mzalendofungo
Member
- Feb 15, 2011
- 46
- 4
Asante
Wewe ni mdogo wake na Jeykey wa ukweli? upupu wenu unafanana.
offtopic you need ban nimereport kwa mod
Heshima Mbele!How are you?
Lema aliweka wazi kuhusu mikopo ya Magari ya Shilingi milioni 90 analaumiwa sana including baadhi ya Wabunge wa CHADEMA.Kwa bahati mbaya sana sina ID nyingine humu JF zaidi ya hii[/U] ya jina alangu halisi hivyo siwezi kuweka wazi hapa mbele ya kadamnasi na kwakufahamu fika kuwa humu wako members wakila aina including wabunge na viongozi wengine hivyo nisije nikachukuliwa hatua za kinidhamu unnecessarily.
Naamini umenielewa na tutawasiliana kwa njia nyingine.
Aluta Continua.
Kutoka Ofisi za Bunge Dsm
Regia E Mtema
Waziri Kivuli Kazi na Ajira.
Kama watanzania wanavyochagua ccm kila mwaka na hakuna mabadiliko??
Irrelevant!
Mbona hausemi fedha nyingi zinazopotea kwa ufisadi na wizi wa kimafia? Maandamo hayo yataamsha wengi waliolala na kutoa hukumu sahihi watakapohitajika kufanya hivyo.Sasa kama kinachohitajika ni umeme, maandamano yataleta umeme?
Can anyone quantify manufaa ya hayo maandamano? taking into account kuwa yanatumia pesa nyingi kuyaandaa!?
Sasa kama kinachohitajika ni umeme, maandamano yataleta umeme?
Can anyone quantify manufaa ya hayo maandamano? taking into account kuwa yanatumia pesa nyingi kuyaandaa!?
Originally Posted by elimumali![]()
![]()
Jamani tunalo Bunge lenye Kamati mbalimbali kufuatilia na kutetea mambo haya! Kweli maandamano kama haya ni kupoteza muda wa kazi, kusumbua wananchi, kuleta uchochezi na vurugu tu! Wengine wasiokwenda shule hawaelewi, wanawekwa tu kuandamana kufuata mkumbo na kupotezewa muda wa kutafuta Riziki. Uvunjaji wa Amani huanzia hapa kwenye maandamono. CDM be careful. Tumieni BUNGE P'se. Mkinyimwa kibali cha maandamano pia inakuwa nongwa. Muelewe nin muelewe? Do you know the meaning of Piece?
piece(p
s)n.1. A thing considered as a unit or an element of a larger thing, quantity, or class; a portion: a piece of string.![]()
2. A portion or part that has been separated from a whole: a piece of cake.
3. An object that is one member of a group or class: a piece of furniture.
4. An artistic, musical, or literary work or composition: "They are lively and well-plotted pieces, both in prose" (Tucker Brooke).
5. An instance; a specimen: a piece of sheer folly.
6. A declaration of one's opinions or findings: speak one's piece.
7. A coin: a ten-cent piece.
8. Games a. One of the counters or figures used in playing various board games.
b. Any one of the chess figures other than a pawn.
9. Slang A firearm, especially a rifle.
10. Informal A given distance: "There was farm country down the road on the right a piece" (James Agee).
11. Vulgar Slang A sexually attractive person.
Originally Posted by kweleakwelea![]()
Once posted ny Nyantella
Kwa kweli sijawahi kumsikia hata Dr. Slaa akihimiza watu kufanyakazi ila wajiletee maendeleo binafsi na maandamano tuuuu ndiyo yatakaitoa TZ katika giza? I doubt! na hata sisi wa pembeni tunao m adimire Dr. Slaa tunaanza kuchoshwa na hii tabia ya kitoto mtu mzima na Phd yake ambaye anaweza kuwa rais wa nchi hii anakosa busara kiasi hicho! na yeye anaendekeza sifa za kijinga! yaani CDM sasa ni Chama Cha Demokrasia na Maandamano, Maendeleo kwa mtindo huu tusahau!!! tabia ya kuiga tembo kunya itatupeleka pabaya!! walibya ni wa pili kwa Oil production duniani, na nchi zoote za kiarabu huko kaskazini (Tunisia, Misri etc.) they can afford kuishi mawiki wakiandamana na kuuana maana baada ya maandamano mafuta bei juu wata recover sisi huku tuna nini? mafuta tunaagiza pesa ya kigeni ndiyo hivyo tena inatumika ki aina sijui tufanyeje.
Libya ndiye main supplier wa mafuta kwenda Ujerumani hata wakati walipowekewa vikwazo na Bush mafuta waliuza Ujerumani kama kawa. andamaneni wala hamtasikia jamaa yenu Obama akisema kitu itakua Somalia nyingine and nobody will give a shit.
Unaongea upupu!! Unataka kusema kwa sababu Libya inaproduce mafuta ndo wana haki ya kuandamana and blablablahh... Kwanza si kweli Libya ni ya pili kwa kusupply mafuta kama ulivyodai... You must be sure of what you are saying... Na kama ni sawa kwao kuandamana kwa kuwa wana mafuta ya kuuza huoni kama WTZ ndo tunatakiwa tuandamane ama kufanya lolote linalowezekana kuingoa hii serikali dhalimu ya CCM kwani TZ ndo peke yake inayozalisha madini ya Tanzanite, na tuna rasilimali nyingi ambazo zingesimamiwa vema zingemaliza kabisa huu ugumu wa maisha tunaouface Watanzania????? Unaangalia upande mmoja tu ehhh!!
Next time jaribu kupunguza jazba kabla hujafanya maamuzi ya kuandika kitu hata kama hakitaleta sense yeyote humu kwenye JF; i bet you meant to write "Peace" and share with JF members the meaning of the word "Peace"...pole sana. Naomba niwatakie wananchi wote wapenda maendeleo ya kweli na ya haki kule mkoa wa Mwanza, maandamano mema na yenye baraka zake Mungu.
katika hali isiyo tarajiwa wabunge wawili wameendelea kupingana na uongozi wa chadema kwa kukataa maandamano ya mwanza
Mpaka sasa leo(24.02.2011) sio chibuda sio zitto aliyeko kwenye maandamano ya mwanza
Nawapa big up zitto na shibuda