Daah ujue nimeshindwa kutoa experience yangu coz nahisi situation kama hiyo haijawahi nikuta kusema kweli. Sikumbuki kama nilishawahi kuomba msamaha au kama yeye alishawahi niomba msamaha kwa kosa alilofanya la kimahusiano. Nakumbuka tu zile samahani za kawaida, mfano samahani mito naomba uje na hiki au niletee....au samahani dear nitachelewa kidogo kurudi......hivoooKhee.... Huo ubabe sasa....kwanini usijibu???? .....
Mkuu hii kwa upande wako vipi??
Kulianzisha kuuliza siyo ishu mbona, ishu ni hivi umelianzisha wakati gani, na kwenye mood gani,Good morning....
Wewe ma mwenzi wako mmegombana, ila mkosaji ni wewe hapo assume umefumwa na mawasiliano ya mchepuko, mwenzio anaamua kukuuliza/kukuambia kistaarabu kabisa tena kwa sweet language "mpenzi ni hivi ni hivi nimesikia, nimeona unatembea na fulani......
Wewe mkosaji sasa uvimbe, unune, uje juu, kijasho kikutoke yani unafura kama nyoka ilhali umekosea na ni kweli umekosea. Muda huo mwenzio hata hana hasira na wewe anakusemesha vizuri mkosaji umevimba vishavu kama viandazi yani unataka hadi uombwe msamaha.
Maana yake huwa ni nini jamani? Kuelewa akili za binadamu ni ngumu, Make hii ni zaidi ya defensive mechanism
. Unakua hutaki kuulizwa? Sasa hii inawezekana vipi ukose usiulizwe? Afu mbona kama kuulizwa inaleta unafuu flani kuliko kunyamaziwa?
. Unataka kuombwa msamaha? Kwa kipi sasa ulichokosewa?
Hakika huu ni ujinga first class japo maana yake huwa siijui, nishaiona mara nyingi.
Nb : 1:kufumwa ni mfano tu, chukulia kosa lolote lile ilmradi kosa
2: hii inahusu jinsia zote mwanaume na mwanamke
OK....! Hizo zakawaida hazina shaka tena nyingi tuuu....Daah ujue nimeshindwa kutoa experience yangu coz nahisi situation kama hiyo haijawahi nikuta kusema kweli. Sikumbuki kama nilishawahi kuomba msamaha au kama yeye alishawahi niomba msamaha kwa kosa alilofanya la kimahusiano. Nakumbuka tu zile samahani za kawaida, mfano samahani mito naomba uje na hiki au niletee....au samahani dear nitachelewa kidogo kurudi......hivooo
Eve nahisi unatatizo la kisaikolojia ambalo lili/limesababishwa na mwanaume...Good morning....
Wewe ma mwenzi wako mmegombana, ila mkosaji ni wewe hapo assume umefumwa na mawasiliano ya mchepuko, mwenzio anaamua kukuuliza/kukuambia kistaarabu kabisa tena kwa sweet language "mpenzi ni hivi ni hivi nimesikia, nimeona unatembea na fulani......
Wewe mkosaji sasa uvimbe, unune, uje juu, kijasho kikutoke yani unafura kama nyoka ilhali umekosea na ni kweli umekosea. Muda huo mwenzio hata hana hasira na wewe anakusemesha vizuri mkosaji umevimba vishavu kama viandazi yani unataka hadi uombwe msamaha.
Maana yake huwa ni nini jamani? Kuelewa akili za binadamu ni ngumu, Make hii ni zaidi ya defensive mechanism
. Unakua hutaki kuulizwa? Sasa hii inawezekana vipi ukose usiulizwe? Afu mbona kama kuulizwa inaleta unafuu flani kuliko kunyamaziwa?
. Unataka kuombwa msamaha? Kwa kipi sasa ulichokosewa?
Hakika huu ni ujinga first class japo maana yake huwa siijui, nishaiona mara nyingi.
Nb : 1:kufumwa ni mfano tu, chukulia kosa lolote lile ilmradi kosa
2: hii inahusu jinsia zote mwanaume na mwanamke
Khaaaaaaaa!! dada tu ninaye akyamamasasa maswali unaniuliza mimi na simu umeshika wewe? au msg ulizosoma haujazielewa? km haujaelewa subiri chats zitakazoendelea labda zitakuwa na majibu unayoyataka, ila mimi sitaki maswali yaliyosababishwa na kiranga chako mwenyewe, mi mwenyewe nina maswali yangu kibao juu ya maisha sijayajibu.
sasa simu yangu alafu eti niitolee maelezo kwa mwingine!! like serious!! ni simu yangu na vilivyomo vinanihusu mimi, maybe kama ni simu ya mezaniBraza huyu Dada yako atoto ni zaidi....imagine hataki kutoa maelezo ya chochote kwenye Simu Yake.....
Si unaeza pata hasira paka......
Khaaaaaaaa!! dada tu ninaye akyamama
Kama nna tatizo la kisaikolojia lazma lipo associated na pesa I SWEAREve nahisi unatatizo la kisaikolojia ambalo lili/limesababishwa na mwanaume...
Lakini nkushauri tu,SALI SANA.
Yaniii ukosee afu kuambiwa lazma mood yako iwe considered ha ha ha IF I WERE A MAN.....koh kohKulianzisha kuuliza siyo ishu mbona, ishu ni hivi umelianzisha wakati gani, na kwenye mood gani,
unajuwa Everything need aright TIME , right PLACE/ENVIRONMENT , right MOOD and in aright way of approaching.... hapa ukizingatia haya naamini hata ulete maongezi gani lazima mwenza wako atakusikiliza, atakuelewa na kutakuwa na common ground na maongezi yatapata suluhu.............
Kuna mambo kama ni mazito sana yanahitaji mood muyaongee wakati mna mood na pia kuzingatia mazingira sio unauliza mambo mbele za watoto ama katka public place hata kama nimekukosea, kwani wewe lengo ni kujenga ama kubomoa Sasa jitie ukichaaa kama ndoa haijawa chungu......Yaniii ukosee afu kuambiwa lazma mood yako iwe considered ha ha ha IF I WERE A MAN.....koh koh
Hahaha atoto yeye katake place ya wanaume wengi kutotaka kuomba msamahaKhaaaaa Heaven Sent njoo huku umsilize huyu dada, mi hata simwelewi hata kidogo
Hahaaa mkuu hili neno 'samahani dear' linakukwama naona, hapa nacheka tu akyanani!!
cc Heaven Sent ,atoto
Hawajaniko....za
eti oooh nimesikia unatembea na fulani, khaaah!! unamjibu tu nawe kwa swali, vp bado haujasikia nimekufa?Mengine stress za kipuuzi, maisha yenyewe yapo wapi kutiana stress kwa story za kusadikika.
Ningekuwa single ningekuoa wewe mwanamke, nimekupenda bure kwenye nyanja hii