Maana yake huwa ni nini?

Maana yake huwa ni nini?

But she caught me on the counter....(It wasn't me)
Saw me bangin' on the sofa...(It wasn't me)
I even had her in the shower....(It wasn't me)
She even caught me on camera....(It wasn't me)

She saw the marks on my shoulder....(It wasn't me)
Heard the words that I told her....(It wasn't me)
Heard the screams gettin' louder...(It wasn't me)
She stayed until it was over......
 
Good morning....

Wewe ma mwenzi wako mmegombana, ila mkosaji ni wewe hapo assume umefumwa na mawasiliano ya mchepuko, mwenzio anaamua kukuuliza/kukuambia kistaarabu kabisa tena kwa sweet language "mpenzi ni hivi ni hivi nimesikia, nimeona unatembea na fulani......

Wewe mkosaji sasa uvimbe, unune, uje juu, kijasho kikutoke yani unafura kama nyoka ilhali umekosea na ni kweli umekosea. Muda huo mwenzio hata hana hasira na wewe anakusemesha vizuri mkosaji umevimba vishavu kama viandazi yani unataka hadi uombwe msamaha.

Maana yake huwa ni nini jamani? Kuelewa akili za binadamu ni ngumu, Make hii ni zaidi ya defensive mechanism
. Unakua hutaki kuulizwa? Sasa hii inawezekana vipi ukose usiulizwe? Afu mbona kama kuulizwa inaleta unafuu flani kuliko kunyamaziwa?
. Unataka kuombwa msamaha? Kwa kipi sasa ulichokosewa?

Hakika huu ni ujinga first class japo maana yake huwa siijui, nishaiona mara nyingi.

Nb : 1:kufumwa ni mfano tu, chukulia kosa lolote lile ilmradi kosa
2: hii inahusu jinsia zote mwanaume na mwanamke
Hii isikupe shida,tafuta wataalam wa ufugaji
wa aina zote za wanyama,angalia uwiano wa jinsia
ukipata majibu utagundua ni kwa nini jinsia fulani huwa wananuna
wanapoulizwa maswali yahusuyo.....
 
Hawajaniko....za
Aliyekwambia mwanaume wa kiafrica anaomba msamaha hadharani nani???

Iko hivi atakuwa baba mjinga na mpuuzi kuomba msamaha kwa maneno kama haya;

Sahamani mke wangu nisamehe.

Sitarudia tena nakuahidi.

Nimekosa nisamehe.

African baba never give apologize on the spot, kidume ukiambiwa lazima kwanza ufule huku ukijua kabisa umekosea afu unapiga ubuyu hakuna kusema; badae sana unaanzisha vijizawadi na maneno fulani kumjenga mkeo huku ukijiandaa kuacha hiyo tabia kama mbaya.

Nimegundua wanawake wengi mnashindwa ndoa kwa mambo madogo tuu; mwanaume wa kiafrica haombi msamaha hapo hapo na kwa maneno tu bila kijizawadi.

Mkitaka hizo makitu kaolewe na mzungu sisi kwetu mfumo dume ndiyo utamu wa ndoa yenyewe na unamfanya mke anajiona yuko secure..!
 
Hapo inategemea kila mtu na moyo wake utakavyo mtuma na maamuzi yake,lakini mie No sikuombi msamaha nimekukuta na sms na wewe uka reply una hashukwa na mwanamke mwengine halafu una expect apology kutoka kwangu? mbona
atanikuta kwetu zamani namwambia sasa isiwe tabu ukahashukwa jinafas nae,lakini samahani simuombi hata avimbe mpaka apasuke..........

Mpendwa, ni kweli kuwa utaamua kurudi kwenu au umeandika kwa bahati mbaya tu?!
 
Aliyekwambia mwanaume wa kiafrica anaomba msamaha hadharani nani???

Iko hivi atakuwa baba mjinga na mpuuzi kuomba msamaha kwa maneno kama haya;

Sahamani mke wangu nisamehe.

Sitarudia tena nakuahidi.

Nimekosa nisamehe.

African baba never give apologize on the spot, kidume ukiambiwa lazima kwanza ufule huku ukijua kabisa umekosea afu unapiga ubuyu hakuna kusema; badae sana unaanzisha vijizawadi na maneno fulani kumjenga mkeo huku ukijiandaa kuacha hiyo tabia kama mbaya.

Nimegundua wanawake wengi mnashindwa ndoa kwa mambo madogo tuu; mwanaume wa kiafrica haombi msamaha hapo hapo na kwa maneno tu bila kijizawadi.

Mkitaka hizo makitu kaolewe na mzungu sisi kwetu mfumo dume ndiyo utamu wa ndoa yenyewe na unamfanya mke anajiona yuko secure..!
hivi kwanini kila kitu cha OVYO OVYO kinahusianishwa na wanaume wa Afrika?
 
), kesi inakugeukia wewe, si undezi huo sasa. Huo ni ubabe + dharau

Hayo majibu si ya kumpa mpenzi wako unayemuhitaji, labda kama huwa mnakutana tu kibiashara.

Kuomba msamaha sio sign of weakness, ila ni ustaarabu, Utu na uungwana. Na msamaha hauna jinsia, hupendi kuomba msamaha basi Jitahidi pia usifanye makosa

me nashangaaga Hawa wanaume wanavyoongeleaga wanawake.
umemchukua mwanamke kwasababu unampenda au kwasababu ulitaka Mtu wa kupraktisia ubabe?
 
Hadi muda huo hujajua bado kinachoendelea, wewe ndo una kosa na kosa lako " kwa nini umemfukunyua" hahahha nacheka kama mazuri. Kuna watu kosa lake, ila kesi itaishia kuwa yako na mwisho wewe ndo utatakiwa uombe msamaha (nijikute tu mtcheew). Ndo maana me kuna muda nilikuwa nikifind kitu nafanya tu maamuzi magumu yaishe (sio nyie wa kwenye ndoa lakini teh). Coz unamkalisha mwenzako chini ili muongee, yeye kukiri kosa hataki afu bora anyamaze basi (nta-assume roho inamsuta), kesi inakugeukia wewe, si undezi huo sasa. Huo ni ubabe + dharau

Afu kwa hayo majibu, ningeshabeba moyo wangu nimesepa. Hayo majibu si ya kumpa mpenzi wako unayemuhitaji, labda kama huwa mnakutana tu kibiashara. Kuomba msamaha sio sign of weakness, ila ni ustaarabu, Utu na uungwana. Na msamaha hauna jinsia, hupendi kuomba msamaha basi Jitahidi pia usifanye makosa
Nimekupenda Bure Kwa Kweli Heaven Sent

Unatumiaga kinywaji chochote kile chenye kilevi?

Agiza tena bila hata kuuliza bill kwangu

Kwema lakini mkuu
 
hivi kwanini kila kitu cha OVYO OVYO kinahusianishwa na wanaume wa Afrika?
Huku si ndo tunapractice sana mfumo dume. Ujue jamii zetu ziwalea wanaume wajione kama wao always ni "VICTORS". Unfortunately wamebaki kuwa "VICTIMS", coz no matter what wameshaambiwa wao ni superior kuliko sisi. Ndo maana unaona mtu kuomba msamaha anaona sio uanaume ila kufanya makosa ndo uanaume kamili. EPIC FAIL
me nashangaaga Hawa wanaume wanavyoongeleaga wanawake.
umemchukua mwanamke kwasababu unampenda au kwasababu ulitaka Mtu wa kupraktisia ubabe?
 
Nimekupenda Bure Kwa Kweli Heaven Sent

Unatumiaga kinywaji chochote kile chenye kilevi?

Agiza tena bila hata kuuliza bill kwangu

Kwema lakini mkuu
Ahsante mpendwa, me mzima kabisa. Kinywaji changu chai, so fanya fanya tu hela ya sukari mpendwa lol
 
Hadi muda huo hujajua bado kinachoendelea, wewe ndo una kosa na kosa lako " kwa nini umemfukunyua" hahahha nacheka kama mazuri. Kuna watu kosa lake, ila kesi itaishia kuwa yako na mwisho wewe ndo utatakiwa uombe msamaha (nijikute tu mtcheew). Ndo maana me kuna muda nilikuwa nikifind kitu nafanya tu maamuzi magumu yaishe (sio nyie wa kwenye ndoa lakini teh). Coz unamkalisha mwenzako chini ili muongee, yeye kukiri kosa hataki afu bora anyamaze basi (nta-assume roho inamsuta), kesi inakugeukia wewe, si undezi huo sasa. Huo ni ubabe + dharau

Afu kwa hayo majibu, ningeshabeba moyo wangu nimesepa. Hayo majibu si ya kumpa mpenzi wako unayemuhitaji, labda kama huwa mnakutana tu kibiashara. Kuomba msamaha sio sign of weakness, ila ni ustaarabu, Utu na uungwana. Na msamaha hauna jinsia, hupendi kuomba msamaha basi Jitahidi pia usifanye makosa

Nilikuwa nasubili jibu lako moyo wangu utulie lol!!!
 
Ahsante mpendwa, me mzima kabisa. Kinywaji changu chai, so fanya fanya tu hela ya sukari mpendwa lol
Hahaha hata huko uliko Heaven Sent nako sukari ni majanga, janga?

Au ipo ila bei ndo shiida siyo?

Nitafanya fanya hela ya sukari kwa njia ipi mkuu?

Kama vipi njoo pm without kabisa..... Just kidding
 
Huyu naona huyo Mume wake ameliwasha.......afu mwaswali yako huwa ni ya kijanja-janja hivi, kumbe huwa ni wewe mwenyewe yamekupata.
 
Hii mara nyingi inatokea kwa yule mtu unaempenda na anajua unampenda kweli,anajua utomfanya chochote na kumuacha ni ngumu.
 
Back
Top Bottom