Mkuu mie nimpole au niseme najitahidi kua mke mwema lakini usinichokonoe,kwa ufupi nikipenda napenda kweli na nikisema nimeshakushiba ndio basi na sijuti manake daima naamini kila kitu kina mwisho na usilazimishe kupenda usipopendwa,daima nnapokaa na mume hua nakua na plan B kuhusu wanangu,wanaume wengi huanza vituko wakishaona
umeshakua na watoto sasa atakusugua roho anajua roho yako itauma kumuachia mwenzio nyumba au akulele watoto wako
Kwamimi nilivyo nakuachia nyumba wanangu tuu ndio nachukua anaekuja aanze,na ukiwa kama baba wa watoto usitegemee
ntakutafuta eti nataka Ada ya watoto au chochote wala simwambi njoo uone watoto,kila akiwa haki kwangu mie furaha..
Nilichofanya Kazini kwangu watoto wanalipiwa school fees sasa anayolipa mr hua naikusanya since analipa mara 2 kwa mwaka
nachanganya na zangu nimezijengea...