Maandamano ya CHADEMA Jijini Mwanza

Maandamano ya CHADEMA Jijini Mwanza

Hivi ni lazima wabunge na wanachama wote wa chadema wawepo kwenye maandamano?
 
Utajuta sana mwaka huu, wajinga tu ndio hawaoni tofauti ya chadema na vyama vingine, lakini tutazidi kwaelimisha, narudia tena, unataka Lema aacha mil 90 ili mumlipe al adawi, ili kikwete akabembee Jamaica?

Drunk Woman unaelewa kinachoendelea? Tanzania tuna wapa wabunge 90m na chadema wanachukua! Nakushauri uwe unauliza wanawake wenzako hata saloon! Inaonekana upo kichama zaidi badala ya maslahi ya Taifa kwa watanzania!
 
katika hali isiyo tarajiwa wabunge wawili wameendelea kupingana na uongozi wa chadema kwa kukataa maandamano ya mwanza

Mpaka sasa leo(24.02.2011) sio chibuda sio zitto aliyeko kwenye maandamano ya mwanza

Nawapa big up zitto na shibuda

na hao ndo wenye hekima ya kweli ndani ya chadema. wengine ni washabiki tu na si wanasiasa wa kweli, wamejawa jazba zisizo na msingi na utoto mwingi. we angalia ata mahudhurio ya hao waandamanaji, hakuna kipya ila porojo tu. na ujue leo ni siku ya maandamano nchi nzima ambayo huwezi kuyafeel hata kiduchu. kabwe hoyeeeeeeeeeee, shibuda hoyeeeeeeeeeeeeee
 
Wana-JF huyu mpuuzi si ndo alituambia kuwa maandamano ya Mwanza yamepigwa stooooooooop!! Sasa amewageukia tena akina Zitto na Shibuda. Hivi huwezi ukatafakari na ukaona kwamba siyo lazima wabunge wote wawepo kwenye maandamano hayo?? Hivi ina maana umewaona wabunge wote wa CDM kwenye maandamano hayo? IDIOT, LAZY BRAIN!!

CDM Hureeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!
 
Mimi ninge kuwa karibu na Zitto Kabwe ningemshauri ajitoe tu Chadema. Nakubali kwamba mwanasiasa lazima awe na mawazo binafsi na iki bidi apingane na chama kwa ajili ya maslahi ya jimbo lake au maslahi ya kimataifa. LAKINI, ikiwa kwamba wewe kila mkakati wa chama una pingana nao hiyo inaonyesha wewe una tofauti za ki-idiolojia na hicho chama. Inapo fika mahali haukubaliani kabisa na mwenendo wa chama jitoe na tafuta chama kinacho endana zaidi na falsafa yako binafsi. It is obvious huyu jamaa na Chadema haviendani.
 
haina neno na sisi tutawapata tu katika kumi na nane zetu hasa hasa huyo zito... huyu shibuda hana neno maana tumemjua kimjini mjini tutambwaga tu
Hamna ubavu mnamgwaya sana Zitto,mtu kakisariti chama lakini mnaunda kamati mwisho mnamsamehe! Atawasumbua sana! Tatizo ameshajiona ana akili na uwezo mkubwa wa kujenga hoja! Anafanya makusudi anajua chadema haina uwezo wa kumfanya chochote!
 
na hao ndo wenye hekima ya kweli ndani ya chadema. wengine ni washabiki tu na si wanasiasa wa kweli, wamejawa jazba zisizo na msingi na utoto mwingi. we angalia ata mahudhurio ya hao waandamanaji, hakuna kipya ila porojo tu. na ujue leo ni siku ya maandamano nchi nzima ambayo huwezi kuyafeel hata kiduchu. kabwe hoyeeeeeeeeeee, shibuda hoyeeeeeeeeeeeeee

yaani roho itawauma mpaka mpasuke ..... mipasho na mashairi ndicho mnachojua
 
Halfcaste nipo ila position haikuwa rahisi kupost habari nzima za maandamano wakuu.

