mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.
wewe ndo unaepoteza muda wako kuandika hayo uliyoandika.
mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.
Hamjawahi kuhamasisha hata ujenzi wa shule ya kata, kazi yenu kuandaa maandamano tu. Huo ni unafiki wa kisiasa, hamna moyo wa kweli wa kuleta maendeleo Tanzania.
mkuuu nyinyi nikuacha wizi tuu mbona pesa mnayokusanya inatosha kufanyia hayo yooote kwani cdm ni serikali? kama uliona mtashindwa kuleta maendeleo mngewaachia wenye uchungu na nchi yao! NYINYI MATAAHILA HAMUENDI BILA MAANDAMANO!Kwa hiyo unadhani baada ya maandamano hayo uchwara bajeti ya nchi itabadirishwa?
Nothing will be achieved by those maandamano other than media attention!
Acha kuweweseka mkuu, watu hawataki maandamano mbona wamejitokeza? jiulize CCM 5-02 ilibidi wachukue wasanii iliwatu wajitokeze lakini leo kwenye maandamano sitegemei kama kutakuwa na wasanii lakini utashangaa umati utakao jitokeza pamoja na vitisho vyote vya mafisadi, huu ni mwanzo tu subilia matokeo yake baada ya nchi nzima kuzungukiwa...Miaka 50 tulikuwa hatuandamani tumepata huduma bora za barabara, hospitali, Elimu?....Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.
cha msingi sio kujua theme bali ni kujiuliza jamii itanufaika vipi na maandamano hayo na je, jitihada zinazotumika kuandaa maandamano zisingeweza kutumika kuleta manufaa zaidi? Hawa wote wanafiki tu!
HAYA MATATIZO YOOTE KALETA MAKAMBA! nKwa hiyo maandamano ndio yataleta hospitali?
Vyama vinavyojifanya kujali kwa nini visihamasishe foundations zitakazofanya miradi ya maendeleo kwa mfano?
Maandamano feki ni unafiki tu!
Cha msingi sio kujua theme bali ni kujiuliza jamii itanufaika vipi na maandamano hayo na je, jitihada zinazotumika kuandaa maandamano zisingeweza kutumika kuleta manufaa zaidi? Hawa wote wanafiki tu!
Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.
Wataleta maendeleo bila umeme?, Au umesahau uhusiano wa umeme na uchumi?
Wengine wanaweza sema; Bora kuamasisha wananchi wakalime, je hizo pamba zikivunwa zitasindikwa vipi bila ya umeme?
TAFAKARI NA CHUKUA HATUA!
Mbona wewe zeMarcopolo unaponda tu maandamano, au hujasoma na kama umesoma hujaelimika; maandamano yamefanya kazi Tunisia, Misri na kwingineko wewe unabeza!!! haya umehamasisha shughuli gani ya maendeleo basi hata humu JF tu!!! Mwache regia atujuze kama unaboreka ziba pua ahhh ziba masikio aaaahhh ziba macho. au Funga ukaendeleze uvivu wako wa kutafakariKwa hiyo maandamano ndio yataleta hospitali?
Vyama vinavyojifanya kujali kwa nini visihamasishe foundations zitakazofanya miradi ya maendeleo kwa mfano?
Maandamano feki ni unafiki tu!
ulitaka tufanye nini mkuu toa ushauli wako basi tukusikie makamba!sasa kama kinachohitajika ni umeme, maandamano yataleta umeme?
Can anyone quantify manufaa ya hayo maandamano? Taking into account kuwa yanatumia pesa nyingi kuyaandaa!?
Hata Egypt,Tunisia na sasa Libya wanapoteza muda wao siyo?
wewe maandamano unayoyataka ni ya mshikamano. tunawajua nyinyi, wivu tu umewajaa. mnaona nchi inawashinda mnasingiziaMaandamano. Mbona nchi za Kiarabu zimefanikiwa ktk kuandamana? Wewe subiri upepo ugeuke ndipo utakapojua nini kitawatokea. Kama mgeshinda kihalali bila ya wizi leo hii msingestuka hivi.Na kama mgechaguliwa kwa % mlizojitangazia. watu wote wangewaunga mkono. Soma alama za nyakati.Nchi imeshamwagiwa Petroli cheche tu Moto utawaka.Kwa hiyo maandamano ndio yataleta hospitali?