housegirl
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 3,125
- 2,194
sasa mbona nikisemaga wanaume wa kiafrika ni wa hovyo nashambuliwa !! 😀 😀Naona ndo walivo
eti ukitaka kuombwa msamaha tafuta mzungu. jamani!!!
sasa mbona nikisemaga wanaume wa kiafrika ni wa hovyo nashambuliwa !! 😀 😀Naona ndo walivo
Nimeipenda Hiyo....kwako neno msamaha is price less but unaangalia kikubwa kakulewa ,and kabadilikaYani me nina moyo wa kusamehe kama nilivyonao wa kuomba msamaha pale napokosea. Naona kwa wanaume wengi ndo kuna hilo tatizo la kuomba msamaha, ingawa kuna wanawake wasioomba msamaha pia hata iweje. Kila mtu ana style yake ya kuupokea msamaha, mwingine usiongee hata, rudi na zawadi jichekeshe basi yameisha. Kwa HS hata usihangaike na zawadi maana hazitopokelewa hadi useme "samahani". Kwangu msamaha is "PRICELESS", usijaribu kuni-bribe teh. Ila better unyamaze tu kimya, kama unaona ngumu kuomba msamaha
of all times umeona huu ndo muda muafaka wa kuomba chai. kuna wanawake wana roho mbaya sanaAhsante mpendwa, me mzima kabisa. Kinywaji changu chai, so fanya fanya tu hela ya sukari mpendwa lol
Hahaha kunywa chai soon itakuwa ni luxury. Niache nikamate sukari yangu mapemaof all times umeona huu ndo muda muafaka wa kuomba chai. kuna wanawake wana roho mbaya sana
😀
That's men....Nikifanya hivo maana nna uhakika nimekosea kweli na sitaki kukupa nafasi ili utoe ushahidi wako maana wanawake tafsiri zenu jinsi mlivyo ili uonekane we ni nani basi ni hapo nitakapo kupa nafasi ya kubishana na ukini shinda ina maana mjinga ni mimi,Ndio maana nnakausha au natafuta sababu nzito nihakikishe umekaa kimya kabisa.
Ha haa.... Ishakukuta eeeh....Kuna watu wanajua kugeuza kibao jamani khaa!
watajiju wanaopelekwa Paris sisi tunataka sukari tu.Hahaha kunywa chai soon itakuwa ni luxury. Niache nikamate sukari yangu mapema
Hahaha eti bora tupate sukariwatajiju wanaopelekwa Paris sisi tunataka sukari tu.
nimeona video whatsapp nimecheka sana. muoaji anamuuliza kaka mahari shingapi, kaka anasema sukari tu. mwishoni anasema bora Dada yangu anaolewa tupate sukari 😀
shida sana.
Ha ha ha ukisema tena ntakua upande wako, make leo nimeona live wakijisemasasa mbona nikisemaga wanaume wa kiafrika ni wa hovyo nashambuliwa !! 😀 😀
eti ukitaka kuombwa msamaha tafuta mzungu. jamani!!!
Basi mamitooo jaribu kutumia TAFSIDA sisi wengine HATUJABAREHE yaani UNATUBEMENDA ZARMENDRA mchana kweupe mwisho wake UTATUPWELEPETA KAAAH.Wewe ukijua mkeo anafwanywa utakaa kimya?
hata mi niko hivyo,Watu wa style hiyo mbona wengi shosti tena wakavu,kosa afanye yeye na kununa pia ananuna yeye,mie nahisi ni kama vile anajua udhaifu wako au u mean nothing to him/her,manake haiwi mtu kujitoa fahamu nakujifanya yeye ndio alokosewa
hali ya kua yeye ndio mkosa, ukisikia wasohaya wana mji wao ndio hao.........
Tafuta kidume rijali kinachoweza kuku capiteeeinHa ha ha eeeh usipokojozwa lazma uwe na hasira
Mkuu mie nimpole au niseme najitahidi kua mke mwema lakini usinichokonoe,kwa ufupi nikipenda napenda kweli na nikisema nimeshakushiba ndio basi na sijuti manake daima naamini kila kitu kina mwisho na usilazimishe kupenda usipopendwa,daima nnapokaa na mume hua nakua na plan B kuhusu wanangu,wanaume wengi huanza vituko wakishaona
umeshakua na watoto sasa atakusugua roho anajua roho yako itauma kumuachia mwenzio nyumba au akulele watoto wako
Kwamimi nilivyo nakuachia nyumba wanangu tuu ndio nachukua anaekuja aanze,na ukiwa kama baba wa watoto usitegemee
ntakutafuta eti nataka Ada ya watoto au chochote wala simwambi njoo uone watoto,kila akiwa haki kwangu mie furaha..
Nilichofanya Kazini kwangu watoto wanalipiwa school fees sasa anayolipa mr hua naikusanya since analipa mara 2 kwa mwaka
nachanganya na zangu nimezijengea...
Teh siku hizi sio tu kusutwa "mnachambwa kabisa lol'Kuna kuulizwa na kuna 'kusutwa'
au kufanyiwa 'interrogation'
Wanaume wengi hatupendi hayo mawili......
Kweli mi mwenyewe cjui ina mana gani mtu ufanye kosa badala uombe msamaha unataka uombwe wewe mh!Good morning....
Wewe ma mwenzi wako mmegombana, ila mkosaji ni wewe hapo assume umefumwa na mawasiliano ya mchepuko, mwenzio anaamua kukuuliza/kukuambia kistaarabu kabisa tena kwa sweet language "mpenzi ni hivi ni hivi nimesikia, nimeona unatembea na fulani......
Wewe mkosaji sasa uvimbe, unune, uje juu, kijasho kikutoke yani unafura kama nyoka ilhali umekosea na ni kweli umekosea. Muda huo mwenzio hata hana hasira na wewe anakusemesha vizuri mkosaji umevimba vishavu kama viandazi yani unataka hadi uombwe msamaha.
Maana yake huwa ni nini jamani? Kuelewa akili za binadamu ni ngumu, Make hii ni zaidi ya defensive mechanism
. Unakua hutaki kuulizwa? Sasa hii inawezekana vipi ukose usiulizwe? Afu mbona kama kuulizwa inaleta unafuu flani kuliko kunyamaziwa?
. Unataka kuombwa msamaha? Kwa kipi sasa ulichokosewa?
Hakika huu ni ujinga first class japo maana yake huwa siijui, nishaiona mara nyingi.
Nb : 1:kufumwa ni mfano tu, chukulia kosa lolote lile ilmradi kosa
2: hii inahusu jinsia zote mwanaume na mwanamke