nini? Jibu hoja kwa hoja!!!cha msingi nini wewe mshamba tu kwani wanaoandamana sio wana jamii? muhuni wewe na mkeo
Kwa hali ilivyo ni lazima watu waingie mtaani ili kupata barabara, hospitali, shule bora n.k kama ulivyo tambua.
Haki yako hupewi - unaichukua kwa nguvu.
You have raised important points but the truth remains and that is change require force - in science or sociology.
Wee kweli bado upoupo, yaani CCM walipue mabomu makusudi halafu CHADEMA watoe hela kwa wahanga? Kwanini hao CCM wasitoe kutoka kwenye faida waliyoipata kutokana na hiyo milipuko? Maana kwa CCM milipuko na vifo vya watanzania, kwao ni dili na ndo wanapatia faida humo. Basi zinazozidi katika faida yao, wawasaidie hao wahanga wa mabomu.
Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.
Hhahahaha...Pale unapotaka kutukana lakin unashindwa kutukana na wivu wakutaka ingekuwa ni mafanikio ya upande uliopo...halafu unajikuta huko ulipo ndio hovyoooooo...Badilika nduguuu,Usingoje kubadilishwa...Siku utakayotaka kubadilika utajikuta umechelewa na kujutia muda uliopeteza...Tehhe..Nikuulize swali....We umefanya nini hata kimoja kusaidia jamii ambacho unaweza kujivunia au ambacho jamii inashukuru kwa mchango wako...ukianzia hapo kwako binafsi utaweza kuongeza nguvu katika kikundi ambacho unakiunga mkono.Kwa hiyo maandamano ndio yataleta hospitali?
Vyama vinavyojifanya kujali kwa nini visihamasishe foundations zitakazofanya miradi ya maendeleo kwa mfano?
Maandamano feki ni unafiki tu!
Kama watu hawataki maandamano mbona wamekuwa wakifurika kila sehemu? Hivi wewe mwana-CCM husomi upepo, hukuona jinsi Makamu wa Rais alivyokosa watu alipotembelea Mbeya hivi juzi? Kwa nini Makamu wa rais akose watu halafu CHADEMA wakusanye watu wengi? Akili kichwani mwako.Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.