Maana yake huwa ni nini?

Maana yake huwa ni nini?

Ningekuwa namfahamu Mr. Wako ningeikopi hii kwake ili atimize wajibu wake ipasavyo. Wengine tunashambuliwa kisa yeye hajakuko....za ipasavyo.
Don't take it serious..... Relax
 
obvious utakuwa umeona hivyo vitu kwenye simu, huwezi kumletea mmeo habari za kimbeya halafu akawa upande wako hata kama ni kweli Evelyn Salt
Why kwenye simu???? Hebu assume ni maneno ambayo umepewa na picha wala haihusu kukaguana simu.... Mi sikagui simu ya mtu nimekua siku hizi
Teh afu we unapindisha kesi wewe yani hapa ishu ni umekosea ni kosa ni la kweli hivo tu
 
Huyu naona huyo Mume wake ameliwasha.......afu mwaswali yako huwa ni ya kijanja-janja hivi, kumbe huwa ni wewe mwenyewe yamekupata.
Bahati mbaya sipendi mme wangu asemwe, ongea yooote mme wangu hapana.... Niseme Mie!!!!
 
Na sijui kwanini hivi dah....
Nlichokuja kuelewa Hamna raha kwa mwanamke kama akiombwa msamaha na mwanaume...!
Sijui kwanini....

Anyway hivi Hamna namba we can solve bila kuomba msamaha????
Mbona namna ipo sio lazma kuomba msamaha unakaushia tu unavunga kesi inajifuta yenyewe
 
Mkuu Evelyn Salt inategemea na hulka ya mtoa lalamiko! make kuna wengine daily kitimoto!
Yaani kila siku malalamiko kibao even for a very manute situation! so why nisimzingue hata kama kweli siku hiyo kafuma soo la ukweliukweli???!!

Binaadam tumeumbwa kwa madhaifu, sometimes u just have to let things control themselves or let them go...
 
Hasara ya kuondoka ni kwamba jamaa atarudi kukunembeleza baada ya miezi miwili wakati ambao ashafanya yake kwa uhuru zaidi na wewe utakubali kurudi
Mkuu mie nimpole au niseme najitahidi kua mke mwema lakini usinichokonoe,kwa ufupi nikipenda napenda kweli na nikisema nimeshakushiba ndio basi na sijuti manake daima naamini kila kitu kina mwisho na usilazimishe kupenda usipopendwa,daima nnapokaa na mume hua nakua na plan B kuhusu wanangu,wanaume wengi huanza vituko wakishaona
umeshakua na watoto sasa atakusugua roho anajua roho yako itauma kumuachia mwenzio nyumba au akulele watoto wako
Kwamimi nilivyo nakuachia nyumba wanangu tuu ndio nachukua anaekuja aanze,na ukiwa kama baba wa watoto usitegemee
ntakutafuta eti nataka Ada ya watoto au chochote wala simwambi njoo uone watoto,kila akiwa haki kwangu mie furaha..

Nilichofanya Kazini kwangu watoto wanalipiwa school fees sasa anayolipa mr hua naikusanya since analipa mara 2 kwa mwaka
nachanganya na zangu nimezijengea...
 
Hapana bwana, katika wanaume wa Afrika wako baba zetu, kaka zetu, shemeji zetu na watoto wetu. Ni makuzi waliyokuzwa tu.
But ni wao wenyewe ndo wanajisema mama....
Mwanaume wa kiafrica hawezi kusema samahani
Mwanaume wa kiafrica bla bla
Vijinga tu ha ha ha
 
But ni wao wenyewe ndo wanajisema mama....
Mwanaume wa kiafrica hawezi kusema samahani
Mwanaume wa kiafrica bla bla
Vijinga tu ha ha ha
Ah nazijua hizo, hata kama amekosea afadhali atumie pesa kukunulia zawadi kuliko simply just to say "I'm sorry".
 
Some situations are very complex, nadhani mengine tumwachie Mungu.

Yaani kaka yako ana michepuko, na still mme wako(shemeji yake) ndiye close friend wake??
Hata my bro anatabia hii,akifumwa anakua mkali,kwanini umepekura cm yangu,ivi wewe mwanamke umefunzwaje kwenu
Nakurejesha kwenu wakakufundishe kupekura mumeo sio kuzuri mbona mimi cm yako sipekuri,mkewe anakua mduuchu,
Anikute mie mwenye mdomo kama niko kwake nikute ugomvi na mkewe sinyamazi ntamchamba simuwachii,namwambia
wewe kwa ufisadi ulokua nao am sure hata mumewangu utamuharibu, ni very close friend wa my hubby na mda mwingi wako wote...
 
Some situations are very complex, nadhani mengine tumwachie Mungu.

Yaani kaka yako ana michepuko, na still mme wako(shemeji yake) ndiye close friend wake??
Yeah, whats wrong with that? kila mtu na tabia yake na wala friendship yao hainisumbui tena am happy
wako friends from high school mpaka chuo mpaka sasa , kwangu si judge kua eti yule ana michepuko na
huyu atakua nao,au my bro hana lakini my man anao, maisha mafupi kufikiriana mabaya nikiona nimechoka
naji sort lakini tabia kila mtu ana yake unaweza ukawa mzinzi na mwezio asiwe...
 
Back
Top Bottom