Ni ya kihistoria cijawahi kuona
 
Chama chenye viongozi wa wanafiki wakubwa hawaishi kwa Vitendo wanaishi kwa maneno tu! Tulitegemea Chadema wakatae zile 90 milion walizopewa wabunge! Hakuna hata Mbunge mmoja kutoka chadema aliejaribu kusema juu ya ufisadi huo! Leo wanapoteza muda kuandamanisha watu wanafiki wakubwa hao,hawana maana yeyote! Nimeanza kuichukia Chadema kwa kukubali kula rushwa ya 90m wakati watu wetu ni maskini! Tanzania hakuna chama chenye uchungu na watanzania vyote vinalengo la kujinufaisha na maslahi ya viongozi tu!

Katika yote!hili nalo neno tena zito na la msingi.Tusidanganyane "the beautiful ones not yet born" hakuna vyama hapa,wote ni kundi linalotaka ulaji kupitia kwa idle boys ambao baada ya maandamano utasikia wafanyabiashara wakilia kuwa "wameibiwa".Chama cha kumuondoa huyu shetani mwenzenu(CCM) kitazaliwa hivi punde.

Mwalim alisema "upinzani utatoka CCM" na wala si huko kwa watu wa kitaa. Wachaga (Arusha/Kilimanjaro) baada ya kutafuna TRA,BOT na Ufisadi (Mgonja,Yona,Mramba,Lowassa n.k) sasa mmeamia kwenye siasa kwa Ari Mpya zaidi ,Kasi Mpya zaidi na Nguvu mpya zaidi ili mtutafune vizuri.

Hao wanawatumieni nyinyi zumbukuku baadae utasikia si serikali wala chama kumejaa kaskazini. Mchaga anavyopenda hela hapo nyinyi "ngosha" ndo mtakapo jua nini maana ya "vijicenti".Wazo la leo "mjasili haachi asili" hivyo jiandaeni japo Laana ya Nyerere haitowaacha kando kama ilivyomtafuna Lowasa.
 
Hata Arusha hawakuwepo, hao ni watu makini na wenye fikra za kulinda amani. Hawaoni kuwa Maandamano kuwa ni ufumbuzi au ndio Muarubaini wa maendeleo. Nawaunga mkono kwa kutoshabikia maandamano yasiyo na msingi.
 
Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.

Kama jina lako umelala usingizi ndani Marcopolo,utayajuwaje ya nje,endelea kulala
 
wabunge.jpg

Naona Captain Komba Yuko kazini hapo anajenga Madarasa ya kata kule Songea kwa Makalio na Ungo, akinogewa kiduchu tu ataenda kutengeneza watoto wa shule kabisa. Si unajua Mijitu ya CCM ilivyo MIFUKSA?? Hairidhiki na Window shopping mpaka ifunue na kupapasa kaptula za watu ili kutomasa vitumbua.
KWa maoni ya ZeMarcopollos na JeyKey ujenzi wa nchi kwao hufanywa kwa viuno na nyungo.

LI JIBABA NA UNGO HUKU MIUNO IKIACHIA KIMBUNGA!!

offtopic you need ban nimereport kwa mod
 
wewe unamatatizo, hivi wewe sio malaria sugu kweli?
anyway, ulitaka wabunge wote waende Mwanza?
akili zako mbona zinaonekana ziko sawa na za Yule mtabiri wa mashetani shehe yahaya?
au mko ukoo mmoja?
katika hali isiyo tarajiwa wabunge wawili wameendelea kupingana na uongozi wa chadema kwa kukataa maandamano ya mwanza

Mpaka sasa leo(24.02.2011) sio chibuda sio zitto aliyeko kwenye maandamano ya mwanza

Nawapa big up zitto na shibuda
 
Wakuu yale maandamano ya CHADEMA katika Kanda ya Ziwa ndio yameshaanza.Maandamano yameanzia Buzuruga kuelekea uwanja wa Furahisha.Watu ni wammejitokeza kwa wingi wa jinsia na rika zote.Kwabahati mbaya sijakaa kwenye position nzuri ya kurusha picha lakini nikipata fursa nzuri nitazirusha.

Aluta Continua.

From kwenye Maandamano Mwanza

Regia E Mtema
Waziri Kivuli-Kazi na Ajira

182093_1470892587284_1682707865_914231_1937388_n.jpg

Picture added by JF Admin

ASANTE SANA WAZIRI WANGU,NIMEPENDA SANA TUKIO HILI,NA PICHA INAPENDEZA SANA.NAOMBA UENDELEE KUTUPATIA PICHA ZA MAENDELEO YA MAANDAMANO YETU HAYA MATUKUFU...PIIIIPOOOOOZZZZZZZ.......iDUMU CHADEMA.nAWAONA HAPO PICHANI BADALA YA MABOMU YA MACHOZI WAMESHIKA TU VIRUNGU....Heshima kwa polisi wetu inarudi wanagundua sasa hawa ndio viongozi watakaolinda maslahi yao siku za hivi karibuni.
 
Hata Arusha hawakuwepo, hao ni watu makini na wenye fikra za kulinda amani. Hawaoni kuwa Maandamano kuwa ni ufumbuzi au ndio Muarubaini wa maendeleo. Nawaunga mkono kwa kutoshabikia maandamano yasiyo na msingi.
nani aliyekudnaganya muamndamana ni kuvunja amani?
 
yaani roho itawauma mpaka mpasuke ..... mipasho na mashairi ndicho mnachojua
kumbe umewaona, hawana la kusema hivyo watabaki na umbea na kufikiria zaidi ya ukweli..
 
katika hali isiyo tarajiwa wabunge wawili wameendelea kupingana na uongozi wa chadema kwa kukataa maandamano ya mwanza

mpaka sasa leo(24.02.2011) sio chibuda sio zitto aliyeko kwenye maandamano ya mwanza

nawapa big up zitto na shibuda

acha upashikuna wewe huaridhiki chadema ikiwa pamoja. Zitto yupo mwanza na alikuwa kushoto kwa dr slaa, sasa huu umbeya na ufirauni unautoa wapi? Umezoea kutumwa kama jini wewe -jini tena la kike. Stopppppp your stupid behaviour.
 
acha ukuda, nani kakwambia mbwiga we, mbona wengine wengi hawajaenda? umeongea hao tu, ni mgawanyo wa majukumu tu ndo umewafanya wasifike huko. we unajifanya mwanasisiemuuuu na wakati umefulia tu, hata mia huna, kama unazo za wizi au za hao mafisadi wenzio, acha ukuda wako!
 
Hawa Jamaa ni watu makini sana , mie pia nawapa big up !

Kama wako makini sana katika kusalitiana nakubaliana nawe...kwa taarifa yako Zitto wa leo sio yule tuliyemjua, amekwishatekwa na vijisenti na viiitikadi fulani fulani ...
 
Mimi ninge kuwa karibu na Zitto Kabwe ningemshauri ajitoe tu Chadema. Nakubali kwamba mwanasiasa lazima awe na mawazo binafsi na iki bidi apingane na chama kwa ajili ya maslahi ya jimbo lake au maslahi ya kimataifa. LAKINI, ikiwa kwamba wewe kila mkakati wa chama una pingana nao hiyo inaonyesha wewe una tofauti za ki-idiolojia na hicho chama. Inapo fika mahali haukubaliani kabisa na mwenendo wa chama jitoe na tafuta chama kinacho endana zaidi na falsafa yako binafsi. It is obvious huyu jamaa na Chadema haviendani.
lakini MWanf1 umedhibitisha hayo maneno ya huyo mtoa mada?
JE ni kweli Zitto amekataa?
je ilikuwa ni lazima wabunge wote waende Mwanza?
mbona watu mnakosa reasoning ability ya vitu vidogo tu
hao wanaoleta mada ni watu wasiotaka mazuri ya Mageuzi na mabadiriko tz kwa ujumla
hivyo msipokuwa makini na watu kama hao, mtaishia kulaumiana bure
 
Back
Top Bottom