Ndege Tausi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 992
- 476
Mwenyewe umeshajibu kuwa ni defensive mechanism. Mtu kuwa mkali anapoulizwa mara tu akoseapo ni kukutia hofu usiendelee kumuuliza lakini pia huu ni ubabe na roho ngumu
Sio bure inaonesha umefurukuta kutaka kuingilia serikali ya mme wako,sasa na yeye hataki mwanamke ampande kichwani hivyo nakushauri uwe mpole na umuombe msamaha sababu kama anakula nje huoni anakupunguzia kazi?Good morning....
Wewe ma mwenzi wako mmegombana, ila mkosaji ni wewe hapo assume umefumwa na mawasiliano ya mchepuko, mwenzio anaamua kukuuliza/kukuambia kistaarabu kabisa tena kwa sweet language "mpenzi ni hivi ni hivi nimesikia, nimeona unatembea na fulani......
Wewe mkosaji sasa uvimbe, unune, uje juu, kijasho kikutoke yani unafura kama nyoka ilhali umekosea na ni kweli umekosea. Muda huo mwenzio hata hana hasira na wewe anakusemesha vizuri mkosaji umevimba vishavu kama viandazi yani unataka hadi uombwe msamaha.
Maana yake huwa ni nini jamani? Kuelewa akili za binadamu ni ngumu, Make hii ni zaidi ya defensive mechanism
. Unakua hutaki kuulizwa? Sasa hii inawezekana vipi ukose usiulizwe? Afu mbona kama kuulizwa inaleta unafuu flani kuliko kunyamaziwa?
. Unataka kuombwa msamaha? Kwa kipi sasa ulichokosewa?
Hakika huu ni ujinga first class japo maana yake huwa siijui, nishaiona mara nyingi.
Nb : 1:kufumwa ni mfano tu, chukulia kosa lolote lile ilmradi kosa
2: hii inahusu jinsia zote mwanaume na mwanamke
Narudi sasa kinachoniweka nini wakati cheo changu nishakijua kwake,unajua samahani ni neno duchu sana lakini kwa wenye Ego wanaona kama umewashusha thamani...
kuomba msamaha ni neno la kinafki silitumii hata kwa kudanganya na sina muda wa kulisikiliza ni unafki
Ngoja nitumie busara za lowasa..... Nakaa kimyahutoweza kunielewa mpaka utakapojielewa kwanza,,, coz kukomaa baada sijui umesema kufumwa....ndo nakwambia ni kwamba mtu anakulazimisha uamini kwamba alichokifanya kwake ni kawaida.....so uamue mwenyewe
Sipendi mme wangu azungumziwe..... Karibu tenaSio bure inaonesha umefurukuta kutaka kuingilia serikali ya mme wako,sasa na yeye hataki mwanamke ampande kichwani hivyo nakushauri uwe mpole na umuombe msamaha sababu kama anakula nje huoni anakupunguzia kazi?
Watu mmekariri sana teh hivi kujua kitu ni lazma simu ishikwe? Hauwezi letewa habari na ushahidi mezani???Mkuu Evelyn Salt kama ni kombora basi hili limegonga pentagon, hii ndio hasa michezo yangu lakini kwa nini upekue simu yangu at the first place?!!! Hahahahah najua its unfair but hamna namna ntakumaindi tu maana kuwa mpole haijawahi kusaidia.
Sasa Evelyn ungeweka wazi kitmbo kuwa umeolewa,mimi nimesema kiutani tu kumbe ni kweli una mme khaa,sasa siku zote hizi nakuimbisha kiaina wala husemi?Sipendi mme wangu azungumziwe..... Karibu tena
Haya basi nmekufahamisha, niseme mie mme wangu hapanaSasa Evelyn ungeweka wazi kitmbo kuwa umeolewa,mimi nimesema kiutani tu kumbe ni kweli una mme khaa,sasa siku zote hizi nakuimbisha kiaina wala husemi?
obvious utakuwa umeona hivyo vitu kwenye simu, huwezi kumletea mmeo habari za kimbeya halafu akawa upande wako hata kama ni kweli Evelyn SaltWatu mmekariri sana teh hivi kujua kitu ni lazma simu ishikwe? Hauwezi letewa habari na ushahidi mezani???
Sasa vipi kuchepuka?Haya basi nmekufahamisha, niseme mie mme wangu hapana
Wewe ukijua mkeo anafwanywa utakaa kimya?Kweli kbs everlyn salt, Unamuuliza mume wako eti unatembea na house girl? Huwa unategemea kujibiwa nn?
Kuna vinguchiro vingine tunapita kwa zarula Tu, ikitokea umejua kaa kimya!
Ntakua Tarzan tehHii isikupe shida,tafuta wataalam wa ufugaji
wa aina zote za wanyama,angalia uwiano wa jinsia
ukipata majibu utagundua ni kwa nini jinsia fulani huwa wananuna
wanapoulizwa maswali yahusuyo.....
Sidhani kama kuna mahali nimeandika mtu aombe msamaha, kuomba msamaha sio kitu cha kuambiwa omba kama hukufunzwa kusema samahani hutakaa useme samahaniAliyekwambia mwanaume wa kiafrica anaomba msamaha hadharani nani???
Iko hivi atakuwa baba mjinga na mpuuzi kuomba msamaha kwa maneno kama haya;
Sahamani mke wangu nisamehe.
Sitarudia tena nakuahidi.
Nimekosa nisamehe.
African baba never give apologize on the spot, kidume ukiambiwa lazima kwanza ufule huku ukijua kabisa umekosea afu unapiga ubuyu hakuna kusema; badae sana unaanzisha vijizawadi na maneno fulani kumjenga mkeo huku ukijiandaa kuacha hiyo tabia kama mbaya.
Nimegundua wanawake wengi mnashindwa ndoa kwa mambo madogo tuu; mwanaume wa kiafrica haombi msamaha hapo hapo na kwa maneno tu bila kijizawadi.
Mkitaka hizo makitu kaolewe na mzungu sisi kwetu mfumo dume ndiyo utamu wa ndoa yenyewe na unamfanya mke anajiona yuko secure..!
Nimekusamehe.....Basi utakua na Rambo