Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,430
- 191,695
Kuna hii tabia ya watu walio kwenye mahusiano ya muda mrefu. Mnakuwa mko poa kabisa hamna mikwaruzano baina yenu, mnapendana tu!
Ila kunakuwa na mtu ambaye mpenzi wako ghafla anakuwa anamu entertain tu wanachat muda mwingi ndani ya siku na saingine wanaflirt chat kabisa.Huyu mtu huwa wa jinsia pinzani na huchipukia ghafla tu katikati ya uhusiano wenu na kujifanya anajua ku care. Aidha ni office mate wake ama wamekutana tu katika mazingira tofauti tu. Unakuta wanachat muda mrefu kuliko hata anavyochat na wewe Mume au Mke wake!
Unaanza mashaka then unauliza hiko ni nini na agenda yake unaambiwa unawasiwasi tu wa bure anajitetea huyo mtu ni rafiki just jiamini tu mpenzi wangu acha ku stress. Unakuta swala hilo linakuboa kila siku unamchana ila mwenzio ndio haelewi kabisa yani ndio anaanza na kulalamika kuwa mbona unaanza kumpangia watu wa kuchat nae sasa. Ina maana awe anachat na watu unaotaka wewe tu? au akupe simu yake asiwe na simu kabisa?
Msaada tutani hapo!!